Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

Tutapike tu hawana hiyo technologia kutengeza kibiriti hawawezi wataweza kutu trap ktk media technology wanatutisha tu si walituonyesha panya wakasema watatumika ktk kuwapata majambaz mbona kimya kila siku twaibiwa

roger that!nimekusoma ila sio mbaya kuchukua tahadhari
 
kama mpaka tovuti za serikali zina ingiliwa na hawezi fanya chochote, we unategemea nini?
 
Jamani sheria imeshatungwa na kilichobaki ni kutumika tu...kiukweli itapunguza wale matapeli lakumi kwenye maswala ya uchaguzi hapo hayanihusub
 
Tatizo watanzania mlinyimwa elimu sasa hata mawazo yenu ni kama nguvu za giza hsmuamini kama mabadiliko ni muhim na yanawezekana mimi nimesoma kenya sikuwah kuona kenya wanafunz wanakaa chini hakuna madawati au walimu hakuna ila hapa tanzania mwaona jambo la kawaida
 

i love you tanzania
 
Informer mbona unataka kushusha kiwango chako? Kama huoni mantic ya sheria hii basi kiwango chako cha kufikiri kitakuwa kipo chini sana mkuu.
 
Sisi huku Kimara tunataka maji hatuna cha ziada. Barbara za mitaani tunatengenezaga wenyewe kwa michango yetu.
 
Sheria hii isiyo na mipaka inayoeleweka imepoteza lengo zuri lililokusudiwa na pia limepoteza lengo la sheria yoyote nzuri. To every good law there is an exception. Ukiondoa kesi za madai na fidia, lengo kuu la adhabu katika sheria ni kwanza kumfanya mkosefu asirudie kosa na kwa mfano wa adhabu hiyo, kuogopesha au kuzuia watu wasifanye kosa kama hilo.

Sheria hii imeshindwa kutenganisha mkosefu kwa makusudi na mkosefu wa bila kukusudia kufanya kosa. Kama vile hiyo haitoshi, adhabu ni kali na kandamizi pindukia na mbali na haki ya kibinadamu ukizingatiwa kuwa sheria imepitishwa bila kuzingatia maoni ya raia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…