Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #101
Kumbuka polisi hulinda sheria, hivyo sheria za kuzilinda ziweponawashauri CCM waimarishe tu jeshi la police waachane na hii sheria kandamizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka polisi hulinda sheria, hivyo sheria za kuzilinda ziweponawashauri CCM waimarishe tu jeshi la police waachane na hii sheria kandamizi.
Akikujibu nitagNdugu yangu chini ya huyu mshambaa kila kitu kimeparanganyika, Sheria ya bodi ya mikopo makato toka 8% kwenda 15% imetukumba na tuliomaliza chuo miaka ya 2000's hili unalizungumziaJe in relation to hii Sheria??
Mbona sheria ya board ya mikopo imeact kwa kukata 15% Tanzania yote yanawezekana.Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
kwaiyo unatakaje?Matusi marufuku humu uzini
Hii sheria inaweza kuwa nzuri kama itakuwa haina lengo ovu. Hata mimi sioni ni vizuri mtu aliyekuwa anaishi nje ya nchi kwa miaka miwili arudi kugombea. Ila tuwe na tahadhari, kusafiri kusiwe kikwazo na hata kukaa muda mrefu kwa ajili ya matibabu isiwe kikwazo. Na tusiishie kwenye urais tu bali kwangu mimi ubunge ndiyo muhimu zaidi. Tuweke sheria kuwa mbunge ni lazima awe mkazi wa kudumu wa jimbo lake na asiwe anaishi sehemu nyingine. Familia yake pia iwe inaishi kwenye jimbo analoliwakilisha.
Mbona sheria ya board ya mikopo imeact kwa kukata 15% Tanzania yote yanawezekana.
Miaka miwili ni kitu gani jamani,mbona haitoshi mtu anayetaka kugombea urais kuwajua Watanzania kwa ndani.Kwa nini isiwe kwamba ni lazima awe anaishi Tanzania?Hii kitu inaweza kututokea puani.Watu ambao wameshaishi nje mara nyingi wanakuwa vibaraka wa mabeberu.Kwa nini tunashindwa kuelewa kwamba mtu anayekimbia nchi yake kwa sababu yeyote ile sio mzalendo wa kweli.Tunataka kumfurahisha nani kulegeza masharti kiasi hicho?
Mbunge yuko mjengoni kwa interest za taifa wala sio jimbo, jimbo huwa ni geresha tuuHii sheria inaweza kuwa nzuri kama itakuwa haina lengo ovu. Hata mimi sioni ni vizuri mtu aliyekuwa anaishi nje ya nchi kwa miaka miwili arudi kugombea. Ila tuwe na tahadhari, kusafiri kusiwe kikwazo na hata kukaa muda mrefu kwa ajili ya matibabu isiwe kikwazo. Na tusiishie kwenye urais tu bali kwangu mimi ubunge ndiyo muhimu zaidi. Tuweke sheria kuwa mbunge ni lazima awe mkazi wa kudumu wa jimbo lake na asiwe anaishi sehemu nyingine. Familia yake pia iwe inaishi kwenye jimbo analoliwakilisha.
Hakuna mtu aliyekuwa na interest ya kuichallenge mahakamani, angejitokeza mtu ingepigwa chini
Inawezekana ila ilisikika kuna watu walijipanga kwenda mahakamani lakini inashangaza hawasikiki tena?
Inawezekana walitishiwa na mkono wa chuma!
KWA HIO PReSIdENT LiSu bado anawavuruga tumbo sio eeHabari JF siasa.
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Farao/ Firauni.
Sheria mpya ya uchaguzi itawasilishwa bungeni mapema November 2019 au February 2020. Lengo la sheria hii ni kuwabana wagombea urais waghaibu au diaspora ambao wanajipanga kuwania urais.
Sheria hii mpya ya uchaguzi itamtaka Mgombea Urais awe ameishi nchini Tanzania kwa miaka walau miwili mfululuzo hadi kufikia Mwezi August 2020 ili akidhi kigezo cha kupewa Fomu na NEC na hatimaye kugombea urais.
Chanzo changu nyeti serikalini kimeniambia mkakati huu umeiva na nitege sikio Bungeni November 2019 au February 2020.
Mimi nilimkatalia katakata lakini kasimama na msimamo wake.
Nilimuuliza je kama Mtaka urais kasafiri nje ya nchi siku moja au hata wiki mbili ndani ya hiyo miaka miwili itakuwaje?
Alijibu hili halina shida hata kidogo lakini ikiwa ni mwezi au miezi kadhaa basi hapo Mgombea atakosa sifa.
Yangu macho!!
HawaweziWana wasiwasi gani na Lisu hata kama akishinda watampora ushindi....
Je kwamgonjwa na anavielelezo kama lisu(Mr September 7),inatafsiriwaje kwani naona kama bado wanapwaya juu yakeHabari JF siasa.
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Farao/ Firauni.
Sheria mpya ya uchaguzi itawasilishwa bungeni mapema November 2019 au February 2020. Lengo la sheria hii ni kuwabana wagombea urais waghaibu au diaspora ambao wanajipanga kuwania urais.
Sheria hii mpya ya uchaguzi itamtaka Mgombea Urais awe ameishi nchini Tanzania kwa miaka walau miwili mfululuzo hadi kufikia Mwezi August 2020 ili akidhi kigezo cha kupewa Fomu na NEC na hatimaye kugombea urais.
Chanzo changu nyeti serikalini kimeniambia mkakati huu umeiva na nitege sikio Bungeni November 2019 au February 2020.
Mimi nilimkatalia katakata lakini kasimama na msimamo wake.
Nilimuuliza je kama Mtaka urais kasafiri nje ya nchi siku moja au hata wiki mbili ndani ya hiyo miaka miwili itakuwaje?
Alijibu hili halina shida hata kidogo lakini ikiwa ni mwezi au miezi kadhaa basi hapo Mgombea atakosa sifa.
Yangu macho!!
Kusafiri haiwezi kukuondolea sifa. Hii sheria ipo kwenye nchi za Europe kama una apply for a long stay visa. Wewe kwenda kutembea Spain hauwezi kusema unaishi Spain. Kuishi ni pamoja na kuwa na permanent address, medical doctor etc.Hakuna mtu atakayekuwa na sifa hiyo kwa sababu hata kitendo cha Mh. Rais kwenda ziara nje ya nchi kinamnyima sifa hiyo. Hawezi kukaa nchini miaka 2 mfululizo.
Wanamfahamu uwezo wake kisheria kiuongozi na ushawishi kwa kuheleweka haraka na vilevile wanahofia kwakua atakuwa support kutoka icc na jopo la wanasheria mfano fatuma karume na kibatari itakuwa kisanga mkuuWana wasiwasi gani na Lisu hata kama akishinda watampora ushindi....
Pia wangetunga sheria mgombea urais sharti apate kibali toka ikulu cha kuchukua fomu ya urais..Mimi nashauri wangetunga sheria mtu aliewahi kupigwa risasi zaidi ya kumi na hakufa asigombee.
Maana huyo hatakua binadamu wa kawaida.
Mkuu lissu Ni mtanzania smart sana, jwe hawezi shindana na lissu jukwaani kamwe.huo Ni ukweliKwanini Jiwe anamuogopa Lissu?