Shetani na robo ya Malaika ndio waliasi Mbinguni na Mungu anahaingaika hivi kuwazuia, nafikiri wangeasi Nusu ya Malaika basi wangemuua kabisa Mungu

Shetani na robo ya Malaika ndio waliasi Mbinguni na Mungu anahaingaika hivi kuwazuia, nafikiri wangeasi Nusu ya Malaika basi wangemuua kabisa Mungu

Hivi ni kweli Mungu anajua kila kitu? "Supreme being " basi alijua kuwa malaika wataasi, ni kwa nini hakuzuia?
 
Wewe ni Muongo na ni mzushi.

Nani dhalimu zaidi ya yule anayemzushia uongo Mungu?


Quran hakuna aya hata moja inayosema kuwa kuna kundi la malaika lilimuasi Mungu pamoja na shetani.

Malaika hawajaumbwa kumuasi Mungu bali wanatekeleza kila waliloamrishwa.


Malaika waneumbwa kwa Nuru.

Iblis ni jini ameumbwa kwa Moto

Adam ameumbwa kwa udongo.


Binadamu na Majini ndio viumbe viwili vilivyopewa uhuru wa kutenda na kuchagua kati ya mema na mabaya. Malaika wao wameumbwa kutenda yale waliyoamrishwa na Mungu tu.
Hivi mkuu kama niko sahihi si ni kwamba chanzo cha Nuru ni moto? Yaani moto ndiyo unatoa Nuru kama ilivyo kwa Jua na Mwezi?
Namaanisha nini ukisema Jini ni Moto na Malaika ni Nuru maana yake Jini ananguvu kumzidi malaika maana kwenye Moto unapata Nuru lakini kwenye Nuru hupati Moto
 
Biblia ni kitabu cha Wayahudi, wewe mtu mweusi wa Kingugi unaijua historia ya Dunia hii na viumbe wake kuliko Wayahudi? Hiyo quran yenyewe imechota maandiko ya biblia
Endelea kupotoka na kupotosha
 
Mungu 4mwenyewe mjuzi wa yote ajuae Mwanzo, Kati na Mwisho kutuzidi sisi alimuumba shetani na akampa akili ya kufikiria kutenda ubaya.

Hii inathibitisha kwamba Mungu mwelevu, Mjuzi wa yote hajui vyote kama anavyojinadi kwasababu hakujua kama Shetani ataasi.

Hivyo wanaoamini haya matatizo yanatokana na Shetani hawafikirii vyema kwasababu chanzo cha haya yote ni Mungu mwenyewe.
 
Ila ndugu zangu tusimdhihaki Mwenyezi Mungu. Kuna makosa tunayafanya kwa mzaha na ujinga ila yatatucost sana wanaadamu.
Imagine mtu uliye mnyonge usiye na uwezo hata wa kuzuia kifo chako leo hii una mkejeli Mwenyezi Mungu aliyeumba mbingu na dunia?
Msimuone Mwenyezi Mungu amewaacha kwa kuwapa uhuru mkadhani mtamkwepa, naapa kwa jina la Mungu hakuna atakaye mkwepa Mwenyezi Mungu. Wote tutarudi kwake.

Hiyo siku sasa ndio mtu atakumbuka kila upuuzi aliofanya hapa duniani. It will be too late.
But Mwenyezi Mungu ni msamehevu, wote walio mkashifu wafute maandiko yao yanayo mkashifu na wamuombe msamaha naye atatusamehe.
 
Kiukweli mimi naamini Mungu yupo na kwake hakika tutarejea ila kiukweli umeshindwa kumjibu huyo mtu japo anakufuru
No sio kwamba nimeshindwa kumjibu, sijaona haja ya kumjibu mtu ambae anajitoa akili makusudi.

Maswali yake aliyouliza ni ya kijinga sana, mathalan mtoto wako akuambie kwanini unataka niwe na adabu i.e. nikuamkie n.k kwni mi ndo nilitaka unizae! ... these are the kind of questions he is asking, I'm just not in a mood to go this low in thinking.
 
Habarini wana JF,

Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa Huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri anavyojaribu ndo kama mambo yanazidi kuharibika zaidi hili halihitaji mjadala mifano ni mingi,

Tukumbuke hapo ni Robo tu ya malaika nafikiri wangeasi Nusu ya malaika basi wangemuua kabisa huyo Mungu,

maana hawa wachache tu wamemsumbua mpka akamtuma mwanae Yesu sasa najaribu kufikiria wakiwa Nusu nafikiri angetuma mbingu nzima na mwishoni na yeye angekuja na hapo ndo Shetani na malaika zake wangemmaliza kabisa na asiwepo tena.

umeongea ujinga sana on so many levels (no offense)

Yesu ametumwa si kwa ajili ya battlye za Mungu na malaika waasi, no, kwa ajili ya kwertu sisi wanadamu, kujenga daraja lililobomoka pale bustani ya edeni.


unaambiwa, Adamu kula tunda la mti wa kati aliuza nguvu zake zote, na kila kitu, mamlaka na utawala wote aliopewa na Mungu, ambacho kikubwa ilikua namna ya kuongea na Mungu Direct.


hio ni story ingine.

alafqu malaika walioasi, walichokifanya kikubwa ilikua kuziachia nafasi zao, walizokua, ambazo zimekua restored na wengine

so hata ile battle ya ufunuo, walishindwa coz nafasi zao ziliondoka, na sio kutaka kupigana na Mungu, inshort walikua wanatetea mamlaka ambayo walishayapoteza.


the great battle inakuja soon, ambayo Dragon atapigana tena, ila atashindwa (coz kila kitu kishaandikwa kwenye ulimwengu wa roho, yaani ngoma inaisha kabla haijaanza)

alafu ujenzi wa Mbingu mpya, nchi mpya na Yerusalemu mpya, ndio utadefine utukufu wa Mungu kwa 100% maana hapo hata defiances wala corruptions hakuna, na huko anajenga Yesu Mwenyewe
 
Hizi ni ngano za upupu...
Hazitakiwi kwenye hili jukwaa....
 
Back
Top Bottom