RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Sheria za Tanzania kuhusu ndoa kuwa Mwanaume anatakiwa kulea na kuitunza familia peke yake bila pesa za mkewe kutumika inatakiwa ibadilishwe kutokana na mabadiliko ya kijamii kwa sasa maana kipindi kile mwanaume ndo alikuwa sole provider wa familia ila kutokana na mapinduzi ya kijamii ambao imewafanya wanawake wako financially independent na hivyo wanaweza tengeneza pesa aidha kupitia ajira za Serikalini au ujasiriamali, hivyo wanapata income kupitia source mbalimbali pia. Kwanini pesa zao zisitumike pamoja kuinua familia na kujikwamua kwenye dimbwi kubwa la umaskini?
Na hizo pesa wanazopata wanazitumia wapi? Unakuta badala yake wanaspend vibaya kwa vitu visivyofaa na mwisho wanapata viburi ikitokea wamemzidi mwanaume Kwa kipato then ndoa inavunjika halafu wanataka 50/50 wakati hakuwahi toa hata income yake kuwalipia ada watoto wake mwenyewe, Je hii ni sahihi?
Nawasilisha
Sheria hii iangaliwe tena imepitwa na wakati