King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Nimekaa sana milima ya kizunguzi huko...lumbiji huko miaka ya 70 wacuba walitega maji na kuyaleta kizunguzi shule
Tatizo nchi hii wahusika hawafatili
Wao wanataka kila kitu waje wageni wWafanyie
Ova
Nimefika SUA, ni siku ya Tano SS, na harufu ya Moshi wa tumbaku tunaisikia vilivyo, Sema wananchi hawana pa kusema TATIZO hilo,Harufu haiwezi kufika SUA bhana, dont lie the mass ndugu
Embu tupe umbea, kwani hatoki msikitini, au anavuta uradi📌Uislamu ni vitendo si mashirika , hao wote watakuwa ni walafi , wangalianza kujipanga kuliondowa Tatizo la maji,
Huku ZnZ, hali ndio hiyo , Raisi haondoki misikitini ni unafiki mtupu , yeye ndiye mwizi mkubwa
Anauvuta uradi maana madudu aliyoyaibua CAG ni hatariEmbu tupe umbea, kwani hatoki msikitini, au anavuta uradi📌
Mwinyi na uchumi wake wa blue naye anakuibieni? Si anatajwa kuwa mwadilifu huyu? 😳😳😳😳
Labda aliogopa kuambiwa anawarudisha waarabuApo ncheke KWANZA yakhee😂🤣, kwann hakuwauzia DP world
Nilikuwa kikazi mkoani MOROGORO, nikapita kwa ndungu yangu mafiga iasee, wananchi wa Morogoro municipal wana shida ya maji balaa.
Hasa kipindi hiki cha kuelekea maonyesho ya 88 Hali inakuwa mbaya zaidi, kwani maji mengi wanayapeleka kunyeshea kwenye bustani za mazao mbalimbali kwenye eneo hilo la 88.
Yani week nzima maji yametoka mara tu yani 😤, tena mwenyeji wangu ananiambia hata masaa 2 hayakufika yakakatika.
Viongozi wa mkoa wa Morogoro acheni propaganda wananchi wenu wanaumia, maonesho ya 88, kila mwaka vitu ni vilele tu, watu wameshawazoea hakuna jipya, na hata wakulima wenyewe hawanufaikii kivile, kwasababu kilimo sio maonyesho bali ni shambani.
Pia usumbufu mwingine niliouona ni moshi utokao kwenye kiwanda cha ku-process tubacco, aisee harufu ya moshi wa tobacco ikifika mida ya jioni ni kali sana, mpaka maeno ya SUA huku inafika embu imangini apo means ni karibia mjini mzima, ikifika mida ya jioni wananchi wakiwemo watoto wadogo wamama wajawazito wanavuta moshi mzito wa tumbaku (tobacco).
Viongozi wa mkoa wa Morogoro kuweni na weledi kwenye majukumu yenu ya kazi.
Pia nasikia mbunge abood ametoa basi la maziko, ina maana watu wa Morogoro maitaji yao ni kufa na kuzikwa tu yani 😂.
Wananchi wa Morogoro municipal na viongozi kuweni serious.
Wazawa wa morogoro ie (waluguru), wanapenda vitu vya kijinga, vitu vya Bure, bado wanawaza kizamani, na ndio maana wamepata mbunge mjinga kuwaongozaHii kitu ni kweli 100% Moro municipal kunashida kubwa sana ya maji nasikitika sana Moro mvua nyingi zanyesha Kuna vyanzo vingi vya maji lakini Huduma ya maji mbovu mnoo mbunge abood anasinzia bungeni anasubiri wananchi wafe kwa kiu Cha maji atoe mabasi akawazike