Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
I see Sawa. Kwanza naomba nikufahamishe kwamba mimi sio kijana, umri umeanza kunitupa mkono.Unazijua mbinu za Shetani kijana??
Shetani akikuambia kitu usimwamini ni uongo
Quote
“Ndani yake ( rohoni mwake) Hapana ukweli “ Bible!
Kwa hivyo wakati shetani anamwambia yesu kwamba miliki zote za ulimwengu ni zake he was lying!!
In fact alikua anaongea kwa mmiliki halisi hahahaa!
Ndiyo Shetani ni mjanja kama wanawake tuu na kusema hivyo AMEJIMILIKISHA
Kumbuka kujimilikisha siyo kumiliki bali kujifanya wewe mmiliki
Yani utengeneze milki wewe halafu umwachie mwingine, mwanadamu hawezi kufanya hivyo Vipi Mungu”!
Na bible inapoandika kwa kumnakili Shetani haimanishi anachokisema Shetani ni kweli
Kwa iyo Shetani siyo mmiliki na hajawahi kumiliki ulimwengu huu tangu mwanzo na hata siku ile anajaribu Kumdanganya yesu hakuwa mmiliki!
Mungu ni bepari mmoja mzuri tu ambaye hawezi kugawa mali zake at any cost!
Mungu ni Capitalist tena wa ngazi ya Imperialist kabisa
Halafu usije dhani Mungu Siyo mjanja kwamba ujanja anao ibilisi/ Shetani tuu hahahaa
Mungu Mjanja hata Shetani hafui dafu!
Ukitaka kujua Mungu ni Mjanja Angalia alivyokua anawashauri Waisrael wapigane vita—- Full Mbinu na walikua wanashinda!
Mungu ni mjanja na kisasa tunasema “ Mtoto wa Mjini “ huwezi Mwingiza Kingi hata kidogo!
Mungu anaujua Uongo sema hawezi Sema Uongo yeye husema Ukweli daima——
Aseme Uongo ili iweje wakati yeye ni mtawala na mmiliki na ndiyo top!!
Shetani Anaujua ukweli lakini daima hawezi toa neno lenye ukweli kinywani mwake!!
Mungu ndiye aliyeweka foundation ya Natural laws zote unazozijua hadi zile psychological Laws!
Na in the end!
Huwezi mdanganya Mungu
Bible imerekodi maandishi ambayo ni Mawazo ya Mtu/ Watu hata kabla hawajayasema au kuyatekeleza
Utakuta maneno kama haya
1. “Akasema moyoni mwake”
2. “ Akawaza”
Nk
Hata Shetani ameandikiwa alikua mwema hadi siku ile uovu ulipoingia moyoni mwake !
Shetani akasema moyoni mwake “Nitapanda hadi mlima wa Mungu “
Ebu imajini mawazo ya Mtu/ kiumbe yanawekwa wazi katika maandishi!!!
Kwa hiyo Shetani hajawin hii vita na yupo restless sana now hadi imeandikwa state yake sasa hivi “ anazunguka huku na huko “
Mtu anayezunguka huku na huko akitafuta mtu ammeze means yupo Anahangaika!!
Simply jamaa yupo Vitani and anatafuta watu awameze kwa njia zote zaidi ikiwa Uongo na Kuwafanganyia watu Mali!
Jamaa ukila chake lazima ulipie hana free lunch
Lakini ebu tazama vya Mungu tunavyovitumia Bila malipo hadi raha!
Pili, umejibu tu hoja moja ya umiliki...
Labda kama unaweza kujadili tuijadili hiyo.. Unaposema mmiliki maana yake nini?