makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
- Thread starter
-
- #21
Kweli Boss! ... Asante mkuuPole hazitamsaidia ndugu makutopora wenye fursa mumpe, ningekuwa nayo ningempa ila ndo hivo hapa nimetoka zangu kuvuna viazi vitamu nikauze nipate japo ten!
KIDUMU CHAMA CHA JOBLESS PROMAX
C.E.O Hon. Intelligent businessman fanya mchakato kijana asaidike
NB: Kama una eneo kijijini rudi kalime hautajutia mkuu hukosa hela ya mahitaji muhimu, chakula, mavazi, malazi, dawa...
Amina.Asante sana sana ubarikiwe
Mkuu mapito ni mengi hatuwezi kusema Kila kitu mkuuPole saana bro lkn mbona unafika mwisho na bado umr wako mdogo saana
Pole saaana mkuu yatapita Kwan hkuna linalodumu Dunian I'ma upite wewe au hiyo shida kwahy nakuombea upate subira ktk hilooMkuu mapito ni mengi hatuwezi kusema Kila kitu mkuu
Asante sana Mkuu kwa ushauri wako, chochote kilicho halali Mimi ntafanyaPole sana mkuu, kwakuwa upo dar na umesema uchagui kazi nikushauri uanze na biashara ndogo hata ya kuuza mafenesi, mahindi choma, karanga, mihogo etc.
Changamoto n kupata eneo.
Na iwe kwangu kama unavyo niombea mkuuPole saaana mkuu yatapita Kwan hkuna linalodumu Dunian I'ma upite wewe au hiyo shida kwahy nakuombea upate subira ktk hiloo
Asanteee sana mkuuuKaka pole sana mtaani kwako umekosa hat bod boda jnaweza ukaanza kwa udeiwaka hasa kam unaweza kusosholaizi na wenzio mkuu usikate tamaa mi ni boda ktengo cha bajaji na nimesoma pharmacy kazi ni kipimo cha utu
Hakika mkuu!Dah mkuu binadamu tunapitia situation ngumu sana japo sio vyote huwekwa hapa, ila sio poa mkuu.
Kubali kuanza na kidogo mpaka utakapopata kikubwa πͺπͺπͺπππ
Kama huna neno zuri la kusema ni bora kukaa kimya tu, Nyie watu huwa mna matatizo gani kwani?Bora kufa ili usiendelee kuteseka , huyo mzazi muache ajipambanie maana alikuzaa kwa tamaa zake ...Anakupa mzigo sana hata yeye atakufa , anapoteza muda tu ili akupe tabu za kumuuguza.
Msaada gani unaomba mkuu sema ndugu zako tupoNina mazingira magumu sana mbele naona giza tu mpaka sioni thamani ya haya maisha.
Miaka miwili natafuta kazi, naishi kwa ndugu kwenye mazingira magumu, mama yangu ni mgonjwa na namuangalia anavyoteseka kila siku nikiwa sina namna ya kumsaidia.
Yoyote ambaye ana ofisi, biashara, taasisi au shughuli yoyote, SICHAGUI, naomba kazi au hata nafasi ya kujitolea kwa malipo au bila malipo (hata nauli tu inatosha - ili niweze kutoka nyumbani na kushughulisha kichwa).
Mimi ni graduate mwenye shahada, niko tayari kufanya kazi yoyote, tafadhali naamanisha yoyote ile. Mimi ni mchapakazi, naweza kusocialize na watu, napenda kuandika, kusoma vitabu na kufanya shughuli za kijamii.
WASIFU WANGU KWA UFUPI:
Umri - Miaka 30
Jinsia - Mwanaume
Taaluma - Bachelor of Social Work
Makazi - Dar es Salaam
Tunaambiwa wanaume inabidi tujikaze, tuwe strong ila mimi nimefikia mwisho kabisa wa uwezo wangu. NAOMBENI MSAADA WAKUU!
Ubarikiwe mkuuBora kufa ili usiendelee kuteseka , huyo mzazi muache ajipambanie maana alikuzaa kwa tamaa zake ...Anakupa mzigo sana hata yeye atakufa , anapoteza muda tu ili akupe tabu za kumuuguza.
Kupata kazi au kibarua mkuuMsaada gani unaomba mkuu sema ndugu zako tupo