Shida ya usafiri leo Kigamboni baada ya daladala kugoma

Shida ya usafiri leo Kigamboni baada ya daladala kugoma

Watu wa Dar mnapenda kulalamika 😂
Chuga jana ziligoma na sikuona aliyeandika.. au Chuga wote tuna magari😝

Lenie
 
Watu wa Dar mnapenda kulalamika 😂
Chuga jana ziligoma na sikuona aliyeandika.. au Chuga wote tuna magari😝

Lenie
Ndio maana me nataka nihamie Chuga, huku watu sjui wapoje.
Kitu kidogo kulalamika🤣🤣
 
Back
Top Bottom