Shida iko wapi kwenye kujiajiri

Hii sijaielewa hata.
Ambacho hujaelewa ni kipi?

Hapo nimeongelea kutoka quantum physics mpaka micro economics mpaka macro economics mpaka the philosophical fallacies of overrelying on fundamental theories.

Sent from my Kimulimuli
 
Matter is 99.9999999999999% empty space.

Ukuta. Chuma. Wewe. Maji. Kila matter is at least that much empty space.

Hilo la kwanza. Unaelewa hilo?

Sent from my Kimulimuli
Empty space kivip.!!!
Kama kopo ambalo halina kitu au.?
 
Empty space kivip.!!!
Kama kopo ambalo halina kitu au.?
The space between atoms and the space between subatomic particles.

Empty space kama kopo ambalo halina kitu right.

Sent from my Kimulimuli
 
The space between atoms and the space between subatomic particles.

Empty space kama kopo ambalo halina kitu right.

Sent from my Kimulimuli
Defn ya matter nnayoijua ni "anything that occupy space"

Ss ukija kwny maelezo yko ya empty space kdgo unaniacha....space btn atoms and subatomic particles ni ndogo sana kiasi kwamba huwezi kusema kuna space....

Mm sawa naweza kuwa matter lkn mm sina space.
 

Unaposema space between atoms and subatomic particles ni ndogo sana kiasi kwamba huwezi kusema kuna space una hakika na unachokisema au unasema kwa kufikiri tu?

Ndogo maana yake nini?

Ndogo kwa sababu atom ni ndogo au ndogo kama sehemu ya atom (ratio)?

Unaelewa kwamba tunachoongelea hapa si udogo wa space bali ni ratio ya empty space to matter?

Unaelewa kwamba unaweza kuwa na space ndogo sana lakini pia katika hiyo space ndogi ukawa na ratio ya 99.9999% empty space compared to matter?

Unaweza kutoa ratio ya atom yoyote kuonyesha concentartion of matter in the nucleus versus the rest of the atom tuangalie unachosema kwa detail badala ya kusema vitu in general?

Sent from my Kimulimuli
 
Nilipoacha kazi bank nikaamua kutia mguu kujiajiri sikuwa na pesa nyingi. Honestly nilikuwa na milioni 2 tu kama disposable income, but I saw an opportunity.

Rafiki yangu mmoja akaniambia niwe na hela ya kodi ya nyumba ya miezi 6 na hela ya kula miezi 6 bila kugusa mtaji wangu wa biashara. Nikamwambia mi nahitaji hela ya kula bila kugusa mtaji miezi 3 tu....by the way sina familia sitashindwa kujilisha. Kwani nakula sh ngapi kwa siku?

Now am making ule mshahara wangu wa mwezi ndani ya siku 5 tu....and my target is to make it in a day as at THIRTY FIRST DECEMBER 2017, God willing.
Kama kazini tulikuwa tunapewa target why mimi nisijipe target zenye strict deadlines.

Hitimisho, watu hawajiajiri sababu ni waoga na wanaona aibu. Siku aibu zikiwatoka watakuja tu.

Sukari Yenu
 
Maamuzi + Wazo la biashara.
Mtaji ni watu wanaokuzunguka, hao ndio walio na pesa zako nshu ni kwamba unazipata vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap!that's true,mtaji sio issue kunawatu wanahela ilaipango hamna,kama huna mtaji kuwa na wazo la biashara ,il I mshee yeye akiweka hel wewweka akili ya ko,akili ni mtaji tosha
 
Reactions: SDG
Hili umesema wewe,sio Mimi. Ukikutana na mtu mwenye mipango minene kama Mimi hsiwezi toa sababu kama hii.


Kila mtu ana mipango minene., Hata humu ndani Jf kuna watu wana mipango hata ya kuwa na mashirika yao ya ndege, wengine wana ndoto za kwenda Mars.

Kinachotutofautisha ni strategy za kufika huko while we have nating in our pockets.
 
Kweli kabisa
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…