Elections 2010 Shibuda ahamia CHADEMA

Tatizo lako ni kujifanya much know, tatizo zaidi linakuja huwezi ukakijua uko vile hata wakati unajibu hii post ni hadi mtu akuambie.
 

Kabisa hawa watu ni wapiganaji ila walinyimwa uhuru.wahamie huku waendeleze mapambano maana walibanwa vya kutosha.
 
chadema ikisimamisha wagombea 'mitumba' kutoka ccm watajizunjia credibility tu.................kinachokuja kichwani ni "hivi chadema yenyewe haina watu makini mpaka ichukue kutoka kwa ccm?" kiasi cha kuwa hata kura ya uraisi inaweza ikapotea

wanaoingia chama dakika hizi za uchaguzi wasipewe chance za kugombea KAMA INAWEZEKANA kikatiba ( if they change the katiba for this, they have my support)
 

kahamia mpenda-ozo na hakuleta impact yoyote sembuse jingajinga!
 
kwani ccm ilipata wapi wanachama, hata vyama vya upinzani vitachukua hawa hawa watanzania
 
Quinine..... Hatuzungunzii wanachama tunazungumzia wagombea
 
Shibuda kigeu geu hana maana kabisa nafikiri ndio maana wanaMaswa wamemwagilia mbali, hana ishu, akafundishe methali za Kiswahili Bagamoyo chuo cha sanaa
 
Tatizo lako ni kujifanya much know, tatizo zaidi linakuja huwezi ukakijua uko vile hata wakati unajibu hii post ni hadi mtu akuambie.

Obviously sijakukera that much kama unaendelea kunisoma na kunijibu, admit it, you just love to read my posts.

Wewe wasema.

Mimi nasema hata wewe huwezi kujua kwamba kwa kuniambia mimi ni much know nisiyejua hilo, wewe ndiye unayejitia u much know na sio tu hujui, bali pia hujui kwamba hujui hujui.

Hii blank statement ya much know inachoka sasa. Mtu anayetaka kumuonyesha mwingine kama much know anakuja hapa na anaonyesha sehemu gani huyu Kiranga kakosea, kwamba data alizotoa Kiranga si sahihi, kwamba analysis aliyoifanya Kiranga ni hafifu kwa kutokana na fact hii na hii (sio opinion). Hapo utaweza kuuthibitishia umma wa JF kwamba Kiranga ni mtu anayejifanya much know bila kujua anayoyasema.

Lakini ukija hapa "much know, much know" mimi nitakuona una tabia ya kulia lia, huwezi intellectual exchanges, huna data. Wewe ukisema mimi ni "much know" mimi nitasema wewe una "inferiority complex". Anti intellectualism usiyetaka opinionated enthusiasts hapa. It is your words against mine.

Lete data hapa twende toe to toe wapi mimi ni "much know".
 
Much know au mtu wa kubwabwaja tu linalokuja kichwani?

Toa ushahidi wapi nimebwabwaja tu linalokuja kichwani, kila ninachokiandika kina context, labda kama uko too slow kufuatilia mazee in which case tatizo ni lako na si langu.
 

That's what I'm trying to tell them.

Tatizo naona bongo si CCM wala upinzani, vyama vyote vina pay lip service katika kujifanya they are about the people's service, lakini kwa mtaji huu wa "wagombea kubadili timu" at the eleventh hour baada ya kutoswa katika primaries za CCM, kinachoonekana hapa watu wanatafuta kuongeza viti vya ubunge ili kupata bragging rights na kuongeza ruzuku, na wagombea wenyewe wanataka kuingia bungeni tu, by hooks and crooks.

No manifesto, no principle, no vetting, no party philosophy.

Haya mambo mengine sijui kuwakilisha wananchi and all that ni usanii tu. Utawakilishaje wananchi kupitia chama wakati hujapata muda wa kuzijua sera za chama ?
 
wabongo wote tukipenda chongo tunaita kengeza ..........

vyama ni ushabiki ...........ccm haina doa kwa washabiki wake, na chadema hali kadhalika
 
wabongo wote tukipenda chongo tunaita kengeza ..........

vyama ni ushabiki ...........ccm haina doa kwa washabiki wake, na chadema hali kadhalika

Wewe chama chako ni kipi Gaijin? au ndio wale wale wasio na msimamo?

Mimi ninakijua chama chako (ila kwa sasa nitakisema kimoyomoyo nikikusubiri wewe ukitaje cha kwako)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…