Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Vibaraka ni hao hao mnaoshinda nao hapo kila siku.

Toka TANZANIA ianze ni Diaspora gani hata amewahi kurudi nyumbani na kuiibia nchi?

Majizi yako hapo hapo. Kwanza Diaspora wanajiamini. Hawawaogopi wazungu kama wanavyofanya watu ambao hawajawahi kuishi nje.
Pia ni rahisi kumnunua mtu asiye na exposure kuliko mwenye exposure.
Miaka miwili ni kitu gani jamani,mbona haitoshi mtu anayetaka kugombea urais kuwajua Watanzania kwa ndani.Kwa nini isiwe kwamba ni lazima awe anaishi Tanzania?Hii kitu inaweza kututokea puani.Watu ambao wameshaishi nje mara nyingi wanakuwa vibaraka wa mabeberu.Kwa nini tunashindwa kuelewa kwamba mtu anayekimbia nchi yake kwa sababu yeyote ile sio mzalendo wa kweli.Tunataka kumfurahisha nani kulegeza masharti kiasi hicho?
 
Akili zingine, kwahiyo unataka kubagua diaspora wasishiriki demokrasia nchini kwao?

Kwa faida gani? Hili ndilo kundi lenye exposure na maarifa ya kufanya mabadiliko.

Wewe unataka viongozi wawe watu waliokulia huko huko, kukaa huko huko. Mwisho ni madhara ya ushamba.

Lazima uchanganye watu wenye exposure tofauti ndio unapata maendeleo.

Kwanza ni wasiwasi wa bure. Ni Watanzania wangapi Diaspora wamewahi kuwa viongozi TAnzania?

Kama tuko nyuma ni matokeo ya hao hao akina Msukuma ambao hawajawahi hata kusafiri.
kwendeni kule.mnataka kutuletea mamluki nchi yetu..nnadhani mna lengo la kuuza nchi kwa ushabiki huu
 
Habari JF siasa.

Ukishangaa ya Musa utayaona ya Farao/ Firauni.
Sheria mpya ya uchaguzi itawasilishwa bungeni mapema November 2019 au February 2020. Lengo la sheria hii ni kuwabana wagombea urais waghaibu au diaspora ambao wanajipanga kuwania urais.

Sheria hii mpya ya uchaguzi itamtaka Mgombea Urais awe ameishi nchini Tanzania kwa miaka walau miwili mfululuzo hadi kufikia Mwezi August 2020 ili akidhi kigezo cha kupewa Fomu na NEC na hatimaye kugombea urais.

Chanzo changu nyeti serikalini kimeniambia mkakati huu umeiva na nitege sikio Bungeni November 2019 au February 2020.

Mimi nilimkatalia katakata lakini kasimama na msimamo wake.
Nilimuuliza je kama Mtaka urais kasafiri nje ya nchi siku moja au hata wiki mbili ndani ya hiyo miaka miwili itakuwaje?
Alijibu hili halina shida hata kidogo lakini ikiwa ni mwezi au miezi kadhaa basi hapo Mgombea atakosa sifa.

Yangu macho!!
fear of unknown.
sizonje hofu yote hii ni LISSU.

sasa mtu kishajaza wasukuma idara zote nyeti, tena ndugu waw damu na watoto hofu ya nini?
kila teuzi kaweka mtu wake, b
 
Vibaraka ni hao hao mnaoshinda nao hapo kila siku.

Toka TANZANIA ianze ni Diaspora gani hata amewahi kurudi nyumbani na kuiibia nchi?

Majizi yako hapo hapo. Kwanza Diaspora wanajiamini. Hawawaogopi wazungu kama wanavyofanya watu ambao hawajawahi kuishi nje.
Pia ni rahisi kumnunua mtu asiye na exposure kuliko mwenye exposure.
Mmekwenda huko kufanya nini kama mnapenda nchi yetu.Mtu anayependa nchi yake is ready even to suffer in his/her country whatever the circumstances.Yaani unakwenda kuwapa faida mabeberu.It is shortsightedness to say the least.
 
Kuna mantiki katika hili;

Sioni umuhimu wa kumchagua mtu ambaye anawafahamu anaowaomba kura kupitia vyombo vya habari.

Lazima kiongozi uwe sehemu ya hao unaotaka kuwaongoza.
 
Sishangai. Yote hata ni kumwogopa Tundu Lissu maana wanajua akiwa mgombea tu anatoboa. Duh ama kweli TL anawanyima usingizi!
Habari JF siasa.

Ukishangaa ya Musa utayaona ya Farao/ Firauni.
Sheria mpya ya uchaguzi itawasilishwa bungeni mapema November 2019 au February 2020. Lengo la sheria hii ni kuwabana wagombea urais waghaibu au diaspora ambao wanajipanga kuwania urais.

Sheria hii mpya ya uchaguzi itamtaka Mgombea Urais awe ameishi nchini Tanzania kwa miaka walau miwili mfululuzo hadi kufikia Mwezi August 2020 ili akidhi kigezo cha kupewa Fomu na NEC na hatimaye kugombea urais.

Chanzo changu nyeti serikalini kimeniambia mkakati huu umeiva na nitege sikio Bungeni November 2019 au February 2020.

Mimi nilimkatalia katakata lakini kasimama na msimamo wake.
Nilimuuliza je kama Mtaka urais kasafiri nje ya nchi siku moja au hata wiki mbili ndani ya hiyo miaka miwili itakuwaje?
Alijibu hili halina shida hata kidogo lakini ikiwa ni mwezi au miezi kadhaa basi hapo Mgombea atakosa sifa.

Yangu macho!!
 
Kuna mantiki katika hili;

Sioni umuhimu wa kumchagua mtu ambaye anawafahamu anaowaomba kura kupitia vyombo vya habari.

Lazima kiongozi uwe sehemu ya hao unaotaka kuwaongoza.
Lengo la hii sheria ni hili tu basi.
 
Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Usishangae ukaona tafsiri tofauti na ilivyozoeleka. Sheria kitu cha ajabu sana.
 
Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Ndugu yangu chini ya huyu mshambaa kila kitu kimeparanganyika, Sheria ya bodi ya mikopo makato toka 8% kwenda 15% imetukumba na tuliomaliza chuo miaka ya 2000's hili unalizungumziaJe in relation to hii Sheria??
 
.....nishauri soote turudi kwa Mwenyezimungu tumuombe kwa dhati atuongoze pale tulipokosea na atujaalie amani upendo bila ya kujali dini na vyama vyetu.
Wewe na mimi hatujui tutaishi juu ya mgongo wa dunia mpaka lini,tuchukuwe tahadhari...baada ya maisha ya hapa duniani kuna maisha tena huko tuendako ambayo ni ya milele.
 
Sheria hutungwa si kwa mlenga mtu aliekwisha tenda kosa bali kwa tatakaye tenda baada ya kusainiwa sheria hiyo.
 
Back
Top Bottom