Mkuu suala la shetani kama linavyojulikana na wengi ni upumbavu tu. Mungu hajaumba malaika fulani halafu akaja kuwa mpinzani wake. Pole zao wanaoamini huo ujinga.Kwani kuuwawa na Mungu wewe unaumia nini?
Mbona usiku unalala hujui kama utaamka lakini huyo huyo aliyekulaza anakuamsha!
Au unadhani ni akili yako kulala na kuamka?
Kifo ni siri ya Mungu hivyo tafsiri yako ndiyo tatizo dhidi ya Mungu mpaji uhai
Umesema vema. Imani ni kitu complex. Inahitaji vigezo vingi mno kuithibitisha. Hakuna kanuni zilizothibitika za kupima imani kama ilivyo katika sayansi kwenye laws of physics n.kKama kutofautiana kimtazamo au kiimani ni ugonjwa wa akili, mbona sote tu wagonjwa?
Sawa. Il kwa hili kuwa shetani mikono yake ni mieupe kama theluji, itabidi tuutumie akili za AI.Uhai ni mali ya Mungu. Anayo haki ya kuuondoa na kuurejesha.
Mbona humuiti ni muuaji kwa maelfu ya watu wanaokufa kila siku na mkienda huko misibani mnasema BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE? Ni akili gani mnatumia??
According to mungu, kifo ni adhabu. Ukimkosea, au kama wewe sio muisraeli yeye anaweza kuamua kukuua tu bila sababu yoyoteKwani kuuwawa na Mungu wewe unaumia nini?
Mbona usiku unalala hujui kama utaamka lakini huyo huyo aliyekulaza anakuamsha!
Au unadhani ni akili yako kulala na kuamka?
Kifo ni siri ya Mungu hivyo tafsiri yako ndiyo tatizo dhidi ya Mungu mpaji uhai
Sio shetani weweUnakubaliana na simulizi za kina Malaria 2 kwamba kuna mashetani wazuri na wabaya??
Ni nini?Sio shetani wewe
Unamaanisha nini? Sijakupata vema!Sawa. Il kwa hili kuwa shetani mikono yake ni mieupe kama theluji, itabidi tuutumie akili za AI.
Kama kifo ni adhabu sqaa unaendaje tena jehanamu? Adhabu si umesema ni kifo au??According to mungu, kifo ni adhabu. Ukimkosea, au kama wewe sio muisraeli yeye anaweza kuamua kukuua tu bila sababu yoyote
Ni huzuni mkuuKama kifo ni adhabu sqaa unaendaje tena jehanamu? Adhabu si umesema ni kifo au??
Lakini mungu si anajua kitakachotokea in future? Kwahiyo anapotuma shetani kukujaribu tayari anajua kabisa kwamba utafeli na kifuatacho ni yeye kukuua na kukutia moto!Hizo ni hadithi za kijinga tu. Mungu yuko in control of everything. Hao wanaoitwa mashetani ni agents wake wa kupima free will ya mwanadamu. Nothing more!