Shibuda: Magufuli aliniahidi kunipa mil 5 nikalipe ada ya watoto lkn nilipompinga akanigeuka

Shibuda: Magufuli aliniahidi kunipa mil 5 nikalipe ada ya watoto lkn nilipompinga akanigeuka

A stupid comment by a stupid person
Seems like you are so determined to mark your presence here. Well, we honour your exceptional stupidity and remarkable pride you take in it by consistently reiterating yourself that you are a dimwit.

Now that you have been recognized, why don't you go and find a little corner and play with your stupid self. Adios.....
 
Kwani kuna tabu gani mkinyoosha kuwa alikua na roho mbaya mpaka mjifiche kwenye kivuli cha utani huku wenzenu wanaumizwa?
Zile Milioni alizokuwa anatoa kwa watanzania wanyonge zilitoka mfukoni kwako wee Lofa.
 
Seems like you are so determined to mark your presence here. Well, we honour your exceptional stupidity and remarkable pride you take in it by consistently reiterating yourself that you are dimwit.

Now that you have been recognized, why don't you go and find a little corner and play with your stupid self. Adios.....
pick your struggle elsewhere....
 
Nae hana jipya,angepokea hiyo ml 5 asingesema kamwe
 
Shibuda anajua sana kiswahili. Anatumia misemo na lugha zenye misamiati migumu kufikisha ujumbe. Wengi wanaweza wasimuelewe. Ni Msukuma aliyekielewa kiswahili vizuri sana na hata matamshi yake, huwezi kuamini kwamba ni Msukuma.

Cc FaizaFoxy
Upo sahihi mkuu.
 
Kuingia mitini haimaanishi hatukuwepo, ni "metaphorical" Tulijibanza "nyuma ya miti". Ukitusoma humu utatuona lakini hatukujifaragua kama wakati wa Kikwete au sasa, wakati wa mama. Tunadeka.
Lakini mlimshangilia sana humu 'Bwana yule' alivyoanza kwa kishindo na mkabaki kimya alivyoanza kuwafinya wapinzani ila alipowageukia na nyie wapambanaji wake mkaingia mitini na kuufyata.
 
Kipindi cha utawala wa Magu Jf nimekula ban balaa
 
Akizungumza kwenye kongamano la kuenzi falsafa ya hayati Magufuli ya tanzania ya viwanda, ndugu Shibuda amesema siku moja alipata nafasi ya kumtembelea rais Magufuli ikulu.

Anasema siku hiyo Magufuli alimkaribisha ikulu na kumuuliza vipi watoto hawajambo? Akajibu hawajambo akamwambia nataka kuchangia ada yao shilingi mil5

Shibuda akajibu asante lakini sijaridhishwa na namna unavyoendesha demokrasia katika utawala wako ndipo rais akasema sasa hata hiyo hela sikupi.

Kwa nini Shibuda hakuyasema haya Magufuli akiwa hai?
njaa mbayma sana.
 
Ulitaka aseme magu akiwa hai ili amiminiwe mvua ya risasi kama lissu?

Mtu unamuona kabisa kakaa kinyamelanyamela ujitokeze tu useme.

Haiwezekani lazima uufyate tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Back
Top Bottom