Shida ya usafiri leo Kigamboni baada ya daladala kugoma

Shida ya usafiri leo Kigamboni baada ya daladala kugoma

Pole Sana..kesho nistue mapema nikupe lift kwenye kibaby walker change..muhimu kufika
 
Kipindi tunaawambia muandae makazi mema vijijini mlikuwa mnatuona wajinga huku wa mikoani!. Mimi n tembea kwa mguu mpaka ofisini hiyo buku nakunywa supu ya mbuzi tena tamu
Wewe taratibu bwana unatoa siri ya kambi,hata hiyo supu sasa hivi itapanda kwani hujui mbuzi wanahitajika sana vitani na warusi yani vodka +mbuzi choma = kipigo heavy
 
Kwa mara ya kwanza leo nimetembea zaidi ya kilomita 6 asubuhi kutoka nyumbani Kigamboni kuja mjini. Njia pekee ya usafiri ni bajaji na zipo chache, watu wanapanda virikuu. Gari za mizigo zimegeuzwa daladala Kweli hata kama ni vita ya ukraine hii sasa inaanza kuwa too much. Hapa nawaza nitamwambia nini bosi maana haelewi kapiga simu kama 8 tayari

WhatsApp Image 2022-05-06 at 10.23.19 AM.jpeg
 
Kwa mara ya kwanza leo nimetembea zaidi ya kilomita 6 asubuhi kutoka nyumbani Kigamboni kuja mjini. Njia pekee ya usafiri ni bajaji na zipo chache, watu wanapanda virikuu. Gari za mizigo zimegeuzwa daladala Kweli hata kama ni vita ya ukraine hii sasa inaanza kuwa too much. Hapa nawaza nitamwambia nini bosi maana haelewi kapiga simu kama 8 tayari

View attachment 2213603
Wamegoma wanadai nini?
 
Hadi wenye guta kwa sasahv ni utakuwa usafir Kama daladala.maana Vita bado inaendelea na hatujui itaisha lini
 
Sisi ziligoma jana.. jioni wakaanza kuruhusu
Nauli jero… tulishazoea 400 unabakiwa na mia ya kula pipi kali [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole Sana..kesho nistue mapema nikupe lift kwenye kibaby walker change..muhimu kufika
Uwage una ni drop maeneo yangu pendwaa nawee lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta🤣 Tanzania nchi yaanguu..!
 
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta[emoji1787] Tanzania nchi yaanguu..!
Waziri mwenyewe ni Makmba na Mwigulu?
 
Leo imekua siku aadha kubwa na tabu kwa wakazi wa kigamboni wanaotumia usafir wa madalaladal ya ruti za kigamboni-cheka, Kigamboni kibada.

Gari zimegoma kufanya kazi zimepakiwa.wamejaa watu wa Noah na private ndio wanapakia watu feri kwa bei ya elfu 3000 bamba gezaulole huu ni uonevu.

Nashauri waliopak wayapaki moja kwa moja wasirudi tena. Mh Nyangasa ingilia kati mama.

Leo watoto wa shule watarudi usiku na kuhatarisha usalama wao pale kumejaa mateja
 
Demokrasia imekuwa sana sio kama kipindi kilichopita. Mama anaupiga mwingi!
 
Kwani hao wagomaji hawajui waliambiwa wasubiri mpaka tarehe 14?
 
Back
Top Bottom