makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
- Thread starter
- #41
Asante sana mkuuUsichoke kumwomba Mungu atakusimamia mkuu 🙏🏽🙏🏽
Asante sana mkuuUsichoke kumwomba Mungu atakusimamia mkuu 🙏🏽🙏🏽
Sawa MkuuPole sana ila ukipata kazi usijisahau ukaanza kuwa mlevi
Asante mkuuPole sana mkuu
Dar ip chiefNiko Dar bosss
Kuna watu hawajawai ku husler KABISA..Nina mazingira magumu sana mbele naona giza tu mpaka sioni thamani ya haya maisha.
Miaka miwili natafuta kazi, naishi kwa ndugu kwenye mazingira magumu, mama yangu ni mgonjwa na namuangalia anavyoteseka kila siku nikiwa sina namna ya kumsaidia.
Yoyote ambaye ana ofisi, biashara, taasisi au shughuli yoyote, SICHAGUI, naomba kazi au hata nafasi ya kujitolea kwa malipo au bila malipo (hata nauli tu inatosha - ili niweze kutoka nyumbani na kushughulisha kichwa).
Mimi ni graduate mwenye shahada, niko tayari kufanya kazi yoyote, tafadhali naamanisha yoyote ile. Mimi ni mchapakazi, naweza kusocialize na watu, napenda kuandika, kusoma vitabu na kufanya shughuli za kijamii.
WASIFU WANGU KWA UFUPI:
Umri - Miaka 30
Jinsia - Mwanaume
Taaluma - Bachelor of Social Work
Makazi - Dar es Salaam
Tunaambiwa wanaume inabidi tujikaze, tuwe strong ila mimi nimefikia mwisho kabisa wa uwezo wangu. NAOMBENI MSAADA WAKUU!
Ni lazima uajiriwe tu au hata mbinu za kujiajiri zitafaa tukikushauri na maelekezo ya mtaji?Kupata kazi au kibarua mkuu
Simshaur kwenda huko machimboni ni Bora hata utafute kazi za ulinzi kwenye makampuni yanayo jielewa.Pole kaka, ila kuna sehemu machimboni kuna kazi za day elfu 7 mpaka elfu 10..nilishawahi kufanya kama miezi 5 wakat mambo yangu yako vibaya, ila ni kazi ngumu.
Nenda kahama, sehemu panaitwa Mwakitoryo unapata kazi za chepe, kila siku, unaosha mchaga wa dhahabu..mishe ni nyingi kule.
Kwa dar, tafuta vibarua vya saidia fundi..etc,
Ilala boss ... Airport hapaDar ip chief
Sawa Kwa Hilo nipo tayariNi lazima uajiriwe tu au hata mbinu za kujiajiri zitafaa tukikushauri na maelekezo ya mtaji?
Ilala maeneo gani.Ilala boss ... Airport hapa
Ntashukuru sana KakaKuna watu hawajawai ku husler KABISA..
"" Baba angu MZAZI hajawai ku husler KABISA alimaliza ELIMU yake akawa anabadilisha kazi kama nguo""
Wapo wengi TU hawajawai ku husler KABISA.."""Ila kwangu ilikua tofauti nili pita nyakati zoteee ngumu"" nili soma kitabu Cha zaburi kina sura 150 nilitumia miezi mitatu.
20 elfu unaiona Kama milioni mbili yaan unakonda sio kwamba hauli Ila kichwani umebeba mengi na muda unaenda wewe upo upo TU nguo zinakua busy mpaka zinapauka na kuchakaa ( nguo kua busy maana zipo chache na zinafuliwa Mara kwa Mara)
Niliwazaga Sana watu walio fail form four rafiki zangu wamejenga Wana magari..Mimi na ma vyeti yangu na maufaulu yangu sina chochote sina lolotee..mama alinambia mwanangu ipo siku yakooo..
Ndipo ZILE point 👉 tulizo kua tunajibia shuleni nikaanza kuzitafakari 😊☺️
*Lack of Capital
*Poor power & energy supply
*Lack of market
*Low level of technology
*Poor system of transport
*Lack of government support
E.t.c
Kwa Sasa nimesha sahau husler KABISA Ila sitaki kurudi kwenye Ile dhiki hatareee
Note.
Kwa kua @bussiness intelligent ni mshikaji wangu na namwamini.. tuombe uzima ntafanya kitu ndugu yangu for you.
Asanteee sana ndugu yangu Kwa kunitia moyo!Bado haujafika mwisho mkuu, age ndio kwanza 30 years.
Nina shemeji yangu ametoboa akiwa na 45 years, kuna nyumba alikuwa anakaa yeye na sister angu.
Mwenye nyumba alikuwa ni mama mmoja mzee, yule mama alikuwa anafatilia mafao ya mumewe pamoja na mali mahakamani.
Sasa zile kurupushani za kule na zile calendar ikafika stage yule maza aka blow, ndio kipindi sasa shemeji anahamia pale.
Huku na kule yule maza ikabidi amshirikishe mwamu wangu, mwamu nae ni mtoto wa mjini basi bhana huyu bwana shemej akafanya anachokiweza na yule maza akapata haki zake zote.
Sijajua shemeji yangu alipatiwa kiasi gan na yule maza ila tuseme tu kuanzia pale maisha yake yalibadilika na mpaka sasa.
Moral of the story hatujui kwanini tupo hapa tulipo, ila naamini kama bado una pumua basi lengo la uwepo wako bado haujalitimiza.
Nipo sehemu Moja kunaitwa mogo - kipawa - ilalaIlala maeneo gani.
Usiache kuomba pia Dua ni muhimu ikimpendeza Mungu Kuna sehemu ntaku connect..Kuna mambo yanakamilishwa najua hauta ni let down maana nimewai kupitia hizo hatua zako for sure siku moja zitabakia story.Ntashukuru sana Kaka
🙏🙏Kuna watu hawajawai ku husler KABISA..
"" Baba angu MZAZI hajawai ku husler KABISA alimaliza ELIMU yake akawa anabadilisha kazi kama nguo""
Wapo wengi TU hawajawai ku husler KABISA.."""Ila kwangu ilikua tofauti nili pita nyakati zoteee ngumu"" nili soma kitabu Cha zaburi kina sura 150 nilitumia miezi mitatu.
20 elfu unaiona Kama milioni mbili yaan unakonda sio kwamba hauli Ila kichwani umebeba mengi na muda unaenda wewe upo upo TU nguo zinakua busy mpaka zinapauka na kuchakaa ( nguo kua busy maana zipo chache na zinafuliwa Mara kwa Mara)
Niliwazaga Sana watu walio fail form four rafiki zangu wamejenga Wana magari..Mimi na ma vyeti yangu na maufaulu yangu sina chochote sina lolotee..mama alinambia mwanangu ipo siku yakooo..
Ndipo ZILE point 👉 tulizo kua tunajibia shuleni nikaanza kuzitafakari 😊☺️
*Lack of Capital
*Poor power & energy supply
*Lack of market
*Low level of technology
*Poor system of transport
*Lack of government support
E.t.c
Kwa Sasa nimesha sahau husler KABISA Ila sitaki kurudi kwenye Ile dhiki hatareee
Note.
Kwa kua @bussiness intelligent ni mshikaji wangu na namwamini.. tuombe uzima ntafanya kitu ndugu yangu for you.
Siwezi kukuangusha mkuu ... naomba uniamini katika hili!Usiache kuomba pia Dua ni muhimu ikimpendeza Mungu Kuna sehemu ntaku connect..Kuna mambo yanakamilishwa najua hauta ni let down maana nimewai kupitia hizo hatua zako for sure siku moja zitabakia story.
Nimewai ku connect watu wakafanya ubadhilifu wa mamilioni ya shilingi nikapata hekaheka nikaacha kusaidia watu.
Naweka Imani Kwako kwa kuweka Imani ya maneno yako so tutachekiana.
Mkuu makutupora kaza moyo ndugu yangu usikate tamaa.Pole sana mdogo wangu, nakutext.
Kaka Mshana Jr , bonjov , secretarybird , min -me njooni mtoe msaada tafadhali