Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poor brainNi kweli Wakuu maua sama naskia ametoa albamu mpya..
Ila kiukweli katika nyimbo zote hii ya feelings nime ipenda sana...
Maua sama anajua w
akuu
Haya ni mawazo yako lakini sio sahihi. Mungu ni Mungu hajaumba bali yeye ndiye kaumba vyote. Shetani ni kiumbe. Na Mungu hawezi kupigana na shetani maana ni kiumbe tu. Sisi ndio ametuwezesha ili tupigane na shetani.Kwanza kabisa Mungu hawezi kumuua shetani kwa sababu roho iki exist haiwezi kufa milele kwa hiyo hakuna mwanzo wa dunia wala mwisho hivyo shetani alikuwepo yupo na atakuwepo na pia mungu na shetani sio viumbe ni energy na hizi energy zipo kwa ajili ya kubalance dunia kwa sababu vinategemeana na bila kimoja maisha hayana maana ni sawa na kulitoa giza ubaki mwanga tu.
Amewawezesha kupigana naye mbona hamumshindi sasaHaya ni mawazo yako lakini sio sahihi. Mungu ni Mungu hajaumba bali yeye ndiye kaumba vyote. Shetani ni kiumbe. Na Mungu hawezi kupigana na shetani maana ni kiumbe tu. Sisi ndio ametuwezesha ili tupigane na shetani.
Hiyo ya nne kama nimeielewa hivi, anyway thanks for good attempt 🙏Biblia imeandika kila kitu soma tu na umuombe Mungu akupe kuelewa. Ngoja nikupe majibu machache.
1. Shetani ndiye Lucifer. Shetani ni cheo na Lucifer (Nyota ya Asubuhi) ni jina. Kama ambavyo Mungu ni cheo lakini Yesu Kristo ni Jina.
2. Lucifer alijitutumua akidhani atamuweza Mungu. Hakujua kuwa mawazo yake yote Mungu aliyajua. Isaya 14:12-16
3. Lucifer alikuwa Malaika wa kipekee kwa uzuri. Huo uzuri ndio uliomponza akatamani kuwa Mungu apokee ibada. Ezekiel 28:12-18. Hata leo watu wanaopewa na Mungu karama au vipaji vya pekee hujaribiwa kuingia ktk kiburi ambacho ndio huwaangamiza. Lucifer kadhalika.
4. Malaika hawana fursa ya kutubu kama binadamu. Alitenda dhambi rohoni na alipata adhabu rohoni. Hivyo hakuna namna ya kuusamehewa. Sisi wanadamu tuko mwilini na Mungu akatengeneza njia ya kutusaidia akavaa mwili akaja duniani. Malaika walioasi hawana fursa hiyo wameshahukumiwa.
5. Kwanini unamwonea Shetani? Hakuna kiumbe kikatili kikorofi kama shetani. Acha kumfikiria shetani maana hana faida yoyote.
Sababu kubwa ya Iblis kumuasi mola wake ilikuwa ni kuikataa amri ya Mola wake kuwa amsujudie (Kumpa heshima ) Adam .Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!!
Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi.
Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu pamoja kwa ahadi ya vikubwa zaidi ya vile mwenyezi Mungu alivyokuwa amempa.
Is lucifer, satan? Au shetani na lucifer walikuwa tofautu, ndio shetani akamdanganya lucifer ili washirikiane katika ushetani?
Baada ya kuwa Mungu amemshinda Lucifer, je Mungu alimuonea huruma kiumbe wake ili ampatie nafasi nyingine au alimuonea huruma lakini lucifer hakuwa tayari kuachana na ushetani.
Why did satan had reside on earth ambapo ndipo viumbe vipya vya Mungu (wanadamu) ndipo walipowekwa.?
Anyway, nijajiuliza on and on labda hakuna majibu, ila nachoamini vitabu vyetu vitakatifu havina majibu yote.
Shetani sio malaika na hakuwahi kuwa malaika. Mungu anaeleza kupitia kitabu kitakatifu cha Quran kuwa IBLIS alikuwa ni miongoni mwa majini.Biblia imeandika kila kitu soma tu na umuombe Mungu akupe kuelewa. Ngoja nikupe majibu machache.
1. Shetani ndiye Lucifer. Shetani ni cheo na Lucifer (Nyota ya Asubuhi) ni jina. Kama ambavyo Mungu ni cheo lakini Yesu Kristo ni Jina.
2. Lucifer alijitutumua akidhani atamuweza Mungu. Hakujua kuwa mawazo yake yote Mungu aliyajua. Isaya 14:12-16
3. Lucifer alikuwa Malaika wa kipekee kwa uzuri. Huo uzuri ndio uliomponza akatamani kuwa Mungu apokee ibada. Ezekiel 28:12-18. Hata leo watu wanaopewa na Mungu karama au vipaji vya pekee hujaribiwa kuingia ktk kiburi ambacho ndio huwaangamiza. Lucifer kadhalika.
4. Malaika hawana fursa ya kutubu kama binadamu. Alitenda dhambi rohoni na alipata adhabu rohoni. Hivyo hakuna namna ya kuusamehewa. Sisi wanadamu tuko mwilini na Mungu akatengeneza njia ya kutusaidia akavaa mwili akaja duniani. Malaika walioasi hawana fursa hiyo wameshahukumiwa.
5. Kwanini unamwonea Shetani? Hakuna kiumbe kikatili kikorofi kama shetani. Acha kumfikiria shetani maana hana faida yoyote.
Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!!
Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi.
Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu pamoja kwa ahadi ya vikubwa zaidi ya vile mwenyezi Mungu alivyokuwa amempa.
Is lucifer, satan? Au shetani na lucifer walikuwa tofautu, ndio shetani akamdanganya lucifer ili washirikiane katika ushetani?
Baada ya kuwa Mungu amemshinda Lucifer, je Mungu alimuonea huruma kiumbe wake ili ampatie nafasi nyingine au alimuonea huruma lakini lucifer hakuwa tayari kuachana na ushetani.
Why did satan had reside on earth ambapo ndipo viumbe vipya vya Mungu (wanadamu) ndipo walipowekwa.?
Anyway, nijajiuliza on and on labda hakuna majibu, ila nachoamini vitabu vyetu vitakatifu havina majibu yote.
Shetani alivuta bangi, SI unajua Tena ukivuta bangi kila kitu unachukulia poa tu!!!!Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!!
Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi.
Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu pamoja kwa ahadi ya vikubwa zaidi ya vile mwenyezi Mungu alivyokuwa amempa.
Is lucifer, satan? Au shetani na lucifer walikuwa tofautu, ndio shetani akamdanganya lucifer ili washirikiane katika ushetani?
Baada ya kuwa Mungu amemshinda Lucifer, je Mungu alimuonea huruma kiumbe wake ili ampatie nafasi nyingine au alimuonea huruma lakini lucifer hakuwa tayari kuachana na ushetani.
Why did satan had reside on earth ambapo ndipo viumbe vipya vya Mungu (wanadamu) ndipo walipowekwa.?
Anyway, nijajiuliza on and on labda hakuna majibu, ila nachoamini vitabu vyetu vitakatifu havina majibu yote.
kwahiyo unataka kumlaumu aliyekuumba na wewe kwasababu kakupa akili kama aliyopewa shetani na bado hapa unamkataa!!Nani aliyemuumba shetani?
Huyo ndiye wakumlaumu kwasababu alimuumba akampa na akili ya kuasi!!
Kabla hajatuchoma moto sisi inatakiwa ajichome yeye kwanza kwa kosa lake mwenyewe la kumuumba shetani wakati yeye anajua yote - Hata anapomuumba shetani alikua anajua Shetani ataasi.kwahiyo unataka kumlaumu aliyekuumba na wewe kwasababu kakupa akili kama aliyopewa shetani na bado hapa unamkataa!!
Binadamu ni kiumbe mjinga sana yaani unamlaumu Muumbaji kwa kuumba kwake viumbe? Una akili sawasawa wewe.
Aisee ndio maana Mungu ameuumba moto wa jehanam kwa ajili ya viumbe wa sampuli kama hizi.