Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Hahaha Ulaya ngumu kuchezesha mchezaji mwenye kadi Tatu za njano, na Kagera walichofanya walikuwa wanakijua na waliamini hawatotambiliwaSijayaona hayo ligi yoyote ya ulaya na makosa wanafanya kama haya na rufaa tunazisikia sana,nachokisikia ni kupigwa faini au mchezaji kufungiwa au Viongozi kupata adhabu,au timu kulipa faini.
Sijasikia kubadili matokeo ya uwanjani ligi ya nchi za ulaya.Labda nipe mfano ambao siujui
Real Madrid mwaka jana/juzi alitolewa kwenye cops delay na alikuwa kashinda kwa kuchezesha mchezaji mwenye kadiSijayaona hayo ligi yoyote ya ulaya na makosa wanafanya kama haya na rufaa tunazisikia sana,nachokisikia ni kupigwa faini au mchezaji kufungiwa au Viongozi kupata adhabu,au timu kulipa faini.
Sijasikia kubadili matokeo ya uwanjani ligi ya nchi za ulaya.Labda nipe mfano ambao siujui
Alitolewa ok. Na vp opponent wake, alipewa points 3 + magoli ma3, labda?Real Madrid mwaka jana/juzi alitolewa kwenye cops delay na alikuwa kashinda kwa kuchezesha mchezaji mwenye kadi
Ungekuwa umecheza mpira ungeelewa hoja ya mtoa mada. Ukweli ni kwamba mtenda kosa wa kwanza kabisa ni TFF wenyewe.. Wao ndio wenye wajibu wa kutunza rekodi zote za mchezo wa soka hapa Nchini! Wao ndio wenye kusema nani atashiriki katika mchezo na nani hatoshiriki!Mkuu naomba ku "declare interest" kuwa mimi ni mshabiki wa Simba
-ila naomba uniambie kuwa tatizo la ile kamati ya saa 72 ni nini?
-na pia niambie kama hizi sheria zimepitwa na wakati tufwate sheria zipi??(kwa makosa ya timu kutotunza rekodi)
Haya mengine yanayotokea ni show off tu za watu. Ligi yetu mbovu na imejaa ushabiki
Poleni yanga imekula kipande yenu wakati huu
Brother, TFF ni mratibu wa sheria na kanuni za League... Yy ataonekana pale sheria au kanuni zimezidi.Ungekuwa umecheza mpira ungeelewa hoja ya mtoa mada. Ukweli ni kwamba mtenda kosa wa kwanza kabisa ni TFF wenyewe.. Wao ndio wenye wajibu wa kutunza rekodi zote za mchezo wa soka hapa Nchini! Wao ndio wenye kusema nani atashiriki katika mchezo na nani hatoshiriki!
Kabla ya mchezo wowote kuna kikao kinaitwa Pri-match meeting! Kikao hiki hushirikisha wadau muhimu katika mchezo, marefa, viongozi wa timu, kamisaa na wengineo. Hapa ndipo kila mmoja hupewa utaratibu wa mchezo. Ni jezi gani timu zitavaa, ni wachezaji gani wenye kadi wasioruhusiwa kwenye mchezo, ni muda gani mchezo utaanza nk.
Lengo la kikao hiki huwa ni kuondoa sintofahamu za kipuuzi ili hatimaye matokeo ya uwanjani yabaki salama.
Swali la kujiuliza ni je, kikao hiki kilifanyika? Na kama kilifanyika, je kilitimiza wajibu wake?
Ukianzia hapa ndipo utakuwa na uelekeo sahihi wa kujua kosa liko wapi!
Jambo lingine muhimu ni kujua nani aliwataarifu Simba juu ya kasoro hiyo lkn akaona sio muhimu kuwataarifu Kagera Sugar.
Ninaamini Kagera sugar na hata vilabu vingine wanastahili haki ya kupewa takwimu mbali mbali zihusianazo na mchezo wa soka hapa Nchini, na chombo pekee chenye wajibu huu ni TFF. Je, wanafanya hivyo?
Unazungumziaje rufaa ya yanga kwa Lyon walofanya kosa ka la mazembe? Vp rufaa ya police Dom kwa simba kuhusu kumchezesha lufunga? Hvyo ndo vinavyoleta ukakasi mpaka kufikia watu kulaumu sana coz inauma unapoona Wenzako wanapata point mezani ambapo ata wewe ulipaswa kuzipataMatatizo ya Akili, soka ni mchezo na una sheria, bila sheria za Soka hakuna soka lenyewe, simba Azam wote wameshawahi kupoteza point mezani. TP Mazembe alishatolewa mezani Champion league dhidi ya Simba walimchezesha Javier Bokungu ambaye transfer yake ilikuwa bado kutoka Esperance kwenda Mazembe
Vita ni moja, ila kuna tofauti ya mbinu za kupigana vita, hapo ukiwa dhaifu siku zote utaangukia puaUnazungumziaje rufaa ya yanga kwa Lyon walofanya kosa ka la mazembe? Vp rufaa ya police Dom kwa simba kuhusu kumchezesha lufunga? Hvyo ndo vinavyoleta ukakasi mpaka kufikia watu kulaumu sana coz inauma unapoona Wenzako wanapata point mezani ambapo ata wewe ulipaswa kuzipata
Hiyo ngoma jumanne inarudishiwa kwa kageraWale Jamaa.wamehama Porini na wamehamia Mezani
Uhalisia ile kadi ya tatu imetengenezwa na ndiyo maana jumanne wanaitwa wadau wote na vielelezo na kwa taarifa tu ni kuwa point zinarudishwa kagera sugarMkuu naomba ku "declare interest" kuwa mimi ni mshabiki wa Simba
-ila naomba uniambie kuwa tatizo la ile kamati ya saa 72 ni nini?
-na pia niambie kama hizi sheria zimepitwa na wakati tufwate sheria zipi??(kwa makosa ya timu kutotunza rekodi)
Haya mengine yanayotokea ni show off tu za watu. Ligi yetu mbovu na imejaa ushabiki
Poleni yanga imekula kipande yenu wakati huu
Sawa ila mm nimesema tu kwamba Siku hizi Wamehama Porini Wamehamia Mezani
Wewe ndiyo zoba yaani unajiona wewe ndiyo pekee mwenye kuchangia mawazo yako hapa JF?Jenga maisha yako acha kuwaza utahira, hukuzaliwa kuikosoa TFF ulizaliwa ili uwe mtawala katika dunia hii,
amka toka usingizini wewe
Jumanne point 3 zinarudishiwa kagera sukariHoja yako ni ipi? Sheria ziangaliwe upya au kagera arudishiwe points tatu??..we unataka nini kati ya hivyo hebu chagua moja uwe huru maana naona huelewi unataka nn mpaka sasa
Wazo zuri sana mkuuMatokeo ya uwanjani yabaki kama yalivyo na kama kuna timu inafanya makosa then wapate adhabu kwa hayo makosa bila kuathiri matokeo ya mchezo.
Tayari wameshakata rufaaHivi una matokeo ya Kirumba leo?
Jumanne point 3 zinarudishiwa kagera sukari
ulitaka wapewe nn ? serengeti boys karudishwa mashindanoni kwa ajili ya hiyo, real madrid alitolewa mashindanoni kwa ajili ya hiyo msimu uliopitaHaya mambo ya Timu kunyang'anywa point kiukweli si mazuri.
Sheria ziangalie makosa yaliyojitokeza na kutoka adhabu lakini matokeo ya uwanjani yabaki kama yalivyo.
Kiukweli timu kupewa pointi za mezani ni kizamani sana
Sheria ziangaliwe upya kwa TFF
Wenzio walipanda jets nyie mnaambulia YUTONGNilidhani zinarudishwa Algeria