Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Uzuri wa sheria huanza kazi pale inaposainiwa
 
zengwe limeanza kumkata lissu
 
nawashauri CCM waimarishe tu jeshi la police waachane na hii sheria kandamizi.
 
Ni utoto wa kiutuuzima unawasumbua watu wazima
 
Wala haishangazi hawa wapuuzi wa wana ujasiri wa kichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…