Shetani Baba Yangu ( Devil My Father )

Shetani Baba Yangu ( Devil My Father )

Sehemu ya 17

Basi nilisonga mpaka restaurant ya karibu mitaa ya msimbazi nikala kisha nikasepa sikwenda nyumbani
nilishika njia mpaka kandokando ya barabara kisha nilifanya uchawi kidogo na kumpa mkono dada mmoja ambaye alinivutia

Mimi habari (nimeshampa mkono tayari)
Huyo dada: Nzuri sana unasemaje
Mimi: Nimevutiwa na wewe twende tukalale nitakulipa ujira mkubwa
Huyo dada: (akawa kama anafikiria) shilling ngapi?
Mimi: twende niliongoza njia mpaka hoteli moja maarufu nikala chumba na tukazama
Mtoto wawatu kaenda kuoga kaja mimi nikaenda ila najua hapa hachomoki mtu

tulianza kula denda mdomdo mipapaso ya hapa na pale, kulamba kila section baada ya hapo nikamweka style pendwa (kifo cha mende) kusema ukweli napenda sana kuona sehemu ambayo na kwenda
Nilizama na kuanza kupiga yangu kweli tulimaliza salama wote

Eeee yupe dada alisema kwa sauti nimefanya nini?
Nilijua fika kuwa akili ndio inamrudia mimi nilimwambia ndio hivyo naomba unipe namba yako nikuingizie pesa nilizo kuahidi
SITAKI PESA YAKO MBWA WEWE

Nilikaa kimya na baada ya kumaliza kujiandaa niliacha business card hapo na kumwambia utakapokuwa na shida na pesa yako nitafute
Nikala kona huku nikijua huyu hatoboi kokote ni lazima afe
Nakweli ile pete nilianza kuihisi ni ya baridi sana sana
Nilipitiliza mpaka nyumbani na kweli ilikuwa jioni mida ya saa 18

Nilienda kuoga vizuri na kupumzika, nilishtuka saa 3 mlango ukigongwa nilienda kufungua ndipo nilipomkuta mdogo wangu akisema mlinzi alituambia umerudi njoo ule

nakuja niliitikia kwa ufupi na kurudi ndani na kukaa kwenye kitanda changu kwa dk kadhaa na kuamua kwenda kula

nilifika na kusalimia nikatengewa chakula na kuanza kula, Mama jana ulimuwa wapi?

Mimi: Tulienda kutazama biashara ambayo tuliwekeza kitambo na baba (Nilisema hivi nikijua tu soon mchele unamwagika wa maana)

Dada: umeona taarifa ya meli kuzama ziwa Victoria wametoka watu kumi tu

Mama: Dah inahuzunisha sana, ehe baba yako sinimarehemu

mimi: yupe ni kama baba yangu ndio kasababisha yote haya

mama: mhhhh haya

mdogo wangu : Kaka jana tulitembelewa na mtumishi

waaaaat Nilishtuka ni nani huyo?
mdogo wangu: mzee mmoja anauwalaza hapo nyuma

mimi: akasemaje?

mdogo wangu: Eti anaona damu kwenye hii nyumba

Mimi: Anawazimu huyo tena msikaribishe matapeli humu ndani sawa

ITAENDELEA
 
Kumjua Mungu ni chanzo cha Hekima.
Huko kwingine mtapapasa papasa sana bila majibu na kuishia kujikana.

Huko kwingine hakuna njia nyingine zaidi ya kumtegemea Shetani. Shetani ni Ufalme wa "Nikupe Nikuumize"

Usipo ifahamu njia ya Wokovu, Njia ya kumfikia mwenye Nguvu. Utaishia kuadhibiwa na Shetani.

Shetani hana Rafiki. Shetani Nia yake kubwa ni kumwangamiza mwanadamu, ili akufuru amfuate Kuzimu na kuishia kutupwa katika ziwa la moto kama yeye.

Hebu kesho mwambie Shetani akupe shilingi moja tu isiyo na masharti ya kukuadhibu.
Na uje utuambie atakavyo kujibu.

Shetani na Majini ni jamii moja.
 
Kumjua Mungu ni chanzo cha Hekima.
Huko kwingine mtapapasa papasa sana bila majibu na kuishia kujikana.

Huko kwingine hakuna njia nyingine zaidi ya kumtegemea Shetani. Shetani ni Ufalme wa "Nikupe Nikuumize"

Usipo ifahamu njia ya Wokovu, Njia ya kumfikia mwenye Nguvu. Utaishia kuadhibiwa na Shetani.

Shetani hana Rafiki. Shetani Nia yake kubwa ni kumwangamiza mwanadamu, ili akufuru amfuate Kuzimu na kuishia kutupwa katika ziwa la moto kama yeye.

Hebu kesho mwambie Shetani akupe shilingi moja tu isiyo na masharti ya kukuadhibu.
Na uje utuambie atakavyo kujibu.

Shetani na Majini ni jamii moja.
Umeongea kweli kabisa 100%
 
[emoji23][emoji23] unashangaa kama mimi kipenzi eti yule ubobo wa mwanzo kapewa sijui life ban kwahiyo hii ni i'd yake nyingine kaja kuanza upya kuleta story yaani acha tujisomee tu
Jamani wewe kipenzi usinifanyie hivyo
Ila soon tu i will be back stay safe
 
Back
Top Bottom