MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ndg.Lissu ni mropokaji sana...Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.
Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza.
Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere alikuwa katili kuliko Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM wote kwa pamoja.
View attachment 3073523
Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.

Mimi nadhani yafaa zaidi apingwe kwa Hoja, endapo kama mnazo kwa sababu Hoja hupingwa kwa Hoja kinzani, na utafiti hupingwa kwa utafiti mwingine.Ndg.Lissu ni mropokaji sana...
Mropokaji haswa......
Ingekuwa si Nyerere yeye angesomea wapi?!!!
Nyerere ndiye aliyeikomboa mikoa ya kanda ya kati.....
Lissu aache mambo yake ya ajabu....
#JMT for ever[emoji7]
Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.
Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza.
Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere alikuwa katili kuliko Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM wote kwa pamoja.
View attachment 3073523
Tatizo mmelishwa matango pori..Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.
Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza.
Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere alikuwa katili kuliko Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM wote kwa pamoja.
View attachment 3073523
Sawa....Mimi nadhani yafaa zaidi apingwe kwa Hoja, endapo kama mnazo kwa sababu Hoja hupingwa kwa Hoja kinzani, na utafiti hupingwa kwa utafiti mwingine.
Acha mambo ya kitoto kamarada Glenn....Tatizo mmelishwa matango pori..
Nyerere ndiye rais mbovu aliyejenga misingi mibovu sana ya nchi hii.
1. Ujinga mtopeo..ni yeye chanzo
2. Unafiki wa Tz ni yeye chanzo
3. Nidhamu ya uoga ni yeye chanzo
4. Nchi kuwa omba omba yeye chanzo
5. Umaskini ni yeye chanzo
Kilicho 'baraka' kwako yawezekana kwa mwenzako kinaweza kuwa 'laana.'Sawa....
Utafiti bora ni kuja na majibu yanayoeleza kuwa UBAGUZI WA KIKABILA ,DINI NA KANDA una "sequela" mbaya zaidi.....
Ingekuwa si baba wa taifa Julius K.Nyerere sidhani leo hii ndg.Tundu Lissu kutoka kanda ya kaskazini angepata hata shahada yake ya kwanza ya LLB....
Ndg.Tundu Lissu aache mambo ya kitoto......
#Nyerere ni baraka kubwa kwa taifa hili[emoji7][emoji7]
Amani na usalama ni baraka kwetu sote....Kilicho 'baraka' kwako yawezekana kwa mwenzako kinaweza kuwa 'laana.'
Sawa....
Utafiti bora ni kuja na majibu yanayoeleza kuwa UBAGUZI WA KIKABILA ,DINI NA KANDA una "sequela" mbaya zaidi.....
Ingekuwa si baba wa taifa Julius K.Nyerere sidhani leo hii ndg.Tundu Lissu kutoka kanda ya kati angepata hata shahada yake ya kwanza ya LLB....
Ndg.Tundu Lissu aache mambo ya kitoto......
#Nyerere ni baraka kubwa kwa taifa hili[emoji7][emoji7]
Wewe wakati wa Nyerere ulikuwa bado kwenye boxer ya dingi wako,huyo Mzee alikuwa nuksi sana kwa vile tu nyakati hizo habari hazikuwa zinavuma kama zama hizi. Magazet matatu tu,Uhuru,Dailly News na Mfanyakazi na yote ni ya Serikali na Chama. Na yeye alivuna roho kiasi chake.Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.
Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza.
Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere alikuwa katili kuliko Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM wote kwa pamoja.
View attachment 3073523
Huu wa Leo!! Nyerere alitukosea sana!!!Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.
Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza.
Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere alikuwa katili kuliko Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM wote kwa pamoja.
View attachment 3073523
Nyerere ni worst president everNdg.Lissu ni mropokaji sana...
Mropokaji haswa......
Ingekuwa si Nyerere yeye angesomea wapi?!!!
Nyerere ndiye aliyeikomboa mikoa ya kanda ya kati.....
Lissu aache mambo yake ya ajabu....
#JMT for ever[emoji7]
Acha mambo ya kitoto kamarada Glenn....
Kama si Nyerere nchi hii ingejaa UDINI....
Kama si Nyerere nchi hii ingefurika UKABILA NA UKANDA.....
Hivi lini vijana sisi tutajifunza thamani kuu ya Nyerere ?!!
Havoc
Wewe wakati wa Nyerere ulikuwa bado kwenye boxer ya dingi wako,huyo Mzee alikuwa nuksi sana kwa vile tu nyakati hizo habari hazikuwa zinavuma kama zama hizi. Magazet matatu tu,Uhuru,Dailly News na Mfanyakazi na yote ni ya Serikali na Chama. Na yeye alivuna roho kiasi chake.