Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Ndugu yangu chini ya huyu mshambaa kila kitu kimeparanganyika, Sheria ya bodi ya mikopo makato toka 8% kwenda 15% imetukumba na tuliomaliza chuo miaka ya 2000's hili unalizungumziaJe in relation to hii Sheria??
Akikujibu nitag
 
Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Mbona sheria ya board ya mikopo imeact kwa kukata 15% Tanzania yote yanawezekana.
 

Kaka siku hizi sharia zinatungwa kuelnga watu specific
 
Kifo cha nyani miti yote haishikiki huku anahangaika na Membe,huku na akina Makamba na Kinana kwa kutumia kipaza sauti chake Musiba,sasa karukia kwa Lissu kweli Lissu wewe ni nomaaaa sana huku nyumbani kivuli chako kinawakimbiza waheshimiwa.
 

[emoji1610]
 
Mbunge yuko mjengoni kwa interest za taifa wala sio jimbo, jimbo huwa ni geresha tuu
 
Inawezekana ila ilisikika kuna watu walijipanga kwenda mahakamani lakini inashangaza hawasikiki tena?

Inawezekana walitishiwa na mkono wa chuma!
Hakuna mtu aliyekuwa na interest ya kuichallenge mahakamani, angejitokeza mtu ingepigwa chini
 
Inawezekana ila ilisikika kuna watu walijipanga kwenda mahakamani lakini inashangaza hawasikiki tena?

Inawezekana walitishiwa na mkono wa chuma!

Sasa Lissu utamtishia mkono wa Chuma?
Survivor wa risasi 16 anaogopa nini tena? . Atawaburuza mahakamani
 
KWA HIO PReSIdENT LiSu bado anawavuruga tumbo sio ee
 
Je kwamgonjwa na anavielelezo kama lisu(Mr September 7),inatafsiriwaje kwani naona kama bado wanapwaya juu yake
 
Hivi mastermind wa hizi takataka ni John mwenyewe , makonda au kabudi ?
 
Hakuna mtu atakayekuwa na sifa hiyo kwa sababu hata kitendo cha Mh. Rais kwenda ziara nje ya nchi kinamnyima sifa hiyo. Hawezi kukaa nchini miaka 2 mfululizo.
Kusafiri haiwezi kukuondolea sifa. Hii sheria ipo kwenye nchi za Europe kama una apply for a long stay visa. Wewe kwenda kutembea Spain hauwezi kusema unaishi Spain. Kuishi ni pamoja na kuwa na permanent address, medical doctor etc.
 
Kwa bunge hili la maccm inawezekana kabisa.bunge hili linatunga mpaka sheria zinazokinzana na katiba yetu. Hili bunge tumelamba hasara.
 
Wana wasiwasi gani na Lisu hata kama akishinda watampora ushindi....
Wanamfahamu uwezo wake kisheria kiuongozi na ushawishi kwa kuheleweka haraka na vilevile wanahofia kwakua atakuwa support kutoka icc na jopo la wanasheria mfano fatuma karume na kibatari itakuwa kisanga mkuu
 
Mimi nashauri wangetunga sheria mtu aliewahi kupigwa risasi zaidi ya kumi na hakufa asigombee.

Maana huyo hatakua binadamu wa kawaida.
Pia wangetunga sheria mgombea urais sharti apate kibali toka ikulu cha kuchukua fomu ya urais..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…