Shida iko wapi kwenye kujiajiri

Mkuu mawazo yako ni mazuri. Lakini kuwa na taarifa tu haitoshi, je! Unaweza ku-analyse hizo taarifa!? Watu wanazo taarifa na wengi wanakoswa ku-analyse hizo taarifa, mwisho wa siku inakula kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Purchasing Power ni kweli kabisa,tena kwa sasa ipo chini sana.
Hata kwa basic needs kama Chakula bado haiend kwa kasi

May Allah bless Me and You
 
Shida mtonyo,yaani kianzio cha kujiajiri..
Hii ni changamoto ya kweli kabisa,hata kwa wale wanaojitutumua ku move one kuna some goals hawafikii kwa sababu ya VIANZIO

May Allah bless Me and You
 
Vizuri sana kama una mipango minene, pia unaweza anzisha "Funding" kulingna na wazo lako,
Anza kuangalia list ya contact zako kuanzia A to Z....wahamasishe. You never know Maserati
Si wazo BAYA

May Allah bless Me and You
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana. Labda njia nyingine,lakini hiyo hapana. Funding kulingana na wazo kivipi?? If nataka kuuza Nguo nafanyaje? Au nataka kuuza viatu?
Utamaduni wetu hauna feva kwenye kusaidiana mitaji au kumchangia mtu akasome,sanasana ni mambo ya hatusi na sherehe mbalimbali.
Kama ile michango ya harus ingekuwa TUNACHANGIANA kwenye kusaidiana kimasomo au KIMITAJI bas jamii hii ingekuwa mbali sana,kwani pesa nyingi sana zinachangwa na zinapotea kwenye anasa sikubza sherehe.
Mtumie mtu meseji ya mchango wa mtaji,mchango wa msaada wa kimasomo na msaada wa mchango wa mtaji hapo kwenye contact list yako,halaf subir response.
Labda tuanze kuhamasishana huko kwenye mentality ya KUSAIDIANA "FUND RAISING"
Wazo lako linaweza kushawishi kupewa mtaji, mchanganuo wa jinsi utauza hizo nguo/viatu.....

Hujui wengine wana hela lkn hawajui wafanyaje biashara.


May Allah bless Me and You
 
Mfano mzur sana huu Ridhwani Mbaraka ila ukutane na watu honest kama dada Jamila,maana huo nao ni MTAJI.
Ninetumia mbinu hiyo ila kilichitokea ni maumivu

May Allah bless Me and You
 
Kigwangwala ana ma Ginnery huko kwao nzega sio choka mbaya kama watu wanavyodhani ila tu ni mbwatukaji kwenye mitandao.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Si angeendelea kuwa nayo karibu,Mbona anakubali kuitwa MPUMBAVU?

May Allah bless Me and You
 
Pole,na sasa wanazifunga kwelikweli

May Allah bless Me and You
 
Sio siasa za kizamani,ni roho mbaya na HINDA.
He want to see all people suffers

May Allah bless Me and You
 
False ni nini? Unajua ni mwaka gani? Na bank ilikua inanilipa sh ngapi? Na nini kilinisukuma huko? Hayo ni maamuzi magumu niliyowahi kufanya katika maisha yangu.....u never know! Kaa hapo unapinga kila kitu badala ya kutaka kujifunza shubaamit

Sukari Yenu
 
Si angeendelea kuwa nayo karibu,Mbona anakubali kuitwa MPUMBAVU?

May Allah bless Me and You
Bado anayo na buziness anapiga kama kawa.

Acha waitwe tu hayo majina,kila boss ana boss wake.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Reactions: SDG
Yaani acha tu,watu wanadhani kuanza ni mchezo mchezo tu.
 
Reactions: SDG
Bado anayo na buziness anapiga kama kawa.

Acha waitwe tu hayo majina,kila boss ana boss wake.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
Haamini katika kujiajiri kwa 100%.
Kuna wakat alituhumiwa kukwepa kodi kwa kuingiza vifaa vya chuo chake bila kulipa kodi.
Ndo ujue haya mambo ya "siasa" yana tija

May Allah bless Me and You
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…