Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Nimeshajibu swali hili.Naomba kuuliza utaratibu wa kupata hati ya talaka upoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshajibu swali hili.Naomba kuuliza utaratibu wa kupata hati ya talaka upoje
Si kweli. Kifungu ulichokitaja kinazungumzia dhanio la ndoaHamuwezi kuacjana hadi ipite miaka 2 ya kuishi pamoja according to Sect 160 of marriage Act.1970
Toa mfano ili unirekebishe. Lakini,usichanganye dini na sheria ninayoizungumzia hapa.Naona majibu ya ndoa yanakua na ubabaishaji kwa upande was kiislam unachapia
Kama ni sheria za watu sawa ila sheria za mungu hakuna ndoa za kuishi miezi sita ndo ikubalike, maana watu wengi tunafanya mambo yetu binafsi huku tukimshurikisha mungu. Hem naomba nijibu kwa ufasaha nini maana ya ndoa kwa sheria ya dini.
mimi nina swazi hili, Jamaa ameoa mke wake wakapata mtoto mmoja mwanamke akaanza tabia za kihuni, kafumaniwa mara tatu jamaa akaomba talaka yake, huyu mwanamke anapewaje haki ya kubaki na mtoto wa miak miwili wakati yeye ni mzinifu atamfundisha maadili gani? hembu nisaidie hapo, mf: kesi ya Joseph Mbilinyi, SUGU. nipe shule mkuu.
80. Appeals(1) Any person aggrieved by any decision or order of a court of a resident magistrate, a district court or a primary court in a matrimonial proceeding may appeal therefrom to the High Court.nisaidie interpretation ya Section 80 kaka
Ni mfano au uhalisia? Tafadhali uliza vitu vya uhalisia ili tusaidianeHESHIMA KWAKO MKUU!!
KWA MFANO NINA KIWANJA CHANGU KIZURI TU...BADAE NIKAPATA MKE NA KUOA..
TUMEISHI KWENYE NYUMBA ZA KUPANGA, BADAE TUKAAMUA KUJENGA NYUMBA YETU KWENYE KIWANJA CHANGU...!
IKATOKEA KUTOELEWANA NA HATIMAYE KUTALIKIANA....JE TUTAGAWANAJE HII NYUMBA? MIMI NAITAKA SANA KWA SABABU IKO NYYMBANI KWENYE KIWANJA CHA URITHI, HASA NI HILO TU, VINGINEVYO INGEKUWA SEHEMU NYINGINE NINGEMUACHIA NA KUANZA UPYA.....NA YEYE ANAITAKA SASA....EBU TUSAIDIENI TUACHANE KWA AMANI.( TUNA WATOTO 3)
Mahakama huamua. Kama Wakili, naheshimu kila uamuzi wa Mahakama. Sina cha kuongeza wala kupunguza hapo kwakuwa sikuwepo wakati wa uendeshaji wa shauri.mimi nina swazi hili, Jamaa ameoa mke wake wakapata mtoto mmoja mwanamke akaanza tabia za kihuni, kafumaniwa mara tatu jamaa akaomba talaka yake, huyu mwanamke anapewaje haki ya kubaki na mtoto wa miak miwili wakati yeye ni mzinifu atamfundisha maadili gani? hembu nisaidie hapo, mf: kesi ya Joseph Mbilinyi, SUGU. nipe shule mkuu.
Ni mfano au uhalisia? Tafadhali uliza vitu vya uhalisia ili tusaidiane
Kuna kesi mahakama yoyote kuhusu kugawana machumo/mali?NI UHALISIA MKUU...
SAMAHANI KWA KUJIELEZA VIBAYA.
IKO HIVI...
NINA KIWANJA CHANGU KIZURI TU...BADAE NIKAPATA MKE NA KUOA..
TUMEISHI KWENYE NYUMBA ZA KUPANGA, BADAE TUKAAMUA KUJENGA NYUMBA YETU KWENYE KIWANJA CHANGU...!
IKATOKEA KUTOELEWANA NA HATIMAYE KUTALIKIANA....JE TUTAGAWANAJE HII NYUMBA? MIMI NAITAKA SANA KWA SABABU IKO NYYMBANI KWENYE KIWANJA CHA URITHI, HASA NI HILO TU, VINGINEVYO INGEKUWA SEHEMU NYINGINE NINGEMUACHIA NA KUANZA UPYA.....NA YEYE ANAITAKA SASA....EBU TUSAIDIENI TUACHANE KWA AMANI.( TUNA WATOTO 3)
Achana nae Mkuu wengine wamezoea utoto wa MMU kila kitu wanafanya utani, utoto na mapambano.Wapi nilikoandika unayoyasema? Weka mfano niliouandika badala ya kuandika kiujumla.
Mkuu,maswali yako ni juu ya mirathi na si ndoa.Mkuu Petro, salam.
Nina swali...kama Mwanamke wa nje amezaa na Mwanaume, baada ya Mwanaume kufariki Mwanamke huyo anang'ng'ania hati ya Nyumba akidai alipewa zawadi ya Nyumba hiyo na Marehemu...ili hali hana maandishi yoyote.
Je, Warithi halali watumie njia gani kupata haki yao bila kupitia mlolongo mrefu utakaogharimu pesa na muda wao?
Je, Mtoto yule wa nje aliyeachwa na Marehemu atahesabiwa kama sehemu ya Warithi ahata kama Marehemu hakuandika kwenye usia wake? ila usia uliandikwa kabla ya Mtoto huyo kuzaliwa.
Ok, nimekuelewa...sasa je Mwanamke huyo anaweza kuitumia ile 'dhana ndoa' kwamba ameishi na Marehemu pamoja kwa miaka miwili hivyo anakidhi vigezo vya kuwa sehemu ya Warithi?Mkuu,maswali yako ni juu ya mirathi na si ndoa.