Shida iko wapi kwenye kujiajiri

Brother mimi naamini kwenye kukua....unaanza chini kabisa,ukiwa na uthubutu kila kitu kinawezekana

by emma mjasiriamali
 
Ndizo kazi zetu hizo za kujiajiri.
- Tafuta frame fungua duka, grocery au bar. Kama mtaji wako mdogo fungua genge
Hayo mawazo ya wenye akili fupi...kujiajiri ni kufanya kitu anbacho mwanzoni kinakutegemea kwa asilimia 70,kitu kama duka kinategemea uwezo wako wa kujiongeza....

by emma mjasiriamali
 
Ndio lkn kumbuka ulipo wewe sio alipo kila mtu na wazo lako na mikakati yako sio sawa na wengine,

La msingi ni kuelimishana.
Mr miller umeongea sawa kabisa,sema kuna wengine wanacritisize bila kujua hilo la nafasi na namna ya uthubutu...mimi ukiniambia ulipo na mambo yanayokuzunguka nakufungua akili unaanza ujasiliamali

by emma mjasiriamali
 
Endelea kuuza duka usisahau kurithisha na wanao hiyo kazi
Tatizo tumeoteshwa misingi ya waliotutangulia,hivi unashindwa kuwaza kuwa muajiri wa watu wengine angalau 100,watu wote wakawa wanakuita wewe bosi,tuache kuyashadadia na kuyakamilisha malengo ya wengine....unaishi maisha ambayo sio yako....grow up and start today your own life

by emma mjasiriamali
 
Watu wataongea hili na lile... Wasema haya ma yale...

Na ndiyo hao hao wasaka ajira huku wakisisitiza wenzao kujiajiri...


Cc: mahondaw
The best and vivid example ni huyu anaeitwa hamisi kigwangala alieajiriwa na siasa akacha taaluma yake!

brain is the beautiful part of the body.
 
You smart brother! Shida yetu tumejikita kujua umbea sana bila kuwaza kwa undani mazingira yanayotuzunguka yana nini cha ziada kiwe sehemu ya fursa.

brain is the beautiful part of the body.
 
The best and vivid example ni huyu anaeitwa hamisi kigwangala alieajiriwa na siasa akacha taaluma yake!

brain is the beautiful part of the body.
Kigwangwala ana ma Ginnery huko kwao nzega sio choka mbaya kama watu wanavyodhani ila tu ni mbwatukaji kwenye mitandao.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Reactions: SDG
Umeeleweka vema mkuu, huu ujumbe wako ndo ninaoufanyia kazi muda huu ikifika 2020 naacha hii kazi ya magufuli maana najua biashara yangu itakuwa ishakomaa!

brain is the beautiful part of the body.
 
Kigwangwala ana ma Ginnery huko kwao nzega sio choka mbaya kama watu wanavyodhani ila tu ni mbwatukaji kwenye mitandao.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Hana methodology nzuri ya kuwa-inspire vijana ambao wanahangaika na bahasha za kaki mjini.

brain is the beautiful part of the body.
 
Nadharia ya physics inasema kwamba mwili wako asilimia 99.9999999999999 ni empty space. Na ukuta nao ni hivyo hivyo. Kila matter ni angalau hivyo hivyo.

Kunadharia inatakiwa iwe rahisi sana kwako kuweza kupenya katikati ya ukuta wa matofali bila hata kuchubuka.

Kwa sababu wewe na ukuta wa matofali wote nyie mko 99.9999999999999 empty space.

Jaribu kupenya ukutani pasipo mlango wala dirisha uone nadharia ilivyo mbali na ukweli halisia.

Kama kuna nyakati za kuanza kujiajiri, wakati wa sasa ni mgumu sana. Baba ubaya kafungia fedha kabatini mpaka Benki Kuu umeshusha riba kutoka asilimia 16 kwenda asilimia 9 kujaribu kuunusuru mzunguko wa fedha.

Na bado watu kama hawana imani na serikali hawakopi.

Utajiajiri vipi wakati mzunguko wa fedha unadhoofika na uchumi unaanguka?

Sent from my Kimulimuli
 
Tatizo ni sheria,binafsi ni mwl na nimejitahidi kujiajiri.Nimebakisha kuezeka lkn shule inafungwa kwa sababu haijasajiriwa na hawapo tayari kusikiliza Wala kutazama eneo kubwa na majengo nzuri hata walimu wangu ni wenye taaluma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: SDG
Hii sijaielewa hata.
 
Reactions: SDG
Kuna utamaduni wa serikali kuwa anti business. Ukianzisha kitu serikali haioni kwamba unatakiwa upewe haki ili ufanikiwe ili uendeleze Watanzania na kulipa kodi, kwao unaonekana ni chanzo cha kodi pale unapoanza tu. Ndiyo maana hata kabla hujapata faida yoyote kodi na fees kibao.

Rais anajigamba kwamba hajapewa hata senti na mfanyabiashara katika kamoeni yake. Kauli hii (licha ya kuwa ninya uongo) inatuinyesha Rais ambaye hapendi wafanyabiashara. Ana siasa za kizamani kwamba wafanyabiashara wote ni wezi na wahujumu uchumi.

Sent from my Kimulimuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…