Shetani ni mtumishi wa Mungu, siyo adui wa Mungu

Shetani ni mtumishi wa Mungu, siyo adui wa Mungu

Kwani kuuwawa na Mungu wewe unaumia nini?
Mbona usiku unalala hujui kama utaamka lakini huyo huyo aliyekulaza anakuamsha!
Au unadhani ni akili yako kulala na kuamka?

Kifo ni siri ya Mungu hivyo tafsiri yako ndiyo tatizo dhidi ya Mungu mpaji uhai
Mkuu suala la shetani kama linavyojulikana na wengi ni upumbavu tu. Mungu hajaumba malaika fulani halafu akaja kuwa mpinzani wake. Pole zao wanaoamini huo ujinga.
 
Kama kutofautiana kimtazamo au kiimani ni ugonjwa wa akili, mbona sote tu wagonjwa?
Umesema vema. Imani ni kitu complex. Inahitaji vigezo vingi mno kuithibitisha. Hakuna kanuni zilizothibitika za kupima imani kama ilivyo katika sayansi kwenye laws of physics n.k
 
Uhai ni mali ya Mungu. Anayo haki ya kuuondoa na kuurejesha.
Mbona humuiti ni muuaji kwa maelfu ya watu wanaokufa kila siku na mkienda huko misibani mnasema BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE? Ni akili gani mnatumia??
Sawa. Il kwa hili kuwa shetani mikono yake ni mieupe kama theluji, itabidi tuutumie akili za AI.
 
Kwani kuuwawa na Mungu wewe unaumia nini?
Mbona usiku unalala hujui kama utaamka lakini huyo huyo aliyekulaza anakuamsha!
Au unadhani ni akili yako kulala na kuamka?

Kifo ni siri ya Mungu hivyo tafsiri yako ndiyo tatizo dhidi ya Mungu mpaji uhai
According to mungu, kifo ni adhabu. Ukimkosea, au kama wewe sio muisraeli yeye anaweza kuamua kukuua tu bila sababu yoyote
 
Unakubaliana na simulizi za kina Malaria 2 kwamba kuna mashetani wazuri na wabaya??
 
According to mungu, kifo ni adhabu. Ukimkosea, au kama wewe sio muisraeli yeye anaweza kuamua kukuua tu bila sababu yoyote
Kama kifo ni adhabu sqaa unaendaje tena jehanamu? Adhabu si umesema ni kifo au??
 
Unakubaliana na simulizi za kina Malaria 2 kwamba kuna mashetani wazuri na wabaya??
Hizo ni hadithi za kijinga tu. Mungu yuko in control of everything. Hao wanaoitwa mashetani ni agents wake wa kupima free will ya mwanadamu. Nothing more!
 
Hizo ni hadithi za kijinga tu. Mungu yuko in control of everything. Hao wanaoitwa mashetani ni agents wake wa kupima free will ya mwanadamu. Nothing more!
Lakini mungu si anajua kitakachotokea in future? Kwahiyo anapotuma shetani kukujaribu tayari anajua kabisa kwamba utafeli na kifuatacho ni yeye kukuua na kukutia moto!
 
Anajua future yako ndiyo kwa sababu yeye ameumba muda(time) na mahali(space). Yeye haishi humo maana alikuwepo kabla vitu hivyo viwili havijakuwepo. Kumtuma mjaribu ni ili wewe uonyeshe msimamo wako. Ndio maana amekupa free will. Mjaribu anakuja ili uthibitike. Narudia tena SHETANI NI MALAIKA MTIIFU WA MUNGU SIYO ADUI WA MUNGU. Tuache mafundisho na mawazo ya kijinga. Hats hao Wayahudi ambao Mungu alisema nao ana kwa ana hawana mafundisho ya kijinga kuhusu shetani kama tuliyonayo wakristo. Sijui nani katulisha upumbavu huu. Ati Mungu anapigana na kiumbe alichokiumba mwenyewe!! Mungu wa aina hiyo hafai kuabudiwa hata kidogo. Mungu dhaifu huyo!
 
Back
Top Bottom