Sheria za kufuata unapotaka kumuacha Mke kwa talaka

ndoa ya kanisani haifi hadi kifo au takala. kule kwa msajili majina yenu bado yanasomeka na hamtakiwi kufunga ndoa ingine kisheria hadi iyo ivunjwe. ukifunga ndoa wakati ipo inayoendelea ni kosa la jinai. be careful
Mkuu naomba kukuuliza mimi ni muislam lakini nina suali juu ya haya ulio ongea. Umesema hakuna kuachana kwenye ndoa ya kikristo mpaka kufa na ukioa tena kosa la jinai.
1 Hio jinai ipo kwenye imani au kwenye sheria za serikali?
2 Je kipo kipengele kinachosema mkristo anaruhusiwa mke mmoja mpaka kufa kwenye biblia? Kama ipo naomba unitumie hapa.
3 Kama kipo kipengele kinachosema kosa la jinai kuoa tena, pia naomba unitumie hapa.

Suali jengine tuseme mtu mmoja mkewe/mume kasalitiwa na ndio kwanza yupo mid 20's. Huyu akiwa na hamu ya tendo la ndoa afanye nini? Amfate mke/mume alietengana nae na kumuomba unyumba au? Manake akitoka nje itakawa amezini au kwenye ukristo hakuna kuzini?
 
Siyo jinai bana. Ni kwamba iyo ya pili inakuwa batili na haipo. Hivyo hakuna haki zozote za kindoa mtu anaweza kudai kutokana na ndoa hii batili na isiyowahi kuwepo/tupu(Null and void)

Yaani inaitwa "void marriage" (ndoa tupu)
 
Ni jinai. Na kuna adhabu sio kwa muoaji/muolewaji tu, bali hata mtu mwingine yoyote (imamu/padre/witness) "who participated to that particular witness na upon conviction kwamba walijua kulikua na ndoa inayoexist, watalipa fine tsh.2000 au kifungo miezi 3 au vyote. Soma sheria ya ndoa miscellenious section
 
Duh...ok!
Katika mazingira hayo, ni lazima mme aanzie kupeleka shauri kanisani au anaweza kwenda mahakamani moja kwa moja. Na mfano kanisa lisiporidhia kutoa talaka, je mwanandoa anaweza kupeleka shauri moja kwa moja mahakamani kwa ushahidi huo wa kuandikishana??

Unajua serikali haipendi ku entertain talaka, kwa sababu in madhara mengi, na wanajaribu kuokoa ndoa, kwa hiyo huwa ni wagumu sana kukubali haraka haraka! kwa case yenu.... hii ndoa haipo tena, na pia ilihusisha wazazi pande mbili ujue, na wakabariki, so mahakama haitaleta ugumu hata kidogo.

Kulifanya raisi, anaweza akaanzia kwa Mchungaji ili awe na support nzuri mahakamani. Kanisa halitoi talaka ndugu, ndoa ni ya Serikali Kaka, ndo maana kila cheti kinatokea serikalini.... kanisa haliwezi kukukatalia talaka wala kukupa talaka, kanisa ni agent tu wa serikali kwenye hili, mdau mkubwa ni serikali.
 
Kwa maana ya ndoa ni muunganiko wa hiari baina ya watu wawili MKE na Mme , kuna ndoa aina 2 polygamous & monogamous naenda kwenye mada linapotokea suala la migogolo kwenye ndoa kuna mahakama au board inayotambuliwa na sheria inaitwa reconciliatory board ,
Hii board ni ya usuluhishi ikishindwa Ku reconcile inatoa hat ya kwamba imashindwa ndo suala linaenda mahakamani ,

Suala la talaka mahakama hai force mpaka petitioner aombe talaka na makahama ijiridhishe kuwa ndoa ime break down irreparably ili itoe talaka
Hii IPO under sec 107 sheria ya ndoa ya mwk 1971. Evidence that marriage broken down .
Na mahakama inaweza kutoa order zifuatazo yaani
1.Dicree of divorce
2,Dicree of annulment
3. Order of separation
4, Order of maintenance

Kwa scenario hiyo hao mashahidi wazazi na polisi hio inaweza kuwa kutumika tu kama ushahidi wa kugawa Mali lakini ndoa haijafa maana hakuna ushahidi unaoonyesha ndoa ime break down irreparably hao ni wanadoa bado ila wametengana tu kwa io hakuna hatua ya kisheria iliyotumika hapo ,hata kwenye reconciliatory board haijapelekwa ingekuwa kila MTU anaamua anavyojisikia hizi board na mahakama zisingekuwa na nguvu, kwaio kuzingatia sheria ndoa njia pekee yako mambo mengi sana sheria ya ndoa imeeleza kuhusiana na migogolo ya ndoa.kuna kesi ambazo zimeripotiwa mfano kesi ya bi HAWA Mohammed vs IDD self 1983 TLR 32 na kesi ya ATHANAS MAKUNGWA v DARIN HASANI 1983 TLR 132 HC.
Kwa io kesi hizi utaona umuhimu wa boards na mahakama
# Obiter dictum. #
 
Nakubali, ila kama pamekuwa na makubaliano ya mke na mume, yakaridhiwa na wazazi wa upande wote, mpaka ikafikia kiwango mwanamke akadai mali zigawanywe, ukaandikwa muhtasari wa wazazi wote, watoto, na mgawanyo, nina uhakika it will be considered and itamrahisishia. Ndoa haijafa ndio, maana kasahau kipengele muhimu, lakini vielelezo alivyonavyo vitamsaidia kuipata kiurahisi sana.
 
Ndoa ya Ukweli ni ya Kiislamu tu,
Mwanamke akileta za kuleta anakula Talaka yake papo hapo na kwenda kwao,hakuna cha kugawana mali wala madeni[emoji1321]
.....naam ndoa si biashara, ndoa kando na biashara/mali kando !
 
Mkuu naomba kukuuliza mimi ni muislam lakini nina suali juu ya haya ulio ongea. Umesema hakuna kuachana kwenye ndoa ya kikristo mpaka kufa na ukioa tena kosa la jinai.
1 Hio jinai ipo kwenye imani au kwenye sheria za serikali?
2 Je kipo kipengele kinachosema mkristo anaruhusiwa mke mmoja mpaka kufa kwenye biblia? Kama ipo naomba unitumie hapa.
3 Kama kipo kipengele kinachosema kosa la jinai kuoa tena, pia naomba unitumie hapa.

Suali jengine tuseme mtu mmoja mkewe/mume kasalitiwa na ndio kwanza yupo mid 20's. Huyu akiwa na hamu ya tendo la ndoa afanye nini? Amfate mke/mume alietengana nae na kumuomba unyumba au? Manake akitoka nje itakawa amezini au kwenye ukristo hakuna kuzini?
...ukipata huu ufafanuzi na facts, tafadhali ni tag.
 
Ni kweli ni sheria, lakini huku kuandikisha sio kupoteza mda, na ukienda mahakamani kutafuta official talaka itakuwa raisi kupata hata huyo binti asipotokea kwa maana alisha ridhia kuachana 100%... so huko kuandikishana kutakusaidia kuelekea officia talaka, so ulifanya vyema!

Sasa hiyo karatasi pekee haiwezi kukusaidia, ila ni nyenzo nzuri ya kufanya hatua itakayokusaidia sana ndugu!
Ila pia, ni lazima ajue mambo mawili muhimu sana kisheria, kwanza ni mahakama pekee yenye mamlaka ya kutoa talaka, tena huzitoa kwa ndoa zote hata za kidini namaanisha hata za kikatoliki, pili ni sababu, kuna sababu spesho zilizoainishwa kisheria zinazoweza kupelekea mahakama kuitoa hiyo talaka, kuchokana haipo.
 
Ndoa ya kanisani taraka inatokaje? Mahakaman
Mahakama pekee ndo yenye kibali cha kutoa talaka. Zingine zote ni mazoea ya makubaliano tu, ila mmoja akikataa akaenda mahakamani, itabatilishwa kama haikuwa na sababu za msingi.
 
Ndoa ya Ukweli ni ya Kiislamu tu,
Mwanamke akileta za kuleta anakula Talaka yake papo hapo na kwenda kwao,hakuna cha kugawana mali wala madeni[emoji1321]
Kasome kesi ya Bi Hawa Mohamedi, nimekwambia ni mahakama tu ndio yenye mamlaka ya kutoa talaka na wala si kwa kufuata utaratibu wa kidini bali kisheria. Mkipeana talaka zenu kidini, nyote mtulie tuli, ila mmoja wenu akimpeleka mwenzake mahakamani, hapo ndo utayaelewa haya.
 
Mkuu naomba kukuuliza mimi ni muislam lakini nina suali juu ya haya ulio ongea. Umesema hakuna kuachana kwenye ndoa ya kikristo mpaka kufa na ukioa tena kosa la jinai.
1 Hio jinai ipo kwenye imani au kwenye sheria za serikali?
2 Je kipo kipengele kinachosema mkristo anaruhusiwa mke mmoja mpaka kufa kwenye biblia? Kama ipo naomba unitumie hapa.
3 Kama kipo kipengele kinachosema kosa la jinai kuoa tena, pia naomba unitumie hapa.

Suali jengine tuseme mtu mmoja mkewe/mume kasalitiwa na ndio kwanza yupo mid 20's. Huyu akiwa na hamu ya tendo la ndoa afanye nini? Amfate mke/mume alietengana nae na kumuomba unyumba au? Manake akitoka nje itakawa amezini au kwenye ukristo hakuna kuzini?
Hayo yako nje ya mada, ya Ukristo waachie wenyewe. Kwao wafungapo ndoa huapishwa "kwamba wataishi kwa upendo na kuvumiliana ktk shida na raha" neno shida linabeba mengi. Bible imesema mtu asimuache mkewe isipokuwa kwa kosa moja tu, uasherati, pia imesema, amuachae mkewe (uasherati) na kuoa mwingine atakuwa anazini, hapo tu na kwa ugumu huo tu ushajua hakuna kuachana kama una imani kweli za kikristu.

Ukiacha usioe tena. Mengine labda ni kwa sheria za makanisa.

Tuje kwenye mada, talaka hutolewa mahakamani tu, nyingine zote kisheria hazitambuliki.
 
Kwa maana ya ndoa ni muunganiko wa hiari baina ya watu wawili MKE na Mme , kuna ndoa aina 2 polygamous & monogamous naenda kwenye mada linapotokea suala la migogolo kwenye ndoa kuna mahakama au board inayotambuliwa na sheria inaitwa reconciliatory board ,
Hii board ni ya usuluhishi ikishindwa Ku reconcile inatoa hat ya kwamba imashindwa ndo suala linaenda mahakamani ,

Suala la talaka mahakama hai force mpaka petitioner aombe talaka na makahama ijiridhishe kuwa ndoa ime break down irreparably ili itoe talaka
Hii IPO under sec 107 sheria ya ndoa ya mwk 1971. Evidence that marriage broken down .
Na mahakama inaweza kutoa order zifuatazo yaani
1.Dicree of divorce
2,Dicree of annulment
3. Order of separation
4, Order of maintenance

Kwa scenario hiyo hao mashahidi wazazi na polisi hio inaweza kuwa kutumika tu kama ushahidi wa kugawa Mali lakini ndoa haijafa maana hakuna ushahidi unaoonyesha ndoa ime break down irreparably hao ni wanadoa bado ila wametengana tu kwa io hakuna hatua ya kisheria iliyotumika hapo ,hata kwenye reconciliatory board haijapelekwa ingekuwa kila MTU anaamua anavyojisikia hizi board na mahakama zisingekuwa na nguvu, kwaio kuzingatia sheria ndoa njia pekee yako mambo mengi sana sheria ya ndoa imeeleza kuhusiana na migogolo ya ndoa.kuna kesi ambazo zimeripotiwa mfano kesi ya bi HAWA Mohammed vs IDD self 1983 TLR 32 na kesi ya ATHANAS MAKUNGWA v DARIN HASANI 1983 TLR 132 HC.
Kwa io kesi hizi utaona umuhimu wa boards na mahakama
# Obiter dictum. #
Nimekupa like kubwa sema tu zitajionesha sawa.
 
Nakubali, ila kama pamekuwa na makubaliano ya mke na mume, yakaridhiwa na wazazi wa upande wote, mpaka ikafikia kiwango mwanamke akadai mali zigawanywe, ukaandikwa muhtasari wa wazazi wote, watoto, na mgawanyo, nina uhakika it will be considered and itamrahisishia. Ndoa haijafa ndio, maana kasahau kipengele muhimu, lakini vielelezo alivyonavyo vitamsaidia kuipata kiurahisi sana.
Hayo makubaliano yenu mwende nayo hivyohivyo tu, lakini siku mmoja akibadili gia angani na kwenda mahakamani, matokeo ndio haya unayopewa, ndoa bado ipo kisheria. Mahakama inazitambua ndoa za kimila na kidini lakini haitambui talaka zake, full stop.
 
Siyo jinai bana. Ni kwamba iyo ya pili inakuwa batili na haipo. Hivyo hakuna haki zozote za kindoa mtu anaweza kudai kutokana na ndoa hii batili na isiyowahi kuwepo/tupu(Null and void)

Yaani inaitwa "void marriage" (ndoa tupu)
wewe ni mwanasheria mkuu? pitia vifungu hivi ukimaliza urudi tujadili tena.

section 152(1),(2),(3),(4) of the Tanzania Law of Marriage Act [Cap.29 R.E 2002].

152.-(1) A married woman who is a party to a ceremony whereby she purports to marry another man shall be guilty of an offence.

(2) A man who is a party to a ceremony whereby he purports to marry a woman who is married to another man knowing or having reason to believe that she is so married, shall be guilty of an offence

(3) Any person guilty of an offence under subsection (1) and (2) shall be liable on conviction to imprisonment for a term not exceeding three years.

(4) Any person who participates in any such ceremony with knowledge of the fact which makes the ceremony a nullity shall be guilty of an offence and shall be liable on conviction to imprisonment for a term not exceeding three years.
 
Nakubali, ila kama pamekuwa na makubaliano ya mke na mume, yakaridhiwa na wazazi wa upande wote, mpaka ikafikia kiwango mwanamke akadai mali zigawanywe, ukaandikwa muhtasari wa wazazi wote, watoto, na mgawanyo, nina uhakika it will be considered and itamrahisishia. Ndoa haijafa ndio, maana kasahau kipengele muhimu, lakini vielelezo alivyonavyo vitamsaidia kuipata kiurahisi sana.
kitu cha kufahamu ni kwamba, mfumo wa sheria yetu ya ndoa,pamoja na kwamba tulicopy ile bill wakenya waliweka pembeni (hahaha), ukweli wake ni kwamba mfumo wake umeegemea zaidi sheria za uingereza za ndoa zenye msimamo kwamba watu wanapofunga ndoa hawategemei kuachana hadi kifo kiwatenganishe, ndio maana kuiendea mahakama unatakiwa uwe na certificate ya balaza la usuluhishi likiwa limethibitisha kuwa ndoa hiyo imevunjika kabisa kabisa na hakuna uwezekano kuiamsha tena, kama kuna mazingira ya kuiamsha tena, talaka haitakiwi. vikwazo vyote hivi vya ndoa vilitokana na aina ya mfumo wa sheria tulionao. kufunga ndoa ni rahisi, lakini kuivunja kuna vikwazo kama hivyo. hoja kwamba wanandugu wakiwa wameshuhudia makubaliano yenu kuachana na kugawana mali etc mahakama itaconsider, hiyo ni shortcut ambayo sheria haiitambui. lakini hatushangai, mahakamani ziku zote kuna short cuts kwasababu sio waamuzi wote huwa na akili moja na kuna force nyingi nyuma ya hizi ndoa...mwingine kama amemchoka mwenza anaweza kutoa hata hela talaka itoke na shortcut kama hizo mahakimu nao ni wanadamu. ila tukifuata mstari ni kwamba ukiisogelea mahakama kuomba talaka unatakiwa kuwa na cheti toka balaza la usuluhishi kuwa ndoa haiwezisimama tena wameshindwa kuwasuluhisha kabisakabisa. what if they write in the cirtificate kwamba ndoa imevunjika lakini kuna dalili mnaweza kupatana in the near future au kama baadhi ya mambo fulani yakitekelezwa?...
 
Kasome kesi ya Bi Hawa Mohamedi, nimekwambia ni mahakama tu ndio yenye mamlaka ya kutoa talaka na wala si kwa kufuata utaratibu wa kidini bali kisheria. Mkipeana talaka zenu kidini, nyote mtulie tuli, ila mmoja wenu akimpeleka mwenzake mahakamani, hapo ndo utayaelewa haya.
Upuuzi mtupu.serikali haina dini wanajinasibu hivyo,sasa wang'ang'anie talaka hiyo ndoa walifungisha wao?na kama haina dini vipi watayajua mambo ya dini?dini waachiwe wenye dini zao.na ndoa niseemu ya ibada,kawaambie nawenzako muache shobo,au kawapangieni wasiokua na talaka ktk maandiko yao mume au mke mzinzi ubaki nae tu?ukisikia uzwazwa ndio uo
 
Back
Top Bottom