Amri_daudi
New Member
- Nov 13, 2012
- 3
- 0
ulokole @ work...........hivi mie najiuliza kwanini akina mama ndio wanao hamaga dini sana? yaani utakuta mama kazaliwa mlutheri akaolewa Rc so akabadili( of which is not bad) huko nako akaona hakuna Mungu kwa imani utamkuta kwa mwingira kesho akiona nako hakuna dini utamkuta Agape sasa najiuliza ivi sisi wanawake tumelogwa ama ni ujinga wa kuzaliwa? kwanini sisi kila siku ni chanzo cha matatizo kwa kupenda kuyumbisha misingi ya familia?
naumia kwa hili sana tu halafu utakuta mama akiingia kwenye haya makanisa ya siku hizi kutwa kucha anakesha kanisani kusali na kutumikia kanisa anasahau familia kabisa siriaz niliona mama mmoja anamuhudumia mch kuliko mumewe hadi mume akamwambia sasa ama uende ukaish na huyo mch ama ubaki hapa nyumban na penyewe bado mama akagom ukawa ugomvi wa ajabu hadi padri kuingilia kwani mama alianza kumyima mumewe unyumba kisa tu hajaokoka jamani jamani acheni tu dunian kuna mambo........
Jee, ni taratibu zipi za kufuata ili mwanandoa aliyefunga ndoa ya Kikristo kanisani aweze kuivunja ndoa hiyo kimahakama au kisheria?
Wataalamu wa Sheria tafadhali naomba mnifahamishe. Natanguliza shukrani.
Hapa naona umezungumza mambo ya maana. Jee, unaweza fafanua zaidi kuhusu kigezo cha "tofauti za dini/kubadili dini"?
Mfano, inatosheleza kwamba mmoja wa wanandoa amebadili dhehebu ndani ya Ukristo? Asante!
Ok,naomba unisaidie kwa ili,suppose mimi ni mwanamke mkatoliki na mume wangu kanifukuza nimeondoka na kuanza maisha kivyangu,Mungu amenisaidia nimefanikiwa kwa biashara nazofanya,unfortunatelly baada ya miaka 20 Mungu ananichukua na ghafla anafika aliyekuwa Mume wangu na kudai mali nilizoacha ni za kwake kwani nilikuwa mkewe na hatukuwa na talaka,je kuna uhalali wowote katika madai yake ya kutaka kufukuza wazazi na ndugu kwenye mali nilizowaachia?Je kuna uhalali baada ya separation ya miaka 20?Kuvunja ndoa ya kikisto hasa kwa wakatoliki ni ngumu nafikiri haiwezekani kama kuna chance kama hiyo ni negligible, mimi nimeshuhudia watu wanapambana kuvunja ndoa imepita miaka 40 sasa wameamua kurudiana, na hata kanisa la uingereza yaani the church of England lilitokea baada ya mfalme wa uingereza kipindi hicho kutaka askofu wa rome(vatkan) kutaka aivunje ndoa yake yule askofu alikataa na hapo mfalme akaamuru waingereza wote kuasi kanisa katoliki na kuanzisha the church of enlgand ili tu apate kibaraka atakaye vunja ndoa yake na aweze kuoa mke mwingine amtakaye yeye, nahitimishs hivii.......kuvunja ndoa ni ngumu sana cha msingi kama umechoka we ni kujiondokea ukaanze maisha mengine asanteni
Pole sana!
Mali mlizo chuma pamoja zitagawiwa sawa baini yenu!
*mali ya mwanamke itabaki kuwa yake
*mali ya mwanaume itabaki kuwa yake labda kama mliandikishana ku share hivyo zitagawiwa sawa!
Yakupasa kusubili mwenendo wa case na utapata haki yako!
Ulifanya kosa kumpa vitu kabla ya kufata taratibu za kisheria!
Mtagawana lakini kwa nini muuze wakati mna mtoto?mi alinikuta na nyumba. bahat mbaya akiwa hayupo nkaongeza umeme na maji vp anahusika?
Logically mtagawana huo umeme na maji!mi alinikuta na nyumba. bahat mbaya akiwa hayupo nkaongeza umeme na maji vp anahusika?