Habarini wana JF,
Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa Huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri anavyojaribu ndo kama mambo yanazidi kuharibika zaidi hili halihitaji mjadala mifano ni mingi,
Tukumbuke hapo ni Robo tu ya malaika nafikiri wangeasi Nusu ya malaika basi wangemuua kabisa huyo Mungu,
maana hawa wachache tu wamemsumbua mpka akamtuma mwanae Yesu sasa najaribu kufikiria wakiwa Nusu nafikiri angetuma mbingu nzima na mwishoni na yeye angekuja na hapo ndo Shetani na malaika zake wangemmaliza kabisa na asiwepo tena.
umeongea ujinga sana on so many levels (no offense)
Yesu ametumwa si kwa ajili ya battlye za Mungu na malaika waasi, no, kwa ajili ya kwertu sisi wanadamu, kujenga daraja lililobomoka pale bustani ya edeni.
unaambiwa, Adamu kula tunda la mti wa kati aliuza nguvu zake zote, na kila kitu, mamlaka na utawala wote aliopewa na Mungu, ambacho kikubwa ilikua namna ya kuongea na Mungu Direct.
hio ni story ingine.
alafqu malaika walioasi, walichokifanya kikubwa ilikua kuziachia nafasi zao, walizokua, ambazo zimekua restored na wengine
so hata ile battle ya ufunuo, walishindwa coz nafasi zao ziliondoka, na sio kutaka kupigana na Mungu, inshort walikua wanatetea mamlaka ambayo walishayapoteza.
the great battle inakuja soon, ambayo Dragon atapigana tena, ila atashindwa (coz kila kitu kishaandikwa kwenye ulimwengu wa roho, yaani ngoma inaisha kabla haijaanza)
alafu ujenzi wa Mbingu mpya, nchi mpya na Yerusalemu mpya, ndio utadefine utukufu wa Mungu kwa 100% maana hapo hata defiances wala corruptions hakuna, na huko anajenga Yesu Mwenyewe