Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,330
- 7,494
Slahaa kaharbiikiwa uzeeni, asikuchoshe na njaa zake.Dr. Mihogo sijui alipokeaje habari hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slahaa kaharbiikiwa uzeeni, asikuchoshe na njaa zake.Dr. Mihogo sijui alipokeaje habari hii.
😀😀😀😀Ila jamaa lilikuwa kauzu🤣🤣 ukute hata kwa mademu lilikuwa halirembi " wewe reta tigo kama hutaki ondoka hapa"🤣🤣
Mimi sikuufyata!!Ayaseme wakati yupo hai! kwani hajipendi yeye?
Sote tuliufyata wakati wa "bwana yule".
We jamaa, dahViongozi wa upinzani ni omba omba sana.
Freeman Mbowe pekee ndio tajiri.
Kinachotuponza watanzania ni unafiki na kuwa waoga kupitiliza. Kwa ninayoyaona sasa, hata rais Samia hakuwa anakubaliana na mambo mengi sana ya Magufuli na alikuwa anaburuzwa tu. Kuwa sahihi zaidi, alikuwa ametengwa na hakuwa anashirikishwa kwenye mambo mengi ya maamuzi. Lakini ajabu na yeye alikuwa ameufyata na akabaki kuabudu na kutukuza. Anyways, siwezi kumlaumu sana kwani watanzania hawabebeki na ukijaribu kuwatetea, likikupata la kukupata wanajifanya kama hawaoni! Hii nchi bila wananchi kuamka na kuacha ''hewala bwana'' bado uongozi utaendelea kufanya makosa makubwa bila hofu. Rais Samia naye anajaribu kufuta yale mabaya ya Magufuli lakini naye anatengeneza mabaya yake mengi tu! Ni check and balance hakuna!
Basi mtindo wake wa kuwasilisha mada upo katika style ya masihara.
Mimi sikuufyata!!
Mbona Shibuda hakwenda kuomba hela!!!Viongozi wa upinzani wakipata nafasi ya kuzungumza na Rais huwa wanakuwa na hoja nyepesi na maswala binafsi tu.
Hata Lisu aliomba mambo binafsi mengi tu.