Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Mapungufu hayo yana madhara makubwa zaidi kwa watu ambao ni innocent
Sasa ni Tit-for- Tat! Wamwage Ugali,Sisi tujiandae kumwaga Mboga na maji yote ya kunawa!
Natoa rai kwa wanaharakati,wadau wa habari tusikate tamaa kirahisi.
Tuanzishe mapambano ikiwa Rais atasaini mswada huu kandamizi wa mitandao na kuwa sheria(Cyber Law) basi tufungue Kesi Mahakama kuu kuitaka mahakama itangaze baadhi ya vifungu kuwa vinakiuka katiba ya nchi (Unconstitutional) hasa Ibara ya 18 na pia vinakiuka misingi ya haki za binadamu.
Kwanza tunaweza kumshinikiza Rais asisaini hadi ufanyiwe marekebisho na njia ya pili ndio hiyo ikiwa atatia saini mswada huo
Pia tuendelee kujiandaa kwa wingi kujiandikisha na kuhamsishana kupiga kura tuondoe utawala huu katili na bunge lao lililojaa ushabiki huku likiua taifa.Tunaweza kutumia mitandao hii kueneza ujumbe.Tukiweza kuunda serikali na kuwa na wabunge wengi bungeni sheria hii kandamizi na nyinginezo tutazifutilia mbali
Misri walizuia kwa sheria kandamizi lakini haikufua dafu bado wananchi walifanya mageuzi makubwa
Tunisia sasa hivi wana serikali ya kidemokrasia kwa kuwa waliitumia mitandao kueneza ujumbe wa mageuzi makubwa.
Tumeshindwa kulidhibiti bunge ambalo CCM wanatumia wingi wao baada ya kupitisha mswada wa kidikteta,wa kikomunisti uliojaa malengo ya kifashisti
Yaani ikishakua Sheria watu wengi watafungwa kwa uonevu tu.Sitetei uhalifu wa kimtandao lakini hatuwezi kufumbia macho sheria kandamizi .Yaani mtu akipokea ujumbe au picha kwenye simu yako hata kama hujamuomba unakua umevunja sheria?
Sasa kwa sababu watawala hawajui ubovu wa sheria hii kwa vile wanafanya makusudi ya kukomoana na sisi tutaitumia hivyo.
Yaani Ukipata kesi tu kwa sababu umetumiwa picha ,basi na wewe mtumie Waziri huyo huyo aliyeupeleka mswada Bungeni, Mtumie na Hakimu anayesikiliza,mtumie na mwendesha mashtaka,mtumie na OCS au Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,Mwanasheria mkuu wa Serikali halafu nao waunganishwe kwenye kesi ndio wataelewa maana ya hiki tunachosema
Kuna wakati inabidi Civil disobedience itumike dhidi ya utawala
This draconian law does not sit well with common sense
It is a total affront on freedom of expression.
Tutumie mashinikizo yote,ya mahakama na hata civil disobedience dhidi ya sheria za kidikteta zinazokandamiza uhuru wa habari,haki za binadamu na pia zinazorudisha taifa nyuma
It's an assault on Democracy!
Aluta Continua,Victory ascerta...
Ben Saanane.