Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Havi karibuni tumeshuhudia au kusikia au kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa Mahakama imeifuta sheria iliyokuwa inaruhusu msichana wa chini ya miaka 18kuolewa kwa ridhaa ya wazai/walezi.
Swali langu ni hivi?
1. Sheria inasemaje kwa kijana wa kiume chini ya miaka 18 kumuoa masichana zaidi ya 18?
1. Sheria inasemaje juu la jimama la miaka 40 hata zaidi (kwa mfano) kuolewa na kijana mdogo mfano 20, 19, 18, 17 n.k?
Mtusaidies maana kuna mijimama ishachoka na ndoa za wakubwa wenzao, kwa sababu ya mshiko inavamia vitoto vya kiume hatimae kukatishwa masomo kwa kufeli.
 
Naona majibu ya ndoa yanakua na ubabaishaji kwa upande was kiislam unachapia
 
Kama ni sheria za watu sawa ila sheria za mungu hakuna ndoa za kuishi miezi sita ndo ikubalike, maana watu wengi tunafanya mambo yetu binafsi huku tukimshurikisha mungu. Hem naomba nijibu kwa ufasaha nini maana ya ndoa kwa sheria ya dini.
 
Wapi nilikoandika unayoyasema? Weka mfano niliouandika badala ya kuandika kiujumla.
 
mimi nina swazi hili, Jamaa ameoa mke wake wakapata mtoto mmoja mwanamke akaanza tabia za kihuni, kafumaniwa mara tatu jamaa akaomba talaka yake, huyu mwanamke anapewaje haki ya kubaki na mtoto wa miak miwili wakati yeye ni mzinifu atamfundisha maadili gani? hembu nisaidie hapo, mf: kesi ya Joseph Mbilinyi, SUGU. nipe shule mkuu.
 
Mambo hayo ni mambo ya kubishaniwa na kuthibishwa mahakamani. Malezi ya mtoto huwekwa kule kutakapokuwa na ustawi kwake. Kila mmoja anapaswa kuthibitisha namna atakavyofanikisha ustawi wa mtoto.
 
HESHIMA KWAKO MKUU!!

KWA MFANO NINA KIWANJA CHANGU KIZURI TU...BADAE NIKAPATA MKE NA KUOA..
TUMEISHI KWENYE NYUMBA ZA KUPANGA, BADAE TUKAAMUA KUJENGA NYUMBA YETU KWENYE KIWANJA CHANGU...!
IKATOKEA KUTOELEWANA NA HATIMAYE KUTALIKIANA....JE TUTAGAWANAJE HII NYUMBA? MIMI NAITAKA SANA KWA SABABU IKO NYYMBANI KWENYE KIWANJA CHA URITHI, HASA NI HILO TU, VINGINEVYO INGEKUWA SEHEMU NYINGINE NINGEMUACHIA NA KUANZA UPYA.....NA YEYE ANAITAKA SASA....EBU TUSAIDIENI TUACHANE KWA AMANI.( TUNA WATOTO 3)
 
nisaidie interpretation ya Section 80 kaka
80. Appeals(1) Any person aggrieved by any decision or order of a court of a resident magistrate, a district court or a primary court in a matrimonial proceeding may appeal therefrom to the High Court.
(2) An appeal to the High Court shall be filed in the magistrate's court within forty-five days of the decision or order against which the appeal is brought.
(3) Save to the extent provided in any rules made under this Act, the provisions of the Civil Procedure Code viii* relating to appeals shall not apply to appeals under this Act.
(4) Any person aggrieved by a decision or order of the High Court in its appellate jurisdiction may appeal therefrom to the Court of Appeal on any ground of law or mixed law and fact.
(5) Any person aggrieved by a decision or order of the High Court in its original jurisdiction may appeal therefrom to the Court of Appeal.
(6) Notwithstanding the provisions of this section or any other written law, an appeal against a declaratory decree granted under paragraph (e) of subsection (2) of section 94, may be filed within ninety days of such decree.

Wapi hasa hapo?
 
HESHIMA KWAKO MKUU!!

KWA MFANO NINA KIWANJA CHANGU KIZURI TU...BADAE NIKAPATA MKE NA KUOA..
TUMEISHI KWENYE NYUMBA ZA KUPANGA, BADAE TUKAAMUA KUJENGA NYUMBA YETU KWENYE KIWANJA CHANGU...!
IKATOKEA KUTOELEWANA NA HATIMAYE KUTALIKIANA....JE TUTAGAWANAJE HII NYUMBA? MIMI NAITAKA SANA KWA SABABU IKO NYYMBANI KWENYE KIWANJA CHA URITHI, HASA NI HILO TU, VINGINEVYO INGEKUWA SEHEMU NYINGINE NINGEMUACHIA NA KUANZA UPYA.....NA YEYE ANAITAKA SASA....EBU TUSAIDIENI TUACHANE KWA AMANI.( TUNA WATOTO 3)
Ni mfano au uhalisia? Tafadhali uliza vitu vya uhalisia ili tusaidiane
 
mimi nina swazi hili, Jamaa ameoa mke wake wakapata mtoto mmoja mwanamke akaanza tabia za kihuni, kafumaniwa mara tatu jamaa akaomba talaka yake, huyu mwanamke anapewaje haki ya kubaki na mtoto wa miak miwili wakati yeye ni mzinifu atamfundisha maadili gani? hembu nisaidie hapo, mf: kesi ya Joseph Mbilinyi, SUGU. nipe shule mkuu.
Mahakama huamua. Kama Wakili, naheshimu kila uamuzi wa Mahakama. Sina cha kuongeza wala kupunguza hapo kwakuwa sikuwepo wakati wa uendeshaji wa shauri.
 
Ni mfano au uhalisia? Tafadhali uliza vitu vya uhalisia ili tusaidiane

NI UHALISIA MKUU...

SAMAHANI KWA KUJIELEZA VIBAYA.

IKO HIVI...

NINA KIWANJA CHANGU KIZURI TU...BADAE NIKAPATA MKE NA KUOA..
TUMEISHI KWENYE NYUMBA ZA KUPANGA, BADAE TUKAAMUA KUJENGA NYUMBA YETU KWENYE KIWANJA CHANGU...!
IKATOKEA KUTOELEWANA NA HATIMAYE KUTALIKIANA....JE TUTAGAWANAJE HII NYUMBA? MIMI NAITAKA SANA KWA SABABU IKO NYYMBANI KWENYE KIWANJA CHA URITHI, HASA NI HILO TU, VINGINEVYO INGEKUWA SEHEMU NYINGINE NINGEMUACHIA NA KUANZA UPYA.....NA YEYE ANAITAKA SASA....EBU TUSAIDIENI TUACHANE KWA AMANI.( TUNA WATOTO 3)
 
NI UHALISIA MKUU...

SAMAHANI KWA KUJIELEZA VIBAYA.

IKO HIVI...

NINA KIWANJA CHANGU KIZURI TU...BADAE NIKAPATA MKE NA KUOA..
TUMEISHI KWENYE NYUMBA ZA KUPANGA, BADAE TUKAAMUA KUJENGA NYUMBA YETU KWENYE KIWANJA CHANGU...!
IKATOKEA KUTOELEWANA NA HATIMAYE KUTALIKIANA....JE TUTAGAWANAJE HII NYUMBA? MIMI NAITAKA SANA KWA SABABU IKO NYYMBANI KWENYE KIWANJA CHA URITHI, HASA NI HILO TU, VINGINEVYO INGEKUWA SEHEMU NYINGINE NINGEMUACHIA NA KUANZA UPYA.....NA YEYE ANAITAKA SASA....EBU TUSAIDIENI TUACHANE KWA AMANI.( TUNA WATOTO 3)
Kuna kesi mahakama yoyote kuhusu kugawana machumo/mali?
 
Mkuu Petro, salam.

Nina swali...kama Mwanamke wa nje amezaa na Mwanaume, baada ya Mwanaume kufariki Mwanamke huyo anang'ng'ania hati ya Nyumba akidai alipewa zawadi ya Nyumba hiyo na Marehemu...ili hali hana maandishi yoyote.

Je, Warithi halali watumie njia gani kupata haki yao bila kupitia mlolongo mrefu utakaogharimu pesa na muda wao?

Je, Mtoto yule wa nje aliyeachwa na Marehemu atahesabiwa kama sehemu ya Warithi ahata kama Marehemu hakuandika kwenye usia wake? ila usia uliandikwa kabla ya Mtoto huyo kuzaliwa.
 
Mkuu,maswali yako ni juu ya mirathi na si ndoa.
 
Ok, nimekuelewa...sasa je Mwanamke huyo anaweza kuitumia ile 'dhana ndoa' kwamba ameishi na Marehemu pamoja kwa miaka miwili hivyo anakidhi vigezo vya kuwa sehemu ya Warithi?
 
Back
Top Bottom