kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Hivi ni kweli Mungu anajua kila kitu? "Supreme being " basi alijua kuwa malaika wataasi, ni kwa nini hakuzuia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkuu kama niko sahihi si ni kwamba chanzo cha Nuru ni moto? Yaani moto ndiyo unatoa Nuru kama ilivyo kwa Jua na Mwezi?Wewe ni Muongo na ni mzushi.
Nani dhalimu zaidi ya yule anayemzushia uongo Mungu?
Quran hakuna aya hata moja inayosema kuwa kuna kundi la malaika lilimuasi Mungu pamoja na shetani.
Malaika hawajaumbwa kumuasi Mungu bali wanatekeleza kila waliloamrishwa.
Malaika waneumbwa kwa Nuru.
Iblis ni jini ameumbwa kwa Moto
Adam ameumbwa kwa udongo.
Binadamu na Majini ndio viumbe viwili vilivyopewa uhuru wa kutenda na kuchagua kati ya mema na mabaya. Malaika wao wameumbwa kutenda yale waliyoamrishwa na Mungu tu.
Endelea kupotoka na kupotoshaBiblia ni kitabu cha Wayahudi, wewe mtu mweusi wa Kingugi unaijua historia ya Dunia hii na viumbe wake kuliko Wayahudi? Hiyo quran yenyewe imechota maandiko ya biblia
Kiukweli mimi naamini Mungu yupo na kwake hakika tutarejea ila kiukweli umeshindwa kumjibu huyo mtu japo anakufuruNa unajiona mjanja mwenyewe hapo, au sio?
Endelea kubet
No sio kwamba nimeshindwa kumjibu, sijaona haja ya kumjibu mtu ambae anajitoa akili makusudi.Kiukweli mimi naamini Mungu yupo na kwake hakika tutarejea ila kiukweli umeshindwa kumjibu huyo mtu japo anakufuru
Habarini wana JF,
Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa Huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri anavyojaribu ndo kama mambo yanazidi kuharibika zaidi hili halihitaji mjadala mifano ni mingi,
Tukumbuke hapo ni Robo tu ya malaika nafikiri wangeasi Nusu ya malaika basi wangemuua kabisa huyo Mungu,
maana hawa wachache tu wamemsumbua mpka akamtuma mwanae Yesu sasa najaribu kufikiria wakiwa Nusu nafikiri angetuma mbingu nzima na mwishoni na yeye angekuja na hapo ndo Shetani na malaika zake wangemmaliza kabisa na asiwepo tena.