Shida ni nchi ya kisekula kutengenezwa katika Ukristo na Uislam hili ni kosa kubwa lilifanyika na linaendelea kufanyika

Shida ni nchi ya kisekula kutengenezwa katika Ukristo na Uislam hili ni kosa kubwa lilifanyika na linaendelea kufanyika

Kwa umakini mkubwa na kutumia Compass Directions(bible)...
Hayupo wa kuzuia Islam kutake over dunia nzima.
Kutaibuka challenge mdogo ndogo tu lakini wa kuzuia fully Hayupo.
EUROPEANS pumzi zao ni za mwisho mwisho, ikiwa hao wamefikwa hapo why Tanzania?.
Waislamu israel imewashinda sembuse europe
Alafu Mungu wa wakristo aamini kwenye wingi ndo maana israel ni kanchi kadogo ila warabu wamekashindwa

Huwezi kuwa dominant kwenye hii dunia kwa kutumia vurugu ni kuwa na uchumi mkubwa na technologia
Katika security council hakuna nchi hata moja yenye waislamu wengi
Katika nchi kumi zenye gdp kubwa hakuna hata nchi moja yenye waislamu wengi
 
Sioni future ya ukiristo kabisa....muislim wanafanya best move, non returnable...kuna uwezekano hata next prezidar atakuwa shehe tena....na itakuwa ngumu kurudisha ukiristo madarakani
Tanzania hii hii??
Yenye mfumo kristo??
 
Kuna siku ukiristo utakuwa hauna nguvu tena tanzania...nakupa 30yrs later...ukiristo utakuwa minority group tz..kama ilivyo Nigeria
Ukristo kuja kuwa minority tz ni bado sana 50% tz wakristo 32 muslim 18% wengineo ....
 
CCM ndiyo mdini sana kwa kuendekeza na kupendelea kutumia viongozi wa kiimani katika shughuli za kiserikali na chama wakati siyo shughuli ya mazishi ya muumini wala shughuli ya kidini.


Chama dola kongwe kina ubagua umma ktk mafungu mawili makubwa ya imani zilizokuja kwa majahazi na merikebu, kitu kinachoitwa divide and rule katika kila kitu ili kipate kuwatawala kikoloni vizuri watanzania.

Raia waliogawanywa kwa mafungu kwa makusudi ovu ya kuwagonganisha maana wanaelewa mihemuko ya mtu mweusi juu ya dini ngeni zilizoingia pwani kupitia majahazi na merikebu.

WANAOWASILI TOKA NCHI ZA MBALI KWA MAJAHAZI NA MERIKEBU, HUJA NA NIA MOJA, UKOLONI MKONGWE

1708782801443.png

1708783017149.png

King of Norway 1046-1066
Harald Hardrada (Harald III Sigurdsson) is often known as "the last real Viking," and maybe he was what many understood by a real Viking king. He was born in 1015, son to the chieftain Sigurd Syr, and with war in the blood from when he as a 15-year old participatede in the Battle of Stiklestad till he died during the Norwegian invasion of England in 1066.
Harald distinguished himself in the Battle of Stiklestad, a battle between the Danish king Cnut the Great and Haralds half-brother, the later Norwegian king-saint Olav II Haraldsson (Saint Olaf). Being on the losing side, however, Harald had to flee. First he went to Kiev, where he found protection with Prince Jaroslav, a descendant of some of the Vikings who settled there. Then Harald moved on to Constantinople, where he fought in the so-called Varangian Guard. This was an elite unit in the Byzantine army, consisting of Vikings, Englishmen and Normans. As a commander in the Byzantine army, Harald fought in places as far apart as the Mediterranean, Asia Minor, Sicily, the Holy Land and in Constantinople proper.
Vikings arrive at Constantinople, modern day Istanbul. Notice the Hagia Sophia in the background. Drawing: Flemming Bau. © Vikingeskibsmuseet.Vikings arrive at Constantinople, modern day Istanbul. Notice the Hagia Sophia in the background. Drawing: Flemming Bau. © Vikingeskibsmuseet.
Rich in combat experience and wealth he returned to Scandinavia n 1046 where he was quick to play his part in the local entanglements. Here, the Norwegian-Danish king Magnus the Good (Magnus I of Norway) fought the Danish pretender Svein Estridsson. Initially, Harald and Svein joined forces, but when Magnus offered Harald co-kingship, he betrayed Svein.
Shortly afterwards, in 1047, Magnus died. Possibly from the injuries he received when pursuing Svein after a battle on Zealand, where he according to legend fell of his horse. Magnus willed Harald to have Norway and Svein Denmark.
Harald was not content with this, however, and in the following years he and Svein often crossed swords - both on land and at sea. Harald plundered and burned Haithabu in 1049 for example, as well as plundering and ravaging many other Danish places during the years. The Skuldelev-blockade of Roskilde Fjord, whose first phase is dated to about 1060, is often interpreted as an attempt to secure Roskilde from Haralds surprise attacks after the disaster in Haithabu. Even though much of Haralds ravaging of Denmark seems pointless today, he probably was too much of a strategist to take on casual raids. Maybe his purpose was to show the Danes how Svein was unable to protect his coasts, thereby depriving him of the Danes' support.
Despite the fact that Svein Estridsson lost almost every battle against Harald, he held on to power. In 1062, or shortly afterwards, a compromise was reached. The warrior king Harald must have realized, that he should seek out new hunting grounds, and following the death of Edward the Confessor in the beginning of 1066, Harald invaded England. At fall the same year he fell in the Battle of Stamford Bridge against England's new king, Harold Godwinson.
Kristian Helmersen
source : Harald Hardrada of Norway
 
Mmmm mi nazani unakitu kama imani kali lakini kwa ma division zero tunayoyaona toka miaka 20 iliyopita na bado yanaendelea ktk matokeo ya masomo watalaam wa fani mbalimbali wa dini ya kiislam watakuwa adimu sana, fuatilia hata matokeo mwaka huu.,labda watalaam wa dini ya kiislam watakuwa wengi after even 20 yrs
Tunaomba muendelee kua na fikra hizohizo huenda tukafanikiwa mipango yetu
 
Ww naye ni tahira na huna akili.
Kwanza ni lini serikali imeruhusu misaraba mashuleni?
Sheria ya kutochanganya mambo ya dini na serikali inazibana taasisi za serikali tu na sio sekta binafisi hiyo iko dunia nzima.
Alafu kisheria hakunaga vazi linalo itwa la kidini ,maana kuna jamii nyingi unaweza kukuta zina mtindo mmoja wa uvaaji wa mavazi lakini katika mitizamo tofauti , kidini ,kimila na kimazingira.
,suala la mavazi lipo katika maamuzi ya mtu binafisi kuamua avae nguo ya aina gani ,kama ww ambaye unaweza kuamua kununua gari aina ya Toyota au benzi,au uowe mwanamke wa aina gani mweusi au mweupe.
Alafu aliye kwambia nguo zimetengenezwa kwa ajili kuzuia uovu ni nani?
Basi ww na binti yako anzeni kutembea uchi maana mavazi hayazuii uzinzi.
Nguo ipo kwa ajili ya kulinda utu wa binadamu husika kutokana na mtazamo wa huyo mtu na ndio maana kuna watu wanavaa vimini ,nguo ndefu,ya wastani ,ya kubana ,pana kutokana na mzamo wa mtu kuwa avaeje ili kulinda utu wake.

Zee zima kupenda kuangalia mapaja ya visichana vidogo lika na wajukuu zake ni upumbavu.
Umesoma nilicho andika ila hauja tumia akili kuelewa logic nani kasema serikali imeruhusu misaraba mimi nilikuwa natoa mifano ya vitu vya kidini kama miti ya krismas kuwekwa shuleni wakati wa krismas nk huo ni mfano tumia akili acha kutumia kijambio kufikili kama sa100...
Kuhusu vazi la kidini kwanini wanafunzi wasivae uniform kama zamani unajua vazi la hijabu lilipendekezwa na dini gani mashuleni ? Ilo tayari ni vazi la kidini maana walio pendekeza waliweka dhana ya dini yao
 
Umesoma nilicho andika ila hauja tumia akili kuelewa logic nani kasema serikali imeruhusu misaraba mimi nilikuwa natoa mifano ya vitu vya kidini kama miti ya krismas kuwekwa shuleni wakati wa krismas nk huo ni mfano tumia akili acha kutumia kijambio kufikili kama sa100...
Kuhusu vazi la kidini kwanini wanafunzi wasivae uniform kama zamani unajua vazi la hijabu lilipendekezwa na dini gani mashuleni ? Ilo tayal8 ni vazi la kidini maana walio pendekeza waliweka dhana ya dini yao
Naunga mkono hoja mkuu, maana ya uniform ni kuwafanya watoto wawe na mwelekeo na muonekano sawa. Hivyo katíka malezi Bora hijab ifutwe ama wote wavae hijab. Hijab shuleni ni kujenga udini usio na tija kwenye ustawi wa Amani na ustahimilivu wa kidini.
 
Kinachofanya waislam wengi wawe na mawazo ya kwamba dini yao itatawaĺa dunia ni kwasababu kwa sasa sababu ya mafuta uchumi wa nchi za kiarabu uko juu sana hivyo zina uwezp wa kufadhilli vikundi vingi kuutangaza uislam au hata kuupigania. Kama vile hezbollah, houthi yemen shia iraq na mihadhara nchi mbali mbali n.k. Sasa kundi lingine ambalo sio waislam wanasayansi wake wameshapiga hatua kubwa kwenye kugundua nishati mbadala. Yaani mafuta yatakuwa hayana kazi tena..rejea mkutano wa Dubai climate change.. ina maana nchi zinazotegemea mafuta kwa uchumi zitakuwa choka mbaya. sana kuliko hata nchi za bara ls africa, Hapo hakuna cha hezbolla tena au wa Houthi n.k. Saudi Arabia wameshituka wameanza uchumi mchanganyiko. Huo ndio ukweli wenyewe hata Rais wetu Dubai alituwakilisha Urusi na nchi kadhaa za kiarabu zilionekana kutopendelea maamuzi ya huo mkutano.
 
Ni kitendo cha kishenzi sana mtu/kiongozi kulitazama suala lenye maslahi ya taifa kwa mizania ya upumbavu wa 'ukristo' na 'uislam'
 
Sioni future ya ukiristo kabisa....muislim wanafanya best move, non returnable...kuna uwezekano hata next prezidar atakuwa shehe tena....na itakuwa ngumu kurudisha ukiristo madarakani
Unaota
 
Kuna siku ukiristo utakuwa hauna nguvu tena tanzania...nakupa 30yrs later...ukiristo utakuwa minority group tz..kama ilivyo Nigeria
Ukristo ni minority religion?...kajielimishe tena....According to a 2018 estimate in The World Factbook by the CIA, in Nigeria the population is estimated to be 53.5% Muslim, 45.9% Christian (10.6% Roman Catholic and 35.3% other Christian), and 0.6% as other.
 
Kitendo cha CCM kuzingatia Ukristo na Uislamu ndicho kinaifanya indelee kutawala Tz. Na kosa kubwa kuliko yote la wapinzani ni kutozingatia hilo. CCM itang'oka madarakani siku kikipatikana chama cha upinzani kinchokubalika na watu wa dini zote kama CCM inavyokubalika.
 
Back
Top Bottom