Elections 2010 Shibuda ahamia CHADEMA

Elections 2010 Shibuda ahamia CHADEMA

Point well taken, you don't like me and you think I don't have a valid contribution.

Kama nilivyosema mwanzo, siko hapa kupendwa, sitafuti sifa wala siogopi lawama.

Huk kwenye kusema sina point, the central idea ya forum hii ni kujuzana kwa mazungumzo ya back and forth, sasa wewe huna majibu kwa maswali yangu, unakimbilia kusema mimi much know, unalia lia tu.

Unaoneka huna nyimbo, na kama hupendi kusoma maneno yangu kuna feature ya kuniscreen uione posts zangu kabisa, jifunze kutumia JF labda itakusaidia usikereke zaidi. Your loss.

Ninaowakera hawana muda hata wa kusoma posts zangu, sembuse kunijibu.

Wewe unanisoma, unanijibu, nakujibu, unanijibu, wewe huwezi kusema nakukera, nikikukera utaruka ninachoandika.
Tatizo lako ni kujifanya much know, tatizo zaidi linakuja huwezi ukakijua uko vile hata wakati unajibu hii post ni hadi mtu akuambie.
 
Well said Luteni. Tena aligeuka baada ya CC kukata jina lake. Leo ni hero wetu!
Kuna sehemu kama Wilaya za Muheza/ Mwanga/ Same huko viongozi wa Chadema laah! yaani hata mwenyewe anaona aibu kugombea, sasa kama yupo ''shibuda'' atakayepeperusha bendera kuna tatizo gani. Lengo kuwe na wapinzani wengi bungeni kwanza.
Mi nasema Selelii, Aloyce, Shibuda wakihamia Chadema poa tu ,vumbi lao tunalijua jamani! mnyonge mnyongeni haki...............

Kabisa hawa watu ni wapiganaji ila walinyimwa uhuru.wahamie huku waendeleze mapambano maana walibanwa vya kutosha.
 
chadema ikisimamisha wagombea 'mitumba' kutoka ccm watajizunjia credibility tu.................kinachokuja kichwani ni "hivi chadema yenyewe haina watu makini mpaka ichukue kutoka kwa ccm?" kiasi cha kuwa hata kura ya uraisi inaweza ikapotea

wanaoingia chama dakika hizi za uchaguzi wasipewe chance za kugombea KAMA INAWEZEKANA kikatiba ( if they change the katiba for this, they have my support)
 
well said luteni. Tena aligeuka baada ya cc kukata jina lake. Leo ni hero wetu!
Kuna sehemu kama wilaya za muheza/ mwanga/ same huko viongozi wa chadema laah! Yaani hata mwenyewe anaona aibu kugombea, sasa kama yupo ''shibuda'' atakayepeperusha bendera kuna tatizo gani. Lengo kuwe na wapinzani wengi bungeni kwanza.
Mi nasema selelii, aloyce, shibuda wakihamia chadema poa tu ,vumbi lao tunalijua jamani! Mnyonge mnyongeni haki...............

kahamia mpenda-ozo na hakuleta impact yoyote sembuse jingajinga!
 
chadema ikisimamisha wagombea 'mitumba' kutoka ccm watajizunjia credibility tu.................kinachokuja kichwani ni "hivi chadema yenyewe haina watu makini mpaka ichukue kutoka kwa ccm?" kiasi cha kuwa hata kura ya uraisi inaweza ikapotea

wanaoingia chama dakika hizi za uchaguzi wasipewe chance za kugombea KAMA INAWEZEKANA kikatiba ( if they change the katiba for this, they have my support)
kwani ccm ilipata wapi wanachama, hata vyama vya upinzani vitachukua hawa hawa watanzania
 
Quinine..... Hatuzungunzii wanachama tunazungumzia wagombea
 
Shibuda kigeu geu hana maana kabisa nafikiri ndio maana wanaMaswa wamemwagilia mbali, hana ishu, akafundishe methali za Kiswahili Bagamoyo chuo cha sanaa
 
Tatizo lako ni kujifanya much know, tatizo zaidi linakuja huwezi ukakijua uko vile hata wakati unajibu hii post ni hadi mtu akuambie.

Obviously sijakukera that much kama unaendelea kunisoma na kunijibu, admit it, you just love to read my posts.

Wewe wasema.

Mimi nasema hata wewe huwezi kujua kwamba kwa kuniambia mimi ni much know nisiyejua hilo, wewe ndiye unayejitia u much know na sio tu hujui, bali pia hujui kwamba hujui hujui.

Hii blank statement ya much know inachoka sasa. Mtu anayetaka kumuonyesha mwingine kama much know anakuja hapa na anaonyesha sehemu gani huyu Kiranga kakosea, kwamba data alizotoa Kiranga si sahihi, kwamba analysis aliyoifanya Kiranga ni hafifu kwa kutokana na fact hii na hii (sio opinion). Hapo utaweza kuuthibitishia umma wa JF kwamba Kiranga ni mtu anayejifanya much know bila kujua anayoyasema.

Lakini ukija hapa "much know, much know" mimi nitakuona una tabia ya kulia lia, huwezi intellectual exchanges, huna data. Wewe ukisema mimi ni "much know" mimi nitasema wewe una "inferiority complex". Anti intellectualism usiyetaka opinionated enthusiasts hapa. It is your words against mine.

Lete data hapa twende toe to toe wapi mimi ni "much know".
 
Much know au mtu wa kubwabwaja tu linalokuja kichwani?

Toa ushahidi wapi nimebwabwaja tu linalokuja kichwani, kila ninachokiandika kina context, labda kama uko too slow kufuatilia mazee in which case tatizo ni lako na si langu.
 
chadema ikisimamisha wagombea 'mitumba' kutoka ccm watajizunjia credibility tu.................kinachokuja kichwani ni "hivi chadema yenyewe haina watu makini mpaka ichukue kutoka kwa ccm?" kiasi cha kuwa hata kura ya uraisi inaweza ikapotea

wanaoingia chama dakika hizi za uchaguzi wasipewe chance za kugombea KAMA INAWEZEKANA kikatiba ( if they change the katiba for this, they have my support)

That's what I'm trying to tell them.

Tatizo naona bongo si CCM wala upinzani, vyama vyote vina pay lip service katika kujifanya they are about the people's service, lakini kwa mtaji huu wa "wagombea kubadili timu" at the eleventh hour baada ya kutoswa katika primaries za CCM, kinachoonekana hapa watu wanatafuta kuongeza viti vya ubunge ili kupata bragging rights na kuongeza ruzuku, na wagombea wenyewe wanataka kuingia bungeni tu, by hooks and crooks.

No manifesto, no principle, no vetting, no party philosophy.

Haya mambo mengine sijui kuwakilisha wananchi and all that ni usanii tu. Utawakilishaje wananchi kupitia chama wakati hujapata muda wa kuzijua sera za chama ?
 
wabongo wote tukipenda chongo tunaita kengeza ..........

vyama ni ushabiki ...........ccm haina doa kwa washabiki wake, na chadema hali kadhalika
 
wabongo wote tukipenda chongo tunaita kengeza ..........

vyama ni ushabiki ...........ccm haina doa kwa washabiki wake, na chadema hali kadhalika

Wewe chama chako ni kipi Gaijin? au ndio wale wale wasio na msimamo?

Mimi ninakijua chama chako (ila kwa sasa nitakisema kimoyomoyo nikikusubiri wewe ukitaje cha kwako)
 
Back
Top Bottom