greybakuza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 897
- 1,276
Usizunguke sana, sema tu umepata chombo kipya...kimekuchanganya!Habari za Asubuhi
Jana mke wangu akulala nyumbani naombeni msaada jinsi ya kuandika talaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuuUsizunguke sana, sema tu umepata chombo kipya...kimekuchanganya!
Talaka siyo Karata...kila lakheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nn hakulala nyumbani? je unafahamu alilala wapi? tuanzie hapoHabari za Asubuhi
Jana mke wangu akulala nyumbani naombeni msaada jinsi ya kuandika talaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma Post number 17 kunajibu la swali lako.Kwa nn hakulala nyumbani? je unafahamu alilala wapi? tuanzie hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkewangu mfanya biashara ndogondogo jana aliniaga anakwenda Dukani kudai madeni
Lakini alikata chocho kwenda kwa kijana. Nika mfumania
Nilimpa kichapo
Akakimbia hakurudi nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah pole sana Umekuta kisu kiko kwenye ala yake au umekuta wanazungumza tu? Je ulishaanza kuhisi chochote kabla
Sent using Jamii Forums mobile app
Talaka ndio kiswahili fasaha ( Divorce)Lugha gongana .......Je ni taraka(divoce) au talaka(divorce)........????
MWENZETU
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wanaotosheka na Wapo wasiotosheka kama ambavyo kuna Wanaume wanaotosheka na wasiotosheka....Hata kama hajafeli popote tatizo Wanawake hamtoshekagi
Pole Sana ila natamani Sana kusikia upande wake.......
Amerudi sasa hivi.Pole Sana ila natamani Sana kusikia upande wake.......
Sio siku zote anayesalitiwa amefeli jamani... Nyege haziangalii pa kutokea.Kabla hujampa Hiyo talaka hebu jaribu kutafiti ww umefeli wapi..... Ili urekebishe kwa ajaye
Nikupm number yake umuulize.Pole Sana ila natamani Sana kusikia upande wake.......
Basi kuna utaratibu wake maalum ambao unakubalika kwa misingi ya ki-fiqh.
Ukirudi mwambie shoga ake aondoke ili umalizane nae wewe mwenyeweKwa shoga yake anaitwa neema
Nimeamua kwenda kunywa chai kwanza ili hukumu ianze maana nina njaa hasira jana usiku sijala.
Sent using Jamii Forums mobile app