Tume ya uchaguzi ikisema kuwa chama chetu kimeshinda chama chao kwa asilimia 63% Hatutaki ipingwe kama matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo kuna watu walikuwa wanajitokeza na taarifa za kweli, halisi, zilizosainiwa na mawakala wa vyama vyote kuwa Chama chao kilishinda chetu kwa asilimia 53%. Hao wanaosema hivyo hata kama ni kweli lazima watiwe msukosuko. Tusopofanya hivyo tumekwisha!jani watunga sheria wetu ndio wahusika wakuu wa mauaji ya albino
Na kwa bunge hili la ndio mzee hiyo sheria ishapita!
[h=3]Wabunge watano watikisa Bunge la 19[/h]
Mbunge huyo wa Mkanyageni aliibuka Machi 20 na kutoa hoja ya kutaka muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Uhamiaji namba 54 wa mwaka 2014, kutojadiliwa bungeni kwa sababu unagusa mambo ya muungano, ambapo katika hoja yake alisema kama uhamiaji ni eneo la muungano, iweje muswada huo upitishwe na Bunge hilo bila theluthi mbili ya wabunge kutoka Zanzibar kama Katiba inavyotamka.
Application
2. Save for section 50, this Act shall apply to Mainland Tanzania as well as Tanzania Zanzibar.
mswada huu hauna maslahi kwa taifa letu lakini CCM wataupitisha