SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hili jambo nililiona siku nyingi za nyuma nikaamua kulikaushia ila ngoja tu leo niliseme. Ukipitia profile za wachezaji wote wa Simba katika website ya timu, Moses Phiri ndiye mchezaji ambaye ana taarifa fupi na chache kuliko mchezaji yoyote.
Wakati wachezaji wengine katika profile zao wamewekewa position wanazocheza, wengi wamewekewa mataifa wanayotoka na hadi wengine hadi nickname zao, Phiri amewekewa tu namba yake ya jezi. Labda pale Simba hakuna anayejua anaitwa "General" na labda position yake haijulikani ndiyo maana game ya juzi aliingizwa achukue namba ya Kapombe na acheze kama beki wakati timu inahitaji sana goli.
Sitapost profile za wachezaji wengine ila unaweza tembelea ukurasa ukajionea mwenyewe.