Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Vibaraka ni hao hao mnaoshinda nao hapo kila siku.

Toka TANZANIA ianze ni Diaspora gani hata amewahi kurudi nyumbani na kuiibia nchi?

Majizi yako hapo hapo. Kwanza Diaspora wanajiamini. Hawawaogopi wazungu kama wanavyofanya watu ambao hawajawahi kuishi nje.
Pia ni rahisi kumnunua mtu asiye na exposure kuliko mwenye exposure.
 
kwendeni kule.mnataka kutuletea mamluki nchi yetu..nnadhani mna lengo la kuuza nchi kwa ushabiki huu
 
fear of unknown.
sizonje hofu yote hii ni LISSU.

sasa mtu kishajaza wasukuma idara zote nyeti, tena ndugu waw damu na watoto hofu ya nini?
kila teuzi kaweka mtu wake, b
 
Mmekwenda huko kufanya nini kama mnapenda nchi yetu.Mtu anayependa nchi yake is ready even to suffer in his/her country whatever the circumstances.Yaani unakwenda kuwapa faida mabeberu.It is shortsightedness to say the least.
 
Kuna mantiki katika hili;

Sioni umuhimu wa kumchagua mtu ambaye anawafahamu anaowaomba kura kupitia vyombo vya habari.

Lazima kiongozi uwe sehemu ya hao unaotaka kuwaongoza.
 
Sishangai. Yote hata ni kumwogopa Tundu Lissu maana wanajua akiwa mgombea tu anatoboa. Duh ama kweli TL anawanyima usingizi!
 
Kuna mantiki katika hili;

Sioni umuhimu wa kumchagua mtu ambaye anawafahamu anaowaomba kura kupitia vyombo vya habari.

Lazima kiongozi uwe sehemu ya hao unaotaka kuwaongoza.
Lengo la hii sheria ni hili tu basi.
 
Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Usishangae ukaona tafsiri tofauti na ilivyozoeleka. Sheria kitu cha ajabu sana.
 
Hakuna mtu atakayekuwa na sifa hiyo kwa sababu hata kitendo cha Mh. Rais kwenda ziara nje ya nchi kinamnyima sifa hiyo. Hawezi kukaa nchini miaka 2 mfululizo.
Soma mada vizuri
 
Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Ndugu yangu chini ya huyu mshambaa kila kitu kimeparanganyika, Sheria ya bodi ya mikopo makato toka 8% kwenda 15% imetukumba na tuliomaliza chuo miaka ya 2000's hili unalizungumziaJe in relation to hii Sheria??
 
.....nishauri soote turudi kwa Mwenyezimungu tumuombe kwa dhati atuongoze pale tulipokosea na atujaalie amani upendo bila ya kujali dini na vyama vyetu.
Wewe na mimi hatujui tutaishi juu ya mgongo wa dunia mpaka lini,tuchukuwe tahadhari...baada ya maisha ya hapa duniani kuna maisha tena huko tuendako ambayo ni ya milele.
 
Sheria hutungwa si kwa mlenga mtu aliekwisha tenda kosa bali kwa tatakaye tenda baada ya kusainiwa sheria hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…