Shida ya Moses Phiri ni kuwa position yake haijulikani pale Simba

Screenshot_20231027-014733.jpg
 
Phili ni No 10 pia ni second straiker na pia False No 9.

Wapinzani wake WAKUBWA ndani ya Simba ni
Jean Baleke, Clatus Chama na Saido ntibazonkiza.

Tangu Enzi za Zolan Mark
Hata Robertinho.
Hawa ni Professional Coaches wote wanamuweka Benchi.

(Jiulize kwanini MAKOCHA wote wawili wakuweke Benchi).

Phiri ni Mshambuliaji WA pili
(Second straiker)
Au false No 9
Uwe na mshambuliaji kamili kama Baleke HALAFU uende na Phiri hili halikubaliki na HAIWEZEKANI.

UDHAIFU WAKE.
1. Anapoteza sana Mipira.

2. Hawezi ku Link up team kutoka chini.

3. Hafai kuwa hata Target man.

4. Anakuwa Off position ya No 10.

5.Mfupi WA kimo na Hana low center of gravity Compare to Saido, KIBU Miquissone na mzamiru.

6.Anaanguka kupita kiasi na ni mwepesi.

7. Huwa anapoteana kwenye michezo mikubwa eg wakati WA Mgunda alicheza Simba na Yanga Ya 1-1 wafungaji Azizi ki na Okrah. Hakuonekana hata kwa Dakika 1

8. Majeraha ya mara kwa mara.

NB.
NILIWAAMBIA mchezaji mzuri Huwa HAUMII (si injury prone otherwise Afanyiwe Upasuaji utakao muweka Nje kwa muda mrefu?)
Phiri anasingizia majeraha tu

UIMARA.
1.Analijua sana Goli
2. Kasi.
3. Uwezo WA kutumia Miguu yote.

JUZI kaingia Dk 89
Anapata kigugumizi na Kutaka kuichomesha Simba mbele ya Alahly.

Phiri si MCHEZAJI MZURI.
Kama Ningukuwa kwenye kamati ya UFUNDI ama usajili, Moja ya Wachezaji wa Kupunguzwa ni Moses phiri.

NIKIONA mtu anamtetea Phiri
najua huyo mtu hamna kitu na hajuhi Mpira.
Swali : Kwanini Tulimsajili?
 
Kinachomponza Phiri ni ule ugomvi wake na baadhi ya viongozi na kocha na wala sio kiwango chake. Na kuna watu pale Simba wanataka kuhalalisha kuwa Phiri hana uwezo. Mpira ni mchezo unaochezwa hadharani na kila mtu anaona japo wengine huwa wanaona makengeza. Kati ya Phiri na Onana nani ana uwezo mkubwa kumzidi mwingine? Jibu kwa wanaojua mpira litakuwa ni Phiri. Sasa jiulizeni inakuwaje Onana amecheza dakika nyingi uwanjani kuliko Phiri. Kumchezesha Onana na hata Boko na kumwacha Phiri nje ni dharau ya hali ya juu.

Watu wameanza kumjua Phiri hivi karibuni kwa taarifa yenu huyo jamaa amewahi kucheza kama kiungo mkabaji, kiungo mshambuliaji, winga , mshambuliaji na pia kuchezxa nyuma ya mshambuliaji. Kutokana na umri kusogea siku hizi hachezi kama kiungo mkabaji au kiungo wa juu. Aina hii ya washambuliaji walioanza kucheza kama viungo huwa wana faida sana kwenye eneo la ushambuliaji wakitumika vizuri kutokana na uwezo wao kumiliki mpira na kupiga pasi zenye macho mfano mzuri ni namna Hasani Duilunga alivyokuwa anacheza kabla ya kuumia. Na mfano mwingine ni Lusajo wa Namungo.

Kwa ujumla kwa sasa Phiri ana uwezo wa kucheza kama mshambuliaji wa kati , nyuma ya mshambuliaji na anaweza kutokea pembeni kushoto au kulia akiwa na faida ya kutumia miguu yote miwili kwa ufasaha kabisa. Nashanga sana ninapoona mtu anauliza eti haijulikani Phiri anacheza namba ngapi pale Simba. Shida ni benchi la ufundi kwa sababu Phiri anatoa nafasi kwa benchi la ufundi linapoamua kutumia mfumo wowote yeye anafiti.Wengine wamekuja na hoja za hovyo kabisa eti Phiri mfupi. Ufupi ni hoja ndogo sana pale ambapo kipaji kinakuwa kikubwa ndio maana Mesi bado alikuwa bora duniani kumzidi hata Ibrahimovic.

Yatasemwa mengi kuhusu Phiri lakini miguu yake ndiyo itajibu hoja zao. Na kama viongozi wa Simba na benchi lao ufundi hawajui namna ya kumtumia Phiri wamwache aende zake Yanga au Azam japo Yanga inaweza kuwa ngumu kidogo kwa sababu aliwatolea nje kiaina wakati wanamhitaji sana. Kwa jinsi mambo yanavyoenda pale Simba kuhusianan na Phiri naona kuna Hamisi Tambwe mwingine anaenda kutokea muda si mrefu.

Ni mtizamo tu.
 
Mbona
Peter Moduha alisajiliwa.
Junior Lukosa alisajiliwa.
Emasson Okwa alisajiliwa.
SAWADOGO alisajiliwa.
Aubin Kramo amesajiliwa.
Onana amesajiliwa.
Mimi nimeuliza swali rahisi na dogo tu kumhusu Phiri ila umenitajia wachezaji weengi wengine nisiowahitaji

So kama mistake ilifanyika kwa hao ni halali ifanyike kwa Mosses Phiri?
 
Kinachowaponza wengi ni kuangalia Moments na sio mpira wote.
Mnaangalia magoli na assists, namna vitu hivi vinapatikana hamtaki kujua na wala mkioneshwa hamtaki kuona.

Option ni mbili tu, tumfukuze kocha kwa sababu phiri hafit kwenye mfumo wake. Atakuja kocha mwingine Ngoma atakuwa hafit kwenye mfumo wake tutamfukuza pia....
Hivyo hivyo kwa wachezaji wote, mpaka tumalize makocha duniani........
Phiri apambane, aoneshe uwezo mazoezini atapewa nafasi.

Mbona Baleke pia hapati nafasi, Kocha anaona acheze bila Striker kuliko kuanza na Forwad wote watatu waliopo....
Namtumia Mugalu kama mfano sababu wote ndio mnamfahamu, ile ndio aina ya Forwad inayohitajika
Anawin aerial balls, Anaunganisha timu line ya mbele na Midfielders.
Kwa kifupi kaangalie Simba Vs As Vita Away, uone namna Forwad zinatakiwa kucheza ( kama una lengo la kujifunza utaenda tu).
Kocha anataka CF wa maana asajiliwe CF, Huwezi kuenda na phiri kama Lone striker kisa tu mashabiki wanamtaka hata dunia itakucheka.

Mpira sio moments pekee, kuna namna mpaka magoli yanapatikana. Tujifunze hili wazee.

Wanaongalia mpira kwa moments hawana tofauti na wanaoangalia Mpira "live score".

Na kuangalia kwenu mpira kwa moments ndio kunafanya Mnasema Saido ni mchezaji mbaya ( ni mzee kachoka, sio mbaya) mfano ni Mechi ya Ahly Home Saido ndio alipika magoli yote mawili lakini kwa kuwa tunaangalia moments tuliishia kuona kuwa Kibu kafunga na Chama ka assist, aliyecreate Chance hatutaki kujua, na tukitoka banda Umiza tunamponda.

Mpira ni taaluma, una Wenyewe bahati mbaya wenyewe sio sisi.
 
Phili ni No 10 pia ni second straiker na pia False No 9.

Wapinzani wake WAKUBWA ndani ya Simba ni
Jean Baleke, Clatus Chama na Saido ntibazonkiza.

Tangu Enzi za Zolan Mark
Hata Robertinho.
Hawa ni Professional Coaches wote wanamuweka Benchi.

(Jiulize kwanini MAKOCHA wote wawili wakuweke Benchi).

Phiri ni Mshambuliaji WA pili
(Second straiker)
Au false No 9
Uwe na mshambuliaji kamili kama Baleke HALAFU uende na Phiri hili halikubaliki na HAIWEZEKANI.

UDHAIFU WAKE.
1. Anapoteza sana Mipira.

2. Hawezi ku Link up team kutoka chini.

3. Hafai kuwa hata Target man.

4. Anakuwa Off position ya No 10.

5.Mfupi WA kimo na Hana low center of gravity Compare to Saido, KIBU Miquissone na mzamiru.

6.Anaanguka kupita kiasi na ni mwepesi.

7. Huwa anapoteana kwenye michezo mikubwa eg wakati WA Mgunda alicheza Simba na Yanga Ya 1-1 wafungaji Azizi ki na Okrah. Hakuonekana hata kwa Dakika 1

8. Majeraha ya mara kwa mara.

NB.
NILIWAAMBIA mchezaji mzuri Huwa HAUMII (si injury prone otherwise Afanyiwe Upasuaji utakao muweka Nje kwa muda mrefu?)
Phiri anasingizia majeraha tu

UIMARA.
1.Analijua sana Goli
2. Kasi.
3. Uwezo WA kutumia Miguu yote.

JUZI kaingia Dk 89
Anapata kigugumizi na Kutaka kuichomesha Simba mbele ya Alahly.

Phiri si MCHEZAJI MZURI.
Kama Ningukuwa kwenye kamati ya UFUNDI ama usajili, Moja ya Wachezaji wa Kupunguzwa ni Moses phiri.

NIKIONA mtu anamtetea Phiri
najua huyo mtu hamna kitu na hajuhi Mpira.
Tatizo lako wewe ni ushabiki sasa onana anamzidi nini phiri zaidi ya kuchomesha tu remember robertinyo na onana belongs to one agent soka la Africa ni zaidi ya ndani ya uwanja na hakuna mchezaji anayecheza vizuri kila mechi.
 
Unapotuma post hiyo hiyo kila mahali hiyo ni spam na siyo ustaarabu. Hii post nilishakujibu
Hyo jamaa anazingua anajifanya mchambuzi wakati analeta ushabiki siku hizi kutokana na utandawazi mchezaji mzuri anaonekana na mzuri anaonekana robertinyo alimleta ndugu yake muuza machungwa Brazil garasa lile kila mtu akapiga kelele bahati mbaya akaumia mazoezini akakataa chama watu wakapaza sauti chama anaanza kila mtu anajua yule kipa mwarabu wa simba hamna kitu ni garasa huitaji kuwa na leseni ya Caf kujua kwamba onana lile kipa ni magarasa labda wabebwe na wazee wa 10 percent.
 
Vitu vingine hata havihitaji Kuumiza akili.

Hafiti kwenye Mfumo WA Simba kuanzia Zoran Mark na Robertino.

KWAAKILI YAKO TU YA KAWAIDA KAMA ANGEKUWA MCHEZAJI MZURI ANGEKOSA NAMBA MBELE YA MAKOCHA WOTE??????????

Mnasumbua na UPUMBAVU.
Hakuna KOCHA Mzuri ANAYEWEZA kumuweka Mchezaji mzuri Benchi.

SHAME.
Tuchambulie yule kipa mwarabu wa simba na onana mtaalam [emoji1787][emoji1787]
 
Nafikiri CAF wanafanya kwa jinsi wanavyoweza kukuza msisimko wa mashindano yake. Ndiyo maana sitashangaa msimu ujao Simba kujikuta kundi moja na Wydad.

Sehemu ambazo ungedhani ndiyo zinadeserve kuhost fainali kutokana na mafanikio yao kisoka pamoja na miundombinu ya kisasa ndiyo hizo ambazo kuna uwezekano mkubwa zisijaze viwanja labda kama timu mojawapo inayocheza inatoka jirani. Kwa hiyo labda vipaumbele viwe tofauti na hilo la kudeserve.

Sasa kama ana MADHAIFU YOTE HAYO, ni kwanini bado Simba wanaendelea kuwa nae?? Naona umeandika madhaifu mengi sana kuliko uimara, ila still Simba inaendelea kum-hold. Why??

Kama yote hayo ni ya kwako binafsi kma shabiki wa Simba NITAKUELEWA. Ila kma mpaka uongozi wa Simba yenyewe unajua mapungufu yote hayo na bado inashindwa kumuachia na inaendelea kumlipa mshahara wa bure, BASI SIMBA WATAKUWA WAPUUZI.

Jamaa Mshamba sana huyu sijui huwaga anacopy wapi?

Phiri ni namba 9 ila anaweza kucheza pia kama namba 10 na na kama false nine pia anaweza na sio kusema kama ulivyo eleza hapo.

Phiri ana fit vzr kwenye mifumo inayokuwa na washambuliaji wawili mfano 4-4-2.

Phiri hana upinzani wa namba na saido wala chama, unazungumzia mpira upi ww?

Huyu mzee anajifanyaga anajua kumbe anajiaibisha tu Phiri na chama kweli?

Mimi yanga lakini huyu anazingua sana

Kinachomponza Phiri ni ule ugomvi wake na baadhi ya viongozi na kocha na wala sio kiwango chake. Na kuna watu pale Simba wanataka kuhalalisha kuwa Phiri hana uwezo. Mpira ni mchezo unaochezwa hadharani na kila mtu anaona japo wengine huwa wanaona makengeza. Kati ya Phiri na Onana nani ana uwezo mkubwa kumzidi mwingine? Jibu kwa wanaojua mpira litakuwa ni Phiri. Sasa jiulizeni inakuwaje Onana amecheza dakika nyingi uwanjani kuliko Phiri. Kumchezesha Onana na hata Boko na kumwacha Phiri nje ni dharau ya hali ya juu.

Watu wameanza kumjua Phiri hivi karibuni kwa taarifa yenu huyo jamaa amewahi kucheza kama kiungo mkabaji, kiungo mshambuliaji, winga , mshambuliaji na pia kuchezxa nyuma ya mshambuliaji. Kutokana na umri kusogea siku hizi hachezi kama kiungo mkabaji au kiungo wa juu. Aina hii ya washambuliaji walioanza kucheza kama viungo huwa wana faida sana kwenye eneo la ushambuliaji wakitumika vizuri kutokana na uwezo wao kumiliki mpira na kupiga pasi zenye macho mfano mzuri ni namna Hasani Duilunga alivyokuwa anacheza kabla ya kuumia. Na mfano mwingine ni Lusajo wa Namungo.

Kwa ujumla kwa sasa Phiri ana uwezo wa kucheza kama mshambuliaji wa kati , nyuma ya mshambuliaji na anaweza kutokea pembeni kushoto au kulia akiwa na faida ya kutumia miguu yote miwili kwa ufasaha kabisa. Nashanga sana ninapoona mtu anauliza eti haijulikani Phiri anacheza namba ngapi pale Simba. Shida ni benchi la ufundi kwa sababu Phiri anatoa nafasi kwa benchi la ufundi linapoamua kutumia mfumo wowote yeye anafiti.Wengine wamekuja na hoja za hovyo kabisa eti Phiri mfupi. Ufupi ni hoja ndogo sana pale ambapo kipaji kinakuwa kikubwa ndio maana Mesi bado alikuwa bora duniani kumzidi hata Ibrahimovic.

Yatasemwa mengi kuhusu Phiri lakini miguu yake ndiyo itajibu hoja zao. Na kama viongozi wa Simba na benchi lao ufundi hawajui namna ya kumtumia Phiri wamwache aende zake Yanga au Azam japo Yanga inaweza kuwa ngumu kidogo kwa sababu aliwatolea nje kiaina wakati wanamhitaji sana. Kwa jinsi mambo yanavyoenda pale Simba kuhusianan na Phiri naona kuna Hamisi Tambwe mwingine anaenda kutokea muda si mrefu.

Ni mtizamo tu.

Tatizo lako wewe ni ushabiki sasa onana anamzidi nini phiri zaidi ya kuchomesha tu remember robertinyo na onana belongs to one agent soka la Africa ni zaidi ya ndani ya uwanja na hakuna mchezaji anayecheza vizuri kila mechi.
Bado naunganisha dots ila huyu jamaa anaweza kuwa Boko maana mambo anayoongelea hayaleti mantiki yoyote. Anataja makocha wawili ambao hawajataka kumtumia ila anawaacha wengine wote waliomtumia na kumthamini. "Capo" maana yake kiongozi na "Delgado" maana yake mtu mwembamba, huyu tumeshamjua. Achaneni naye, anadhani anaongea na vipofu au wajinga kama anavyoita wengine wakati yeye ndiyo mjinga namba moja.
 
Nashanga sana ninapoona mtu anauliza eti haijulikani Phiri anacheza namba ngapi pale Simba.
Bandiko zuri ila nadhani umenielewa vibaya niliposema inaonyesha haijulikani anacheza namba gani. Nia ilikuwa kuonyesha upana wa tatizo linalomkabili pale Simba hadi wanashindwa hata kuandika taarifa zake muhimu tofauti na hata wachezaji waliokuja juzi tu.
 
Kinachowaponza wengi ni kuangalia Moments na sio mpira wote.
Mnaangalia magoli na assists, namna vitu hivi vinapatikana hamtaki kujua na wala mkioneshwa hamtaki kuona.

Option ni mbili tu, tumfukuze kocha kwa sababu phiri hafit kwenye mfumo wake. Atakuja kocha mwingine Ngoma atakuwa hafit kwenye mfumo wake tutamfukuza pia....
Hivyo hivyo kwa wachezaji wote, mpaka tumalize makocha duniani........
Phiri apambane, aoneshe uwezo mazoezini atapewa nafasi.

Mbona Baleke pia hapati nafasi, Kocha anaona acheze bila Striker kuliko kuanza na Forwad wote watatu waliopo....
Namtumia Mugalu kama mfano sababu wote ndio mnamfahamu, ile ndio aina ya Forwad inayohitajika
Anawin aerial balls, Anaunganisha timu line ya mbele na Midfielders.
Kwa kifupi kaangalie Simba Vs As Vita Away, uone namna Forwad zinatakiwa kucheza ( kama una lengo la kujifunza utaenda tu).
Kocha anataka CF wa maana asajiliwe CF, Huwezi kuenda na phiri kama Lone striker kisa tu mashabiki wanamtaka hata dunia itakucheka.

Mpira sio moments pekee, kuna namna mpaka magoli yanapatikana. Tujifunze hili wazee.

Wanaongalia mpira kwa moments hawana tofauti na wanaoangalia Mpira "live score".

Na kuangalia kwenu mpira kwa moments ndio kunafanya Mnasema Saido ni mchezaji mbaya ( ni mzee kachoka, sio mbaya) mfano ni Mechi ya Ahly Home Saido ndio alipika magoli yote mawili lakini kwa kuwa tunaangalia moments tuliishia kuona kuwa Kibu kafunga na Chama ka assist, aliyecreate Chance hatutaki kujua, na tukitoka banda Umiza tunamponda.

Mpira ni taaluma, una Wenyewe bahati mbaya wenyewe sio sisi.
Mugalu tuache mkuu hata kama alikuwa mzuri ila striker ni magoli jamaa alikuwa anakosa magoli ya wazi kabisa kazi ya striker ni kutupia kazi kama haaaland hyo ya kuunganisha team tumwachie rodrigo si ma striker.
 
Bado naunganisha dots ila huyu jamaa anaweza kuwa Boko maana mambo anayoongelea hayaleti mantiki yoyote. Anataja makocha wawili ambao hawajataka kumtumia ila anawaacha wengine wote waliomtumia na kumthamini. "Capo" maana yake kiongozi na "Delgado" maana yake mtu mwembamba, huyu tumeshamjua. Achaneni naye, anadhani anaongea na vipofu au wajinga kama anavyoita wengine wakati yeye ndiyo mjinga namba moja.
Anazingua hyo zoran mak alimleta mzungu kutoka kwao akamleta simba akamfukuza kagere hata kama kagere alikuwa mzee ila mzungu ilikuwa hamna kitu mtu kashaacha mpira kalileta simba hawa makocha sometimes wanazingua sana.
 
Kwenye mpira ni kama sehemu yoyote ile ya kazi. Bosi anaweza kuwa na mtu au watu anaowakubali hata kama input yao kazini wakati mwingine inaweza kuwa chini na anaweza kumchukia mfanyakazi hata kama ndiyo best kwenye upande wa utendaji kazi. Tuliowahi kupitia situation kama hizo tunaelewa.
 
Mugalu tuache mkuu hata kama alikuwa mzuri ila striker ni magoli jamaa alikuwa anakosa magoli ya wazi kabisa kazi ya striker ni kutupia kazi kama haaaland hyo ya kuunganisha team tumwachie rodrigo si ma striker.
Wanaanza kutaka kutuaminisha kazi namba moja ya striker siyo ufungaji, watu wa ajabu sana hawa.
 
Bandiko zuri ila nadhani umenielewa vibaya niliposema inaonyesha haijulikani anacheza namba gani. Nia ilikuwa kuonyesha upana wa tatizo linalomkabili pale Simba hadi wanashindwa hata kuandika taarifa zake muhimu tofauti na hata wachezaji waliokuja juzi tu.
Tupo pamoja mkuu nimekupata. Inaonekana Phiri kuna viongozi wamemakalia vibaya sijui kakataa kutoa 10% na wanaona wakimuacha halafu akaibukia upande wa pili au Azam halafu akawa kama Tambwe mashabiki hawatawaelewa kabisa.
 
Phili ni No 10 pia ni second straiker na pia False No 9.

Wapinzani wake WAKUBWA ndani ya Simba ni
Jean Baleke, Clatus Chama na Saido ntibazonkiza.

Tangu Enzi za Zolan Mark
Hata Robertinho.
Hawa ni Professional Coaches wote wanamuweka Benchi.

(Jiulize kwanini MAKOCHA wote wawili wakuweke Benchi).

Phiri ni Mshambuliaji WA pili
(Second straiker)
Au false No 9
Uwe na mshambuliaji kamili kama Baleke HALAFU uende na Phiri hili halikubaliki na HAIWEZEKANI.

UDHAIFU WAKE.
1. Anapoteza sana Mipira.

2. Hawezi ku Link up team kutoka chini.

3. Hafai kuwa hata Target man.

4. Anakuwa Off position ya No 10.

5.Mfupi WA kimo na Hana low center of gravity Compare to Saido, KIBU Miquissone na mzamiru.

6.Anaanguka kupita kiasi na ni mwepesi.

7. Huwa anapoteana kwenye michezo mikubwa eg wakati WA Mgunda alicheza Simba na Yanga Ya 1-1 wafungaji Azizi ki na Okrah. Hakuonekana hata kwa Dakika 1

8. Majeraha ya mara kwa mara.

NB.
NILIWAAMBIA mchezaji mzuri Huwa HAUMII (si injury prone otherwise Afanyiwe Upasuaji utakao muweka Nje kwa muda mrefu?)
Phiri anasingizia majeraha tu

UIMARA.
1.Analijua sana Goli
2. Kasi.
3. Uwezo WA kutumia Miguu yote.

JUZI kaingia Dk 89
Anapata kigugumizi na Kutaka kuichomesha Simba mbele ya Alahly.

Phiri si MCHEZAJI MZURI.
Kama Ningukuwa kwenye kamati ya UFUNDI ama usajili, Moja ya Wachezaji wa Kupunguzwa ni Moses phiri.

NIKIONA mtu anamtetea Phiri
najua huyo mtu hamna kitu na hajuhi Mpira.

simba na usajili wa mchongo.
 
Mugalu tuache mkuu hata kama alikuwa mzuri ila striker ni magoli jamaa alikuwa anakosa magoli ya wazi kabisa kazi ya striker ni kutupia kazi kama haaaland hyo ya kuunganisha team tumwachie rodrigo si ma striker.
kama ulivyosema niwaache......
Basi nami niwaombe kuwaacha muelewe mnavyoelewa.
Endeleeni kuangalia matukio.
 
Tupo pamoja mkuu nimekupata. Inaonekana Phiri kuna viongozi wamemakalia vibaya sijui kakataa kutoa 10% na wanaona wakimuacha halafu akaibukia upande wa pili au Azam halafu akawa kama Tambwe mashabiki hawatawaelewa kabisa.
We unataka Phiri acheze, ili nani asicheze?
Yaani achukue namba ya nani?
 
Back
Top Bottom