Shida ya Moses Phiri ni kuwa position yake haijulikani pale Simba

Onana na Phiri wote hawachezi, sema wewe unataka nani asicheze ili huyu Phiri aanze?


Hawa wote wanatakiwa waondoshwe Simba.

1. AYOUB.
2. Onana.
3. Kramo.
4. Miquisson.
5 .phili.
6. Saido umri na kimo.
 
Nimeshakuvua kinyago chako, tumeshakujua wewe ni Boko. Siku ukija kupewa hiyo timu lazima uishushe daraja maana IQ yako ni ndogo mno na ni mbishi.

Unajaribu kuchukua kila ubora wa Phiri na kuugeuza udhaifu. Mchezaji hajipangii mwenyewe acheze wapi, akipangwa position akaimudu huo unakuwaje udhaifu? Yaani mchezaji akifeli kuperform wewe unaona ndiyo bora. Mtu mwenye akili zake hawezi kusema haya, hata AI ina akili kukuzidi.
 


U Meshindwa kujibu hoja na unataka kuwezana na Mimi.

IM OUT.
 
So kati ya Bocco na Phiri yupi ana unafuu?
 
So kati ya Bocco na Phiri yupi ana unafuu?

Nakujibu ki FALSAFA


KIUFUNDI Mugalu anaweza akacheza MICHEZO yoote......

Lakini Kagere hawezi kucheza Kila Mchezo kiufundi ANACHEZA michezo mochache sana.

🙏
 
Tatizo laja hachelewi kujaa upepo, ukichanganya na kujifanya kujua sana ndio tatizo kabisaa.
Na hana analojua huyo unakuta kila uzi anacopy litext lake reeeefu sijui anayawekaga wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…