- Thread starter
- #21
Mungu hakuumba uasi au dhambi. Ila kwa asili ya binadamu anaweza kutenda dhambiMwenyezi Mungu ndiye muumbaji wa dunia, mbingu na vyote vilivyomo. Bila shaka na dhambi ni moja ya vitu ambavyo "aliviumba".
Mungu hakuumba uasi au dhambi. Ila kwa asili ya binadamu anaweza kutenda dhambiMwenyezi Mungu ndiye muumbaji wa dunia, mbingu na vyote vilivyomo. Bila shaka na dhambi ni moja ya vitu ambavyo "aliviumba".
Mungu anaweza kutenda dhambi?Mungu hakuumba uasi au dhambi. Ila kwa asili ya binadamu anaweza kutenda dhambi
Mungu hayuko chini ya sheria. Dhambi ni kuvunja sheria kwa hiyo Mungu hawezi kutenda dhambiMungu anaweza kutenda dhambi?
Kabla hujazaliwa ulikuwepo? Free will inakuja baada ya kuzaliwa na kuwa na utimamu wa akiliFree will?
Kuna aliyechagua kuzaliwa?
Kabla ya Adam na Hawa hawajatenda dhambi si Mungu tayari alikuwa kaumba ule mti wa mema na mabaya? Hii inamaanisha tayari Mungu alishaweka mstari kati ya matendo mema na matendo mabaya. Yaani alishajua yapi ni mema na yapi ni mabaya (dhambi). Hivyo ni wazi kwamba mema na mabaya (dhambi) vilishawekwa (umbwa) na mwenyezi Mungu kama sehemu ya yale yote yaliyoumbwa/wekwa na Mungu mbinguni, duniani, baharini n.k. Na dhambi hiyo ilianzia huko huko mbinguni ambapo Lucifer aliasi na kisha kutupiwa wanyonge Adam na Hawa.Mungu hakuumba uasi au dhambi. Ila kwa asili ya binadamu anaweza kutenda dhambi
Ndio hivyo Mkuu Shetani ni mtumishi wa Mungu. Vitu vingi vinavyotazamwa in a negative way kama magonjwa, vita, ulevi, n.k Mungu amevika ili kumuimarisha mwanadam kwa namna aijuaye yeye mwenyewe.Wewe hauko mbali na ufalme wa Mungu. Theolojia nyingi za kisasa ni za kumdunisha Mungu. Eti Mungu anapigana na kiumbe alichokiumba mwenyewe. An utter nonsense. Ki ukweli hata hao Wayahudi ambao tunawalaumu kwamba wamemkataa Yesu wala idea hiyo ya kipumbavu kuhusu shetani hawana!!
Umenena vema. It is a way to make us stronger. Mabilioni ya watu wanaamini eti shetani ni adui wa Mungu na atachomwa motoni. Upumbavu wa kiwango cha juu!Ndio hivyo Mkuu Shetani ni mtumishi wa Mungu. Vitu vingi vinavyotazamwa in a negative way kama magonjwa, vita, ulevi, n.k Mungu amevika ili kumuimarisha mwanadam kwa namna aijuaye yeye mwenyewe.
Sasa kwanini mungu ambae hawezi kutenda dhambi aumbe viumbe ambavyo vinaweza kutenda dhambi? Wakati anadai ametuumba kwa sura na mfano wake?Mungu hayuko chini ya sheria. Dhambi ni kuvunja sheria kwa hiyo Mungu hawezi kutenda dhambi
Kwa ufupi hapa una twambia Mungu ni muuaji kwani shetani hajawahi kumuua mtu. Jamani mbona mnatu changanya?Kwenye kitabu kizima kiitwacho biblia, hakuna sehemu yoyote ambapo shetani aliua mtu. Na hata alipoua, ilikua ni kwa maelekezo kutoka kwa mungu. Ila kiujumla katika biblia, mungu aliua, au alisababisha kuuawa kwa mamilioni ya watu aliowachukia.
Sio mimi. Biblia ndio imemuweka hivyo.Kwa ufupi hapa una twambia Mungu ni muuaji kwani shetani hajawahi kumuua mtu. Jamani mbona mnatu changanya?
Kama kutofautiana kimtazamo au kiimani ni ugonjwa wa akili, mbona sote tu wagonjwa?All things work for a common good. Mtu anayemlinganisha shetani na kitu ambacho kinaweza hata kumtupia Mungu jiwe huyo ni mgonjwa wa akili!
Nadhani wewe tunaelewana. Kuna watu humu wana PhD za makaratasi lakini mambo haya yamewapiga chengaKukataa kwamba mema yote na mabaya yote duniani hayajawekwa na Mungu kwa sababu zake anazozijua yeye ni kumkosea heshima Mungu kwa kumpunguzia uwezo wake alionao. Magonjwa, njaa, vita, vifo na mateso mengine yote wanayopitia wanadamu yametokana na uwezo wake mkubwa na ridhaa yake.
Una point na mawazo mazuri tu. Nina swali: Mungu kusema ametuumba kwa sura na mfano wake alimaanisha sisi na yeye tumekuwa sawa kwenye aspects zote? Kwamba sisi hatutatenda dhambi kwa mfano mmoja tu? Kwamba sisi tunaweza kuumba kitu EX NIHILO??Sasa kwanini mungu ambae hawezi kutenda dhambi aumbe viumbe ambavyo vinaweza kutenda dhambi? Wakati anadai ametuumba kwa sura na mfano wake?
Uhai ni mali ya Mungu. Anayo haki ya kuuondoa na kuurejesha.Kwa ufupi hapa una twambia Mungu ni muuaji kwani shetani hajawahi kumuua mtu. Jamani mbona mnatu changanya?
Kwani kuuwawa na Mungu wewe unaumia nini?Wacha wee! Kwahiyo kati ya mungu na shetani ni yupi anatupenda? Anaetuua at his discretion au anaetuacha tuishi?
Tatizo kubwa kwenye mambo ya imani hakuna mathematical formula. Kila mtu anazuka na tafsiri yake ya maandiko ambayo nayo mengi yamechakachuliwa. Angalia tu wakristo wakatoliki wanavyotafsiri ekaristi kulingana na Injili ya Yohana sura ya 6. Tukimuweka kikaangoni apologist mkatoliki na mlutheri sura hiyo kila mtu ana muono wake. Mkatoliki atasema ni TRANSUBSTANTIATION lakini mlutheri atasema ni CO-EXISTENCE. Na hao wote eti wanahubiri neno la Mungu na kila mmoja anadai anaongozwa na roho mtakatifu.Kama kutofautiana kimtazamo au kiimani ni ugonjwa wa akili, mbona sote tu wagonjwa?