Sheria ya Mafao ya wenza wa viongozi wakuu: Usultani unapiga hodi!?

Sheria ya Mafao ya wenza wa viongozi wakuu: Usultani unapiga hodi!?

Wanasiasa wanafanya hivyo wanajua hii ni ya majuha, kesho utasikia wabunge wanataka posho ziongezwe nani wakizuia haya yasifanyike!? Hakuna na ndiyo maana kila siku hua nasema hakuna viumbe wabaya hapa duniani kama wanasiasa na ndiyo chanzo cha shida zote hizi. Huduma ya afya kwa wazee wajawazito watoto haipo, imebakia siasa tuna uzuri watumishi wa afya hua wanawapa makavu wagonjwa wao kubwa hakuna cha bure ukitaka kutibiwa control number ile pale nenda kalipie ukweli mchungu. wasiotaka kusikia wagonjwa. Harafu kuna wake wa wastaafu wenye kumiliki vitega uchumi na waume zao wanalipwa ambayo hayatamkiki. Na wabunge kwa vile ni watumishi wa shetani wanapitisha muswada huu, huku wakijua fika kama kuna kaya ambazo kesho yao Mungu tu ndiye anajua. Nini kitanishawishi kuto kukuona wewe mwanasiasa zaidi vampire. Dunia ilikuwa sehemu mzuri ya kuishi kusingekuwepo wanasiasa.
Hii ndio recipe ya disaster.
Mapinduzi ya kijeshi nchi nyingine mwanzo wake ndio huu.
 
Nchi imekufa, alisema mbunge juzi , wengi wenda hawakumuelewa, ni mkono wa Bwana na wenye nguvu, wa kulitoa taifa lilipo, Nafikili nyakati zimefika za ccm kuondoka kwa masononeko makubwa na majuto ,Mungu aendelee kuwatia nguvu watz, mda ni mwalim utaongea
Watu wanajilimbikizia mali na kuifanya shughuli hiyo haramu kuwa halali.
 
Back
Top Bottom