Shida ya Lissu na Nyerere ni nini hasa?

Shida ya Lissu na Nyerere ni nini hasa?

Kuanzishwa kwa AMNUT na waasi kutoka Tanu ni kiashiria cha Udini uliokuwepo ndani ya Tanu japo ulizimwa.

..udini na mambo mengine kama hayo haukosekani ktk jamii yoyote.

..hoja yangu ni kwamba wakati wa kudai uhuru udini na ukabila haukuwa na nguvu ndio maana tukawa na nationalist party.
 
..udini na mambo mengine kama hayo haukosekani ktk jamii yoyote.

..hoja yangu ni kwamba wakati wa kudai uhuru udini na ukabila haukuwa na nguvu ndio maana tukawa na nationalist party.
Hapo upo sahihi ila kwa mujibu wa mwanahistoria Mzee Mohamed Said serikali mpya baada ya Uhuru ilikumbwa pia na hilo jinamizi la Udini.
 
Back
Top Bottom