Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja ya Vipengele vinampa uwezo Police yoyote kuchukua Simu ya Mkeo au yako au ya Mtoto wako na Kuipekua.
Hii hoja moja inatosha kuonyesha Wabunge wa CCM hawako sawa.
Dah! Hii nchi imerogwa? Hivi hili Hawa ndio watunga sheria wetu?
Hivi ukikataa inakuwaje?
...........CCM ni chama changu, na-declare interest, lakini tuna wabunge makanjanja wanasubiri kusema ndiyoooooooooo ama siyoooooooo, tena bila hata aibu, mfano, mswada wa Makamba na Boss wake, wachangiaji ni Mwanasheria Mkuu, Tundu Lissu, Mnyika, na Mbarawa/Makamba wao wanasubiri serikali inahitaji ndiyo ama siyo, sijui hata wanafanya nini, shame on them!!!!!!!!! kufikiri kwa tumbo kuna gharama kubwa kuliko fikra ingine yeyoteMoja ya Vipengele vinampa uwezo Police yoyote kuchukua Simu ya Mkeo au yako au ya Mtoto wako na Kuipekua.
Hii hoja moja inatosha kuonyesha Wabunge wa CCM hawako sawa.
Dah! Hii nchi imerogwa? Hivi hili Hawa ndio watunga sheria wetu?
Ni kweli mkuu, mitandao imekuwa na uongo na upotoshaji sana,
Nashindwa kumuelewa mleta mada anaposema sheria kama hii haiendan na demokrasia. Sijui ni demokrasia ipi inayoruhusu uongo na upotoshaji.
Yaani akina Lissu ndiyo wamepitisha hii sheria?
Lengo lao ni kututisha ili wakati wa kampeni tusiwaseme hawa majambazi wao...Kwa mawazo finyu ya ccm wanajua wanakomoa upinzani, kumbe oct wao ndo watakiwa wapinzani. Itawafinya mpaka watahama nchi
mkuu kerubi,umenifurahisha sana kwa kweli.
Hawa jamaa kama huo uchafu utapitishwa na kuwa sheria,wajue kabisa ndio watakuwa wanamwagia petroli kwenye moto,maana kama ulivyoelezea,kuwa "ghost" kwenye mtandao ni rahisi sana,na tutafundishana humu humu,na hapo sasa ndio tutaweka madudu yote hadharani.
NA HAPO NDIPO PENYE MAtatizoNdiko tulikofika? All Assad na Gadaf walifanya hivyo, lakini hali ya kibinadamu ni ngumu na ya hatari sana,
Uchina na Urusi walijaribu havyo lakini utandaridhi vimewashinda,
Sasa kwetu si watafunga kila wanayemhisi tu bila ushahidi?
Naona sasa Internet cafes zitashamiri mijini! Ukirusha mzigo huko unarudi kwenye handset yako kuchangia na kusoma comments.