Shetani ana uwezo mkubwa sana

I see Sawa. Kwanza naomba nikufahamishe kwamba mimi sio kijana, umri umeanza kunitupa mkono.

Pili, umejibu tu hoja moja ya umiliki...
Labda kama unaweza kujadili tuijadili hiyo.. Unaposema mmiliki maana yake nini?
 
Mbaya zaidi tunachimbwa mkwara kwmba tukimfuata tutaishia jehannama .
Najiuliza mgogoro wa shetani na mungu unamhusu vipi mwanadamu ???
Mbona shetani hajaandika vitabu vya kumshutumu mungu Kama mungu anavyoandika vitabu vinavyomshutumu shetani ??
Inashangaza!
 
Sawa.Ila afadhali niamini yupo halafu nisimkute,kuliko kuamini hayupo halafu nimkute,that is common sense.Afterall I do not loose anything.
 
Afadhali niamini yupo halafu nisimkute,kuliko kuamini hayupo halafu nimkute,that is common sense.Afterall I do not loose anything.
 


I'm talking about the "eternal hell" you pointed out, the one which will overtake the wrongdoers ---according to you, it will be eternal hell, as you said earlier that Our God is not a dictator (I agree with you on that), then how comes that the wrongdoers will be punished in the eternal hell for the wrongs they did in just a comparatively short time, the time they lived on earth??--- is this a justice to be punished eternally??!!
 
Mokaze nimesema hivii,if you choose Satan, you have choosen hell because Satan's place is hell.How do you choose the ways of Satan and expect to go to Heaven,that is impossible.Upo msemo usemao "ukipenda ua penda na boga lake pia." Umempenda Shetani na njia zake,penda pia hell.

Halafu niku-kumbushe kwamba Heaven is for righteous people only!Wewe kama sio mtakatifu huwezi kuingia mbinguni.So choose Satan and go to hell or choose God and go to Heaven,hakuna midpoint.
 
Afadhali niamini yupo halafu nisimkute,kuliko kuamini hayupo halafu nimkute,that is common sense.Afterall I do not loose anything.
Vitabu vya dini vimesema Mungu hapendi kamari
 
Sawa.Ila afadhali niamini yupo halafu nisimkute,kuliko kuamini hayupo halafu nimkute,that is common sense.Afterall I do not loose anything.
Uamini yupo, Mungu gani?

Vipi kama unayemuamini yupo hayupo, na siku ya mwisho ukakutana na Mungu mwingine ambaye uliaminishwa kuwa ni Mungu wa kipagani (potofu). Utafanyaje?
 
Eti, kamuumba kwa gharama kubwa sana.
 
Imeandikwa, mawazo na akili za mwanadamu aziwezi fananishwa na za Mungu.
Umelaaniwa wewe.
Hata mawazo yako na akili hatuwezi kukufananisha na Einstein, lakini utofauti huo hauleti muujiza wowote wa kufanya einsten aonekane Mungu
 
Uamini yupo, Mungu gani?

Vipi kama unayemuamini yupo hayupo, na siku ya mwisho ukakutana na Mungu mwingine ambaye uliaminishwa kuwa ni Mungu wa kipagani (potofu). Utafanyaje?
Tusubiri kama Mungu wa kipagani yupo,time will tell,hakuna haja ya kuandikia mate.Fikra zako zimepofushwa kabisa na Shetani,nakufananisha na Ng'ombe wa kuchinjwa tu.Pole sana.

Hivi seriously you believe the Universe and the forces that puts it together and all that is in it,is a game of chance hakuna a super intelligent organizer? I will be very stupid and probably a loon to believe that.
 
Ukiwa na mtazamo huo basi nakutegemea kukuona ukiwa mtu wa kwanza kupinga dhana ya uwepo Mungu ambaye hana chanzo

Ukisema Mungu ndio chanzo cha vyote hivyo halafu ukaweka nukta kwamba yeye hana chanzo basi premise yako uliyoanza naye itakuwa irrational
 
Hatuwezi kutoboa, kwani hata Mungu mwenyewe hatumjui
 
Vitabu vya dini vimesema Mungu hapendi kamari
Wewe nakufananisha na chumvi iliyo haribika.How do you compare faith in God na kamari.Wewe Mungu ameshakuacha,ndio maana unamuamini Shetani ambaye ni kiumbe,badala ya kumuamini Mungu aliyemuumba.Pole sana.
 
Chanzo cha vyote hivyo ni nini according to Satan,big bang?Very stupid thoughts.Mungu mwenyewe amewa-describe watu kama ninyi as stupid,kwa kuwa he says uumbaji wake unamshuhudia kwamba yupo,so hamna udhuru, kwa hiyo hamtaepuka hasira yake.

Finally,binadamu kama ninyi Shetani anawacheka sana,because he knows that God is the creator of the Universe and all that is in it.Anawasanifu sana aisee.
 
Wewe nakufananisha na chumvi iliyo haribika.How do you compare faith in God na kamari.Wewe Mungu ameshakuacha,ndio maana unamuamini Shetani ambaye ni kiumbe,badala ya kumuamini Mungu aliyemuumba.Pole sana.
Kwani imani inakupa matokeo mangapi?

Na kamari inakuja na matokeo mangapi?

vyote hivyo kimatokeo vipo kwenye mfumo mmoja whether positive or negative, kinyume chake ni ujuzi maana ushakuwa na uhakika
 
Unamuona shetani ni kiumbe mwenye nguvu sana usijue ni kwa sababu anapewa nafasi sana. Inaonesha hujajua bado kwa nini Yesu alikuja duniani au unadhani alikuja kuzurura?. Kaa ndani ya Kristo Yesu uone kama hutoboi.
Kusema kweli sijawahi kuona au kusikia mtu ambae ameshika dini Sana yuko vizuri kiuchumi ukitoka hawa wachungaji / askofu wa michongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…