Sheria ya kuzuia watoto wadogo kwenda shule za kulala (boarding school)

Sheria ya kuzuia watoto wadogo kwenda shule za kulala (boarding school)

maksheke

New Member
Joined
Oct 21, 2015
Posts
3
Reaction score
2
Ndugu zangu naombeni msaada Nina mtoto anaingia darasa la pili 2026.

Sasa baba yake analazimisha mtoto aende shule ya kulala bila sababu za msingi na huku Sheria hairuhusu.

Nipo hapa kuomba mtu anayeelewa anisaidie maana naona nimemshauri sana hataki, kwa hiyoo nahitaji kwenda kwenye Sheria.

Nafkiri nikipata mtu nitamuelezea zaidi ndioo nipate msaada.

Ningependa Kama akipatikana mtu aje pm.
 
Back
Top Bottom