Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Ndio maana yakeKwamaana hiyo Watendaji wa Kata na Mitaa wataendelea kuwa na sifa ya kusimamia chaguzi kwadababu ni Watumishi wa umma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana yakeKwamaana hiyo Watendaji wa Kata na Mitaa wataendelea kuwa na sifa ya kusimamia chaguzi kwadababu ni Watumishi wa umma!
Ni Kwa maslahi mapana ya nchiNani kamlazimisha kubadilisha sheria Kama hataki ushauri. Wangeacha makada wa CCM kwa mgongo wa Wakurugenzi waendelee kusimamia uchaguzi
Yaan mtawala atoe nafasi aliyonayo ya kuchagua refa then aachie refa mwingine asiyemmudu kweli. Acha utani, utamu wa Madara uujui wewe
Tz tuko zaidi ya 60, je watumishi wa umma wako wangapi kwa idadi na asilimia hadi wao TU ndio wawe wanafaa kwa kazi hiyo? Hakuna sheria kama hiyo ambayo haitapingwa mahakamani. Inafahamika kuwa watendaji wa umma wote wako chini ya mkurugenzi wa wilaya, waziri na Rais.Hao watu waadilifu na weredi walioko nje mfumo Ndo hawatakiwi kusimamia wataleta uadilifu wao kuwatoa watawala
kwani mtumishi wa umma ni Mtendaji wa Kata na Mitaa peke yake?Kwamaana hiyo Watendaji wa Kata na Mitaa wataendelea kuwa na sifa ya kusimamia chaguzi kwadababu ni Watumishi wa umma!
Ubaguzi unatoka wapi hapa? Kila kazi ina vigezo na masharti. Vigezo sio ubaguzi ni utaratibu tu.Bunge limepitisha mswada uliopelekwa bungeni na serikali kufanya mabadiliko ya katiba kwenye kipengele cha tume ya uchanguzi.
Sasa kwa sheria mpya iliyopitishwa na bunge wakurugenzi wa wilaya na mamea wataacha kuwa wasimamizi wa uchaguzi moja kwa moja kutokana na nafasi zao wilayani. Badala yake wasimamizi wa uchaguzi watatokana na watumishi wa umma; yaani walioajiliwa na serikali inayotawala na inayowalipa mishahara Yao na kuwapandisha vyeo (wako kwenye kanzidata ya serikali na payroll yao) tu.
Kama sheria inabagua raia wake kati ya watumishi wa umma na wasio watumishi wa umma sheria hiyo ni batiri, inatakiwa kuangaliwa upya. Watumishi wa umma ni kundi dogo sana dhidi ya kundi kubwa la wasiokuwa watumishi wa umma. Na Kuna watu wengi wenye sifa za kuwa watumishi wa umma lakini hawakupata nafasi ya kupata ajira kwenye utumishi wa umma. Na Kuna watu waadilifu na weledi walioko nje ya utumishi wa umma ambao wangeweza kufanya kazi kwenye tume ya uchanguzi vizuri sana kuliko walioko kwenye utumishi wa umma.
Sheria hii itizamwe upya.
Bunge limepitisha mswada uliopelekwa bungeni na serikali kufanya mabadiliko ya katiba kwenye kipengele cha tume ya uchanguzi.
Sasa kwa sheria mpya iliyopitishwa na bunge wakurugenzi wa wilaya na mamea wataacha kuwa wasimamizi wa uchaguzi moja kwa moja kutokana na nafasi zao wilayani. Badala yake wasimamizi wa uchaguzi watatokana na watumishi wa umma; yaani walioajiliwa na serikali inayotawala na inayowalipa mishahara Yao na kuwapandisha vyeo (wako kwenye kanzidata ya serikali na payroll yao) tu.
Kama sheria inabagua raia wake kati ya watumishi wa umma na wasio watumishi wa umma sheria hiyo ni batiri, inatakiwa kuangaliwa upya. Watumishi wa umma ni kundi dogo sana dhidi ya kundi kubwa la wasiokuwa watumishi wa umma. Na Kuna watu wengi wenye sifa za kuwa watumishi wa umma lakini hawakupata nafasi ya kupata ajira kwenye utumishi wa umma. Na Kuna watu waadilifu na weledi walioko nje ya utumishi wa umma ambao wangeweza kufanya kazi kwenye tume ya uchanguzi vizuri sana kuliko walioko kwenye utumishi wa umma.
Sheria Nadhani ni vigezo tu
Ni vigezo tu na mashartiBunge limepitisha mswada uliopelekwa bungeni na serikali kufanya mabadiliko ya katiba kwenye kipengele cha tume ya uchanguzi.
Sasa kwa sheria mpya iliyopitishwa na bunge wakurugenzi wa wilaya na mamea wataacha kuwa wasimamizi wa uchaguzi moja kwa moja kutokana na nafasi zao wilayani. Badala yake wasimamizi wa uchaguzi watatokana na watumishi wa umma; yaani walioajiliwa na serikali inayotawala na inayowalipa mishahara Yao na kuwapandisha vyeo (wako kwenye kanzidata ya serikali na payroll yao) tu.
Kama sheria inabagua raia wake kati ya watumishi wa umma na wasio watumishi wa umma sheria hiyo ni batiri, inatakiwa kuangaliwa upya. Watumishi wa umma ni kundi dogo sana dhidi ya kundi kubwa la wasiokuwa watumishi wa umma. Na Kuna watu wengi wenye sifa za kuwa watumishi wa umma lakini hawakupata nafasi ya kupata ajira kwenye utumishi wa umma. Na Kuna watu waadilifu na weledi walioko nje ya utumishi wa umma ambao wangeweza kufanya kazi kwenye tume ya uchanguzi vizuri sana kuliko walioko kwenye utumishi wa umma.
Sheria hii itizamwe upya.
Kwa box la kura tu CCM haiwezi toka madarakani, Watanzania bila kutumia mbadala tutaendelea kuumia chini ya CCM
Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao kila siku kuna mtu analalamika kuhusu kitu flan, ukimfurahisha huyu mwingine analalamika.Bunge limepitisha mswada uliopelekwa bungeni na serikali kufanya mabadiliko ya katiba kwenye kipengele cha tume ya uchanguzi.
Sasa kwa sheria mpya iliyopitishwa na bunge wakurugenzi wa wilaya na mamea wataacha kuwa wasimamizi wa uchaguzi moja kwa moja kutokana na nafasi zao wilayani. Badala yake wasimamizi wa uchaguzi watatokana na watumishi wa umma; yaani walioajiliwa na serikali inayotawala na inayowalipa mishahara Yao na kuwapandisha vyeo (wako kwenye kanzidata ya serikali na payroll yao) tu.
Kama sheria inabagua raia wake kati ya watumishi wa umma na wasio watumishi wa umma sheria hiyo ni batiri, inatakiwa kuangaliwa upya. Watumishi wa umma ni kundi dogo sana dhidi ya kundi kubwa la wasiokuwa watumishi wa umma. Na Kuna watu wengi wenye sifa za kuwa watumishi wa umma lakini hawakupata nafasi ya kupata ajira kwenye utumishi wa umma. Na Kuna watu waadilifu na weledi walioko nje ya utumishi wa umma ambao wangeweza kufanya kazi kwenye tume ya uchanguzi vizuri sana kuliko walioko kwenye utumishi wa umma.
Sheria hii itizamwe upya.
Nadhani iko siku janjajanja hizi zitawafilkisha watanzania kwenye mbinu mpya za kulalamikia mambo ya kisiasa na kisheria na kihaki. Ingawa siku hizo haziko karibu kwetu, lakini haziko mbali sana, Siku utakayooana bandari kuna wageni wengi, ardhi ya kilimo na kufugia imepungua sana, maegesho ya bodaboda mijini yamejaa, wamachinga wanaondolewa sehemu za kiholela wanazofanyia biashara, sehemu za wazi wanazofanyiabiashara zimepungua au zimejaa sana, na kila mfanyabiashara anatoa kodi halali bila kukwepa, basi ujue siku hiyo imekaribia kama sio kufika kabisa. Sasa hivi maegesho ya bodaboda na taxi bado yapo mengi, watu wanashiba bado hivyo usijusumbue kuitisha maandamano hawaji na hawakuelewi.Kwa box la kura tu CCM haiwezi toka madarakani, Watanzania bila kutumia mbadala tutaendelea kuumia chini ya CCMi
watu wanatabia ya kukichoka kitu hata kama kitu hicho ni kizuri na kitamu namna gani. Lakini kuna kundi halitaki kuikubali kanuni hiyo ya msingi ya maumbile ya mwanadamu. Hata mkeo mzuri saana kuna siku unaweza kumzaba kibao.Hivi hili swala la uchaguzi linavyofanywa kua gumu hivi ni kwa nchi zote duniani au ni Tz peke yake?.Kwasababu mbona ni jambo dogo sana ambalo wala haliitaji nguvu nyingi.nguvu zinakua nyingi kwasababu waliopo madarakan hawana uhakika wakuendelea kuwepo.Yaani pamoja nakujitapa nakujusifia wamefanya mambo makubwa ila bado hawajiamini kua wananchi wako upande wao.Tatizo ni woga wa hao wakubwa wala sio taratibu za nani asimamie na nani asisimamie.
Wananchi wanachokitaka sio mihemko, bali wanataka kila kura iliyotumbukizwa kwenye box na mpiga kura ihesabiwe kama ilivyopigwa, na isiwepo kura inayoongezwa wala kupunguzwa kwenye box la kura na matokeo yatangazwe kama kura zilivyopigwa. Hiki ndicho tunachokitafuta bila kujali chama gani kimeongoza kwa miaka mingapi au ni kikubwa kiasi gani.Haya ndio mawazo Mgando.
Nchi haiwezi kuwekwa kwenye mikono ya watu wasiowaadilifu. Na Uchaguzi ni mchakato ambao km tukikosea kwa kuangalia mihemko ya watu pasi na kuangalia ustawi wa nchi, basi tutatetereka sanaaa.
Tufanye maamuzi sahihi kwenye box sio midomoni tu
ndio maana ya wengi wape na wachache wasikilizwe. Shida yetu iko kwenye kutambua wengi ni nani na wachache ni nani. Chaguzi zetu zinafisha wengi wanataka nini na wachache wanataka nini pia.Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao kila siku kuna mtu analalamika kuhusu kitu flan, ukimfurahisha huyu mwingine analalamika.