Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Aug 20, 2024 #121 JokaKuu said: ..kweli. ..lakini Nationalist walishinda. Click to expand... Kuanzishwa kwa AMNUT na waasi kutoka Tanu ni kiashiria cha Udini uliokuwepo ndani ya Tanu japo ulizimwa.
JokaKuu said: ..kweli. ..lakini Nationalist walishinda. Click to expand... Kuanzishwa kwa AMNUT na waasi kutoka Tanu ni kiashiria cha Udini uliokuwepo ndani ya Tanu japo ulizimwa.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Aug 20, 2024 #122 Proved said: Kuanzishwa kwa AMNUT na waasi kutoka Tanu ni kiashiria cha Udini uliokuwepo ndani ya Tanu japo ulizimwa. Click to expand... ..udini na mambo mengine kama hayo haukosekani ktk jamii yoyote. ..hoja yangu ni kwamba wakati wa kudai uhuru udini na ukabila haukuwa na nguvu ndio maana tukawa na nationalist party.
Proved said: Kuanzishwa kwa AMNUT na waasi kutoka Tanu ni kiashiria cha Udini uliokuwepo ndani ya Tanu japo ulizimwa. Click to expand... ..udini na mambo mengine kama hayo haukosekani ktk jamii yoyote. ..hoja yangu ni kwamba wakati wa kudai uhuru udini na ukabila haukuwa na nguvu ndio maana tukawa na nationalist party.
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Aug 20, 2024 #123 JokaKuu said: ..udini na mambo mengine kama hayo haukosekani ktk jamii yoyote. ..hoja yangu ni kwamba wakati wa kudai uhuru udini na ukabila haukuwa na nguvu ndio maana tukawa na nationalist party. Click to expand... Hapo upo sahihi ila kwa mujibu wa mwanahistoria Mzee Mohamed Said serikali mpya baada ya Uhuru ilikumbwa pia na hilo jinamizi la Udini.
JokaKuu said: ..udini na mambo mengine kama hayo haukosekani ktk jamii yoyote. ..hoja yangu ni kwamba wakati wa kudai uhuru udini na ukabila haukuwa na nguvu ndio maana tukawa na nationalist party. Click to expand... Hapo upo sahihi ila kwa mujibu wa mwanahistoria Mzee Mohamed Said serikali mpya baada ya Uhuru ilikumbwa pia na hilo jinamizi la Udini.
Shetemba JF-Expert Member Joined Jan 20, 2018 Posts 923 Reaction score 933 Aug 20, 2024 #124 Mwanzilishi was 🥬🥬🥬