makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
Pole sana ,sina connection kwasasa ila nakuomba na kukuplease mgande Intelligent businessman kwa namna yoyote nafsi inaniambia anayo njia yakoTitle: Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada
Nina mazingira magumu sana mbele naona giza tu mpaka sioni thamani ya haya maisha.
Miaka miwili natafuta kazi, naishi kwa ndugu kwenye mazingira magumu, mama yangu ni mgonjwa na namuangalia anavyoteseka kila siku nikiwa sina namna ya kumsaidia.
Yoyote ambaye ana ofisi, biashara, taasisi au shughuli yoyote, SICHAGUI, naomba kazi au hata nafasi ya kujitolea kwa malipo au bila malipo (hata nauli tu inatosha - ili niweze kutoka nyumbani na kushughulisha kichwa).
Mimi ni graduate mwenye shahada, niko tayari kufanya kazi yoyote, tafadhali naamanisha yoyote ile. Mimi ni mchapakazi, naweza kusocialize na watu, napenda kuandika, kusoma vitabu na kufanya shughuli za kijamii.
WASIFU WANGU KWA UFUPI:
Umri - Miaka 30
Jinsia - Mwanaume
Taaluma - Bachelor of Social Work
Makazi - Dar es Salaam
Tunaambiwa wanaume inabidi tujikaze, tuwe strong ila mimi nimefikia mwisho kabisa wa uwezo wangu. NAOMBENI MSAADA WAKUU!
Asante brotherMwenyezi Mungu atasaidia..
Usikate Tamaa.
Asanteee sana brotherPole sana ,sina connection kwasasa ila nakuomba na kukuplease mgande Intelligent businessman kwa namna yoyote nafsi inaniambia anayo njia yako
Sawa sawa MkuuPole kaka, ila kuna sehemu machimboni kuna kazi za day elfu 7 mpaka elfu 10..nilishawahi kufanya kama miezi 5 wakat mambo yangu yako vibaya, ila ni kazi ngumu.
Nenda kahama, sehemu panaitwa Mwakitoryo unapata kazi za chepe, kila siku, unaosha mchaga wa dhahabu..mishe ni nyingi kule.
Kwa dar, tafuta vibarua vya saidia fundi..etc,
Pole sana mdogo wangu, nakutext.Nina mazingira magumu sana mbele naona giza tu mpaka sioni thamani ya haya maisha.
Miaka miwili natafuta kazi, naishi kwa ndugu kwenye mazingira magumu, mama yangu ni mgonjwa na namuangalia anavyoteseka kila siku nikiwa sina namna ya kumsaidia.
Yoyote ambaye ana ofisi, biashara, taasisi au shughuli yoyote, SICHAGUI, naomba kazi au hata nafasi ya kujitolea kwa malipo au bila malipo (hata nauli tu inatosha - ili niweze kutoka nyumbani na kushughulisha kichwa).
Mimi ni graduate mwenye shahada, niko tayari kufanya kazi yoyote, tafadhali naamanisha yoyote ile. Mimi ni mchapakazi, naweza kusocialize na watu, napenda kuandika, kusoma vitabu na kufanya shughuli za kijamii.
WASIFU WANGU KWA UFUPI:
Umri - Miaka 30
Jinsia - Mwanaume
Taaluma - Bachelor of Social Work
Makazi - Dar es Salaam
Tunaambiwa wanaume inabidi tujikaze, tuwe strong ila mimi nimefikia mwisho kabisa wa uwezo wangu. NAOMBENI MSAADA WAKUU!
Nashukuru sana Dada anguPole sana mdogo wangu, nakutext.
Kaka Mshana Jr , bonjov , secretarybird , min -me niooni mtoe msaada tafadhali.
Huyo jobless mkuu atampa stress tu kijana wawatu.Intelligent businessman
Pls tunaomba connection
Amina sanaMungu atakusaidia kaka
Asante sana sana ubarikiweNikiona mwanaume kafikia hatua hii huwa napata uchungu sana kwani najua wanaume wengi ni wapambanaji.
Nakuombea kwa Mungu ufanikiwe na upate unachohitaji.
Tuko pamoja na wewe.
Niko Dar bosssUpo mkoa gani nikupe mchongo
Pole saana bro lkn mbona unafika mwisho na bado umr wako mdogo saanaNina mazingira magumu sana mbele naona giza tu mpaka sioni thamani ya haya maisha.