Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

ha ha haha mkuu ngoja nitumie hii nafasi kutoa hisia zote na gerezani siendi... na october tunawapiga chini waende huko wao

Mimi itabidi nifanye maamuzi magumu ya kutokujiunga vifurushi vya Internet au nikijiunga niwe nasoma tu.
La sivyo nondo inanihusu.

Mwisho wa ukoloni ni tarehe 25 october saa 4 asubuhi tu tutakuwa tumemaliza kazi.
 
Mimi nakuona kwa mbali umevaa nguo za Orange unakata kuni! Kwa kosa la kushare ujumbe wa tuhuma za kifisadi eti JK ni taijiri zaidi ya Rostam azizi!
nitakata kwa mda lakini ikifika 25 october wajiandae wao kwenda ha ha aha
 
Inaanza rasmi kuisaidia CCM ili kuepuka taarifa kama za ukweli na mrungula wa Lipumba na kuzuia kusambaa kwa uozo mwingine utakaomnyima Magufuli kazi ya ukibaraka pale Ikulu!!
 
Inaanza rasmi kuisaidia CCM ili kuepuka taarifa kama za ukweli na mrungula wa Lipumba na kuzuia kusambaa kwa uozo mwingine utakaomnyima Magufuli kazi ya ukibaraka pale Ikulu!!
tutapiga story kitaa tu mpango wa kukutana jioni vijiweni utaendelea .. waweke na hiyo sheria ya kutufunga midomo
 
Ccm itashinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, kupata vichekesho vingine kama hivi tuma " kichekesho" kwenda namba 15567 

Hahaaaaaa....nimecheka hadi nimekaa chini, btw October si mbali
 
Mimi siogope kwenda gerezani kwa kuwa Magufuli ni ndugu yangu wakinifungia makufuli yatajiachia yenyewe.
 
Hahaaaaaa....nimecheka hadi nimekaa chini, btw October si mbali

Si ndio maana ya vichekesho, kuna mtu mwenye akili timamu wa kuipigia kura ccm?

Simama uhesabiwe sasa either with peoples power or against peoples power.
 
Hiyo mikataba ya ajabu ajabu yote akina Lissu watairudisha bungeni.
 
Si ndio maana ya vichekesho, kuna mtu mwenye akili timamu wa kuipigia kura ccm?

Simama uhesabiwe sasa either with peoples power or against peoples power.

People's power ndo mpango mzima!
 
Hii sasa tufanya hivi kila member wa JF afungue bar! Alafu tupeane ratiba hapa ya kwenda kukutana! Tujadili ufisadi
hilo nalo wazo nzuri.. au tufungue jf bar lakini glass za plastic pia za chupa ya plastic sahan za plastik vijiko plastic sufuria ya chuma na kuna komeo la mnyororo... halafu tujadili namna ya kumtoa huyo mkoloni maomboleo
 
Si ndio maana ya vichekesho, kuna mtu mwenye akili timamu wa kuipigia kura ccm?

Simama uhesabiwe sasa either with peoples power or against peoples power.

People's power ndio
Lowassa No
 
People's power ndio
Lowassa No

Ni Lowasa all the way, wewe baki na washirikina wa ccm, kwa sababu tunataka upinzani imara baki huko mtaunda kambi ya upinzani na Ayatola Zitto Kabwe ili Serikali mpya ya UKAWA isilale.
 
Back
Top Bottom